emmarki
JF-Expert Member
- Nov 22, 2012
- 1,143
- 1,729
Daktari Bingwa wa Magonjwa ya Wanawake na Uzazi, Godfrey Chale wa Dkt. Chale Polyclinic iliyopo Mbezi kwa Msuguri ana eleza kuwa maumivu wakati wa tendo la ndoa kwa mwanamke husababishwa na kukosa maji maji ukeni (Ute), hiyo hali imesababishwa na wanawake kupitia stress za Vikoba na marejesho, hivyo mara nyingi wanawake wanakuwa kiakili hawako tayari kwenye tendo Wana waza Vikoba tu.
Aidha Daktari amesema pia baadhi ya dawa za uzazi pia zimekuwa sababu ya wanawake wengi kukosa maji maji Ukeni hali inayo wapelekea kupata maumivu wakati wa tendo.
🗣️ Amesema Dokta Godfrey
Hivi hii ina ukweli?