KERO Kukosa Fedha za Kujikimu Ajira Mpya Halmashauri ya URAMBO-TABORA kunapunguza morali yetu

KERO Kukosa Fedha za Kujikimu Ajira Mpya Halmashauri ya URAMBO-TABORA kunapunguza morali yetu

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
A

Anonymous

Guest
Walimu ajira mpya ya mwezi Februari 2026 katika Halmashauri ya URAMBO-TABORA, hadi sasa hatujalipwa Pesa ya Kujikimu.

Tukiuliza Ofisi za Utumishi hatupewi majibu yanayoeleweka; hili linatukatisha tamaa, hatujui cha kufanya.

Kucheleweshewa pesa za kujikimu siyo tu kunauwa morali yetu bali pia kunakiuka malengo ya pesa hiyo, kwani ilipaswa ilipwe mara tu tuliporipoti kazini.
 
Mnapokea lakini mishahara??? Kama mnapokea mishahara ridhika hela ya kujikimu ni haki yako itakuja wakati usioutegemea mkuu
 
Back
Top Bottom