Mndengereko
JF-Expert Member
- Mar 24, 2011
- 7,326
- 3,444
Wakuu heshima yenu nina kasubaru kangu ka mwaka 2015(SJ5) changamoto iliyokuwa nayo ni kuwa inapoteza mawasiliano kati ya funguo (push to start) na switch ya kuwashia gari ,nimekuja kugundiua mawasiliano hupotea pindi gari linapokuwa limeloa aidha nimetoka car-wash au kuloa na mvua ,naombeni msaada changamoto inaweza kuwa ni nini, vitu vingine vyote vinafanya kazi sawa betri lina nguvu linawasha taa za ndani ya gari na pia funguo inafungua na kulock milango kama kawaida changamoto gari siwezi kuiweka switch on wala siwezi kuiwasha.
Once upon a time tatizo lilijitokeza baada ya kuloa na mvua niliamua kuliacha kwa almost siku 2 nilivyokuja kuliwasha switch on ikakubali(nadhani lilikuwa limekauka) ila mara nyingi /mara zote nalazimika kumuita fundi anafungua kwenye switch anakaza kidogo then inakubali,inawaka sasa mafundi wengi majibu wanayonipa naona hayashabihiani na ukweli naombeni msaada kwa mtu anaeweza kujua tatizo linaweza kuwa nini au anaeweza kunielekeza wapi naweza kupata msaaada wa kweli,natanguliza AHSANTE
kwa kweli ili tatizo linaniumiza kichwa sijawahi kuexperperience tatizo la namna hii ever ,lilianza mwezi wa tano mpaka sasa limejitokeza almost mara 8 toka mwezi huo wa tano tarehe 27 mpaka hii october,AHSANTENI