kukosa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. emmarki

    JamiiForums Tanzania Marejesho ya VICOBA, chanzo wanawake kukosa maji ukeni

    Daktari Bingwa wa Magonjwa ya Wanawake na Uzazi, Godfrey Chale wa Dkt. Chale Polyclinic iliyopo Mbezi kwa Msuguri ana eleza kuwa maumivu wakati wa tendo la ndoa kwa mwanamke husababishwa na kukosa maji maji ukeni (Ute), hiyo hali imesababishwa na wanawake kupitia stress za Vikoba na marejesho...
  2. OMOYOGWANE

    JamiiForums Tanzania Anguko la CCM mwaka 2060 litasababishwa na kukosa maono! too late?

    Mwaka 2060 ni miaka 100 ya CCM kiutawala (karne). Adui halisi wa CCM sio CHADEMA, adui halisi wa CCM ni deni la taifa (uchumi) CHADEMA inaipumbaza CCM na CCM hailioni deni la taifa na, kila mwana CCM anataka cheo . uchumi utaiadhibu CCM. Tanzania inaishi kwa kukopa nje ya nchi (bajeti) tangu...
  3. S

    JamiiForums Tanzania TANESCO acheni kukosa ustaarabu: mkisema umeme utakatwa saa 12 asubuhi na kurudi saa 12 jioni, basi rudisheni umeme saa 12 jioni sio saa mbili usiku!

    Tanzania tuna silka moja ya kuongea uongo hasa linapokuja suala la wakati. Mtu anakuambia nitafika hapo baada ya dakika kumi halafu anafika baada ya saa nzima. Mkutano unaotakiwa kuanza saa tatu asubuhi unaanza saa tano asubuhi. Kiongozi alisemwa atafika saa nne asubuhi anafika saa sita mchana...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Padri alielala msikitini baada ya kukosa msaada kanisani

    Padri alielala msikitini baada ya kukosa msaada kanisani Sikiliza
  5. E

    JamiiForums Tanzania KERO: Wanafunzi wa Masters UDSM zaidi 80 hatarini kukosa mahafali ya December 2026

    1. Sisi Wanafunzi wa Masters Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, Main Campus. Tunacheleweshwa kupewa matokeo yetu ya Dissertation ili tuweze ku-graduate Mahafali ya mwezi Disemba 2026. 2. Mfano Wanafunzi wa Shule kuu ya Elimu Chuoni hatujapewa matokeo yetu toka tuwasilishe dissertation mwezi...
  6. A

    JamiiForums Tanzania KERO Kukosa Fedha za Kujikimu Ajira Mpya Halmashauri ya URAMBO-TABORA kunapunguza morali yetu

    Walimu ajira mpya ya mwezi Februari 2026 katika Halmashauri ya URAMBO-TABORA, hadi sasa hatujalipwa Pesa ya Kujikimu. Tukiuliza Ofisi za Utumishi hatupewi majibu yanayoeleweka; hili linatukatisha tamaa, hatujui cha kufanya. Kucheleweshewa pesa za kujikimu siyo tu kunauwa morali yetu bali pia...
  7. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Responded TTCL yafafanua sababu za Mdau wa Goba kukosa huduma ya Faiba licha ya kulipia

    Baada ya andiko la Mdau alilozungumzia Huduma ya Faiba kutoka TTCL, andiko hili hapa ~ TTCL wamepokea malipo yangu ya Faiba kisha wanasema huduma haijafika Goba - Mageti Ufafanuzi umetolewa kutoka TTCL 👇🏼 Tunamshukuru mteja kwa kuwasilisha hoja yake na kutupa fursa ya kufuatilia suala hili...
  8. Dr. Zaganza

    JamiiForums Tanzania Tibu Tatizo la kukosa usingizi usiku

    Kukosa usingizi kuna uhusiano na kushuka kwa madini ya magnesium hasa baada ya stress kadhaa. Maganda ya ndizi mbivu yana magnesium ya kutosha kurudisha kiwango cha magnesium mahala pake. Chukua maganda ya ndizi mbivu 4 Ongeza maji nusu Lita kisha tenga jikoni ukiwa umefunika Chemsha hadi...
  9. A

    JamiiForums Tanzania KERO Wahitimu wa Diploma kutoka Chuo cha Uhasibu Arusha (IAA) tunasota kupata AVN Namba kutoka NACTVET

    Kutoka Chuo cha Uhasibu Arusha (IAA), kuna changamoto ya kupata Award Verification Number (AVN) Kwa Wanafunzi waliohitimu Diploma AVN ni Number inayotolewa na Baraza la Taifa la Elimu ya Ufundi na Mafunzo ya Ufundi Stadi (NACTVET) kwa wanafunzi waliohitimu Diploma, inayowasaidia kuomba mkopo...
  10. Tochuku

    JamiiForums Tanzania Ni njaa ama kukosa akili, kabila Gani Tanzania linapigia mwanamke magoti? Nimesikia aibu sana 🚮

    Labda mniambie wajuvi ambao mnajua jamii nyingi za kitanzania na makabila mbalimbali tamaduni zao Na utu uzima wangu huu ni wapi, ambapo mwanaume anamsujudia mwanamke? Tunaacha kumpigia magoti Mungu alieumba Dunia hii tunampigia magoti mwanadamu? Yan na wewe umekaa kwenye kiti umejitanua kabisa...
  11. Gunner11

    JamiiForums Tanzania Umaskini ni Kukosa Akili. Badilisha Mtazamo!

    Hivi unajua ya kuwa umaskini ni kukosa akili? Kama ni kweli hakuna mtu anayependa umaskini kwa nini hatuko sawa? Ulishawahi kujiuliza ni kwa nini, we share the same existence but live in different realities? Kumbe mafanikio Sio jitihada wakuu, mafanikio ni ku shift paradigm.. Yaani...
  12. Megalodon

    JamiiForums Tanzania Kijana, talaka ukiwa na Umri zaidi ya miaka 40 ni kukosa maturity

    Kijana ambao tunaitafuta 40 na wale ambao wapo kuanzia 40 ..na tayari upo kwenye ndoa au unaishi na mwanamke kama familia na mna watoto jifunze kuelewa kwamba age kama hiyo kufanya divorce ni kukosa ukomavu wa akili . Taarifa za RITA zinaonesha divorce ya vijana imekuwa kubwa hii inatafsiri...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Swali gani la darasani ukiulizwa hata ukiwa umeamka usingizini huwezi kukosa?

    Swali gani la darasani ukilizwa hata ukiwa usingizini huwezi kukosa hata ukiwa mzee?
  14. instinct desire

    JamiiForums Tanzania Stress za kukosa uteuzi zina haribu ubongo wa Pro. Tibaijuka

    Stress (msongo wa mawazo) ni hali ya mwili na akili kuwa katika shinikizo au mkazo kutokana na changamoto, matatizo, hofu, kazi nyingi, au mabadiliko mbalimbali katika maisha au kwenda kinyume kwa mipango na matarajio binafsi kama vile kupata uteuzi, kuoa/kuolewa, kujenga nyumba, kumiliki gari...
  15. battawi

    JamiiForums Tanzania Kukosa Harufu Miaka 3: Madaktari Nisaidieni

    Ndugu wana jamiiforum hasa madaktari, mimi ninashida ya kukosa kusikia harufu kwa zaidi ya miaka mitatu sasa. Madaktari wamejaribu kunipa dawa za ku spray pamoja na vidonge vya alegy lakini bado sijapata nafuu yoyote. Naomba msaada kwenye tuta. Nipigie I 0773 031227
  16. Frank Wanjiru

    JamiiForums Tanzania Simiyu: Wakamatwa kwa kumteka mtoto kisha kumuua baada ya kukosa hela

    Watu watatu wanashikiliwa na Jeshi la Polisi Mkoa wa Simiyu kwa mahojiano kuhusiana na tuhuma za kumteka mtoto mdogo mwenye umri wa Miaka Mitano na kudai fedha kiasi cha shilingi Milioni tano kutoka kwa Baba mzazi wa mtoto huyo kabla ya kumuua mtoto huyo baada ya kuzikosa fedha hizo. Kwa mujibu...
  17. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Haya hapa majibu ya MWAUWASA kuhusu kukosa maji kwa Wakazi wa Nyamhongolo

    Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Mwanza (MWAUWASA) imemjibu Mdau aliyeandika ~ Wakazi wa Nyamhongolo, tunapitia shida kubwa ya maji, ni wiki ya 3 maji hayatoki na MWAUWASA hatuambiwi tatizo ni nini? UFAFANUZI WA MWAUWASA... Habari Mdau wetu, pole kwa changamoto iliyojitokeza katika...
  18. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Kukosekana Mtaa wa Ellys Hoteli - Nyegezi, MWAUWASA yasema "Miundombinu binafsi ya Mteja inaweza kuchangia kukosa"

    Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Mwanza (MWAUWASA) imejibu hoja ya Mdau wa JamiiForums.com aliyeandika ~ Baada ya ziara ya Waziri wa Maji, Mtaa wa Ellys Hoteli Nyegezi na maeneo jirani tunaendelea kukosa maji MAJIBU YA MWAUWASA... Habari mdau wetu, pole kwa changamoto iliyojitokeza...
  19. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Hoja ya maji Nyamagana kukosa, MWAUSAWA yasema "Huduma inaendelea kila wiki kadri migao inavyotekelezwa"

    Baada ya Mdau kuanzisha hoja hii - MWAUWASA imekuwa jipu lisilotumbulika, Nyamagana - Mwanza ni mwezi sasa hatuna maji ufafanuzi umetolewa na Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Mwanza (MWAUWASA) kuhusu hoja hiyo: MAJIBU YA MWAUWASA... Habari mdau wetu, pole kwa changamoto iliyojitokeza...
  20. C

    JamiiForums Tanzania Upungufu wa watu wenye akili Tanzania ndicho chanzo cha migogoro mingi kukosa utatuzi,tizama mgogoro wa Simba

    Watu wengi huamini mtu mwenye vyeti vingi vya shule ndiye mwenye akili,lakini mimi naamini akili ni zaidi ya kumiliki vyeti vya shule. Mgogoro wa Simba ni mfano mzuri kuonesha watanzania wengi,hususan walio kwenye media na wanaojitokeza sana kuzungumza,hawana akili kabisa. Sijasikia mtu hata...
Back
Top Bottom