Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Mwanza (MWAUWASA) imetoa mrejesho kuhusu hoja ya Mdau aliyeandika ~ Watu wa Mahina - Mwanza, Waziri akija maji yanatoka, akiondoka nayo yanaondoka.
MWAUWASA:
Tunapenda kufafanua kuhusu changamoto iliyowasilishwa ya upatikanaji wa huduma ya maji kwa eneo...
Baada ya andiko la Mdau aliyeelezea "Hali ya maji katika Jiji la Mwanza inazidi kuwa mbaya! Mfano ni Nyegezi," kupitia andiko hili ~ Mwanza: Kuna kero sugu ya maji. Wananchi tumechoshwa na visingizio, malaka husika imetoa neno.
Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Mwanza (MWAUWASA)...
Wakazi wa maeneo mbalimbali ya Dar es Salaam wanatarajiwa kukabiliwa na upungufu wa huduma ya maji kwa siku nne kuanzia Novemba 3 hadi 6, 2026, wakati Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA) ikifanya matengenezo ya bomba kuu lenye kipenyo cha inchi 72 linalopokea maji...
Nina kero yangu, Wakazi wa Goba Matosa maeneo ya kwa Bishilingi na Br hotel, DAWASA wanafungulia maji kwa upendeleo, baadhi ya nyumba zetu hatuna maji huu ni mwezi wa pili na cha kushangaza tunaketewa bill za maji kama kawaida.
Ukiwaambia wale wasoma mita wao hawatoi majibu ya kueleweka,kwa...
Nina changamoto ya kucheleweshewa huduma ya kuunganishiwa maji nyumbani kwangu katika Mkoa wa Tanga, Kata ya Tangasisi, Mtaa wa Chungurira.
Nimekuwa nikifuatilia ombi la kuunganishiwa maji tangu mwishoni mwa mwezi Julai, lakini hadi sasa sijapewa Control Number ili niweze kufanya malipo na...
Najua wengi hawakunielewa kwanini niliamka nikaanza kuuliza au kujiuliza swali fikirishi la kidadisi lenye kuonekana km kwamba ni swali la kitoto.
Lakini ni ukweli ulio wazi lile sio swali la kitoto ni swali ambalo watu wamekaa wakalofanyia uchunguzi wa kina.
Sasa ipo hivi;
Maji ya kwenye...
Naibu Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum Eng. Maryprisca Mahundi amesuka msuko wenye jina la Rais Samia kichwani mwake, Asema Samia ni kama Maji usipoyanywa utayaoga
Wakulima wa vitunguu maji tuna changamoto, bei ya vitunguu iko chini sana Mkoa wa Singida na Manyara. Wakulima tunapata hasara sababu ya pembejeo za kilimo zipo juu lakini wanunuzi wanajipangia bei ndogo na pia wanaweka ujazo ambao serikali imekataza.
Ombi letu waruhusu wanunuzi kutoka nje ya...
Anonymous
Thread
bei
maji
manyara
singida
vitunguu
vitunguu maji
wakulima
Mradi wa maji wa miji 28 Ifakara, kuongeza upatikanaji wa huduma ya maji kwa asilimia 100 kutoka asilimia 42.
Maji yatazalishwa kwa siku lita milioni 20 kwenda kwa wananchi, ilhali mahitaji ya wananchi kwa sasa ni milioni 10. Serikali imewekezakiasi cha Shilingi bilioni 48 katika kuhakikisha...
Daktari Bingwa wa Magonjwa ya Wanawake na Uzazi, Godfrey Chale wa Dkt. Chale Polyclinic iliyopo Mbezi kwa Msuguri ana eleza kuwa maumivu wakati wa tendo la ndoa kwa mwanamke husababishwa na kukosa maji maji ukeni (Ute), hiyo hali imesababishwa na wanawake kupitia stress za Vikoba na marejesho...
Mimi ni mkazi wa Kinondo, Mabwepande. Katika eneo langu tumekaribia kutimiza wiki mbili bila maji. Kinachoumiza zaidi ni kwamba bado tunasubiri zamu, halafu hata zamu ikifika baadhi yetu hatupati huduma. DAWASA itueleze: mgao huu una mwisho lini, na maji yatafika lini kwa wale ambao zamu zao...
Habari wana JF,
Bila kupoteza muda sisi wakazi wa mbalizi centre mitaa yake hadi huku Ifisi tuna changamoto kubwa sana ya maji!
Kabla ya ziara ya Mheshimiwa Makamo w Raisi tulikaa takribani mwezi mzima hakuna hata tone la maji kutoka Idara ya Maji. Siku moja kabla ya Ujio wa Mheshimiwa maji...
Tunawaomba wananchi kutumia maeneo rasmi ya huduma ya maji kuepusha Taharuki.
"Nimefatilia zaidi swala la upatikanaji wa Maji Kijiji cha Iponda baada ya taarifa zilizowekwa mtandaoni kwa kutuma timu ya wataalamu wafike haraka na kunipa taarifa sahihi; lengo kuu ni kujiridhisha na kuwa na...
Wakuu heshima yenu nina kasubaru kangu ka mwaka 2015(SJ5) changamoto iliyokuwa nayo ni kuwa inapoteza mawasiliano kati ya funguo (push to start) na switch ya kuwashia gari ,nimekuja kugundiua mawasiliano hupotea pindi gari linapokuwa limeloa aidha nimetoka car-wash au kuloa na mvua ,naombeni...
Miaka kadhaa nyuma wakati nipo Undergraduate pale Open University - Dar, ilibaki kidogo nisi-graduate sababu ya Mhadhiri aliyenisimamia Research, nilipambana kwa nguvu zote lakini aliniwekea pozi balaa
Ilibidi nimfuate Mwalimu mwenzake kumuuliza mbona nimefanya kila kitu lakini nazungushwa tu...
Anonymous
Thread
chuo
chuo cha maji
dissertation
kisa
kuachana
maji
mateso
research
Rais mstaafu, Mheshimiwa Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete ameishauri Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA) kuangalia uwezekano wa kujenga Bwawa Dogo eneo la Wami, litakalosaidia kuongeza upatikanaji wa maji Chalinze ifikapo mwaka 2030 hadi 2050.
Akizungumza baada ya...
Watu wa Mwanza bado tunateseka na suala la maji kwa 90% ya wakazi wa huku hatupati maji na ziwa lipo kwetu, waziri akija maji yanatoka, akiondoka maji hayapo hii ni haki kweli?
Hadi hivi leo maji hatuna tunateseka sana wengine kazi zimesimama tumefunga ofisi zetu sababu ya maji, nipo maeneo ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.