Wakenya sita wamewasilisha kesi katika Mahakama Kuu wakitaka serikali izuiwe kutumia fedha za umma kufadhili mechi ya kirafiki kati ya Bayern Munich ya Ujerumani na Ajax ya Uholanzi inayotarajiwa kufanyika Januari 5, 2027, katika Uwanja wa Raila Odinga International Stadium.
Katika ombi lao la...
ajax
bayern munich
fedhafedha za umma
kenya
kesi
kesi mahakamani
kuandaa
kupinga
kupinga serikali
kutumia
mahakamani
mechi
munich
serikali
serikali kutumia
umma
Nakumbuka baada ya kulipa 650,000 Tsh as administration fee, wazazi tulilipa tena 100,000 Tsh kama fedha ya usafiri. This I guess was OK!
Now juzi watoto wamelipishwa tena 48,000Tsh kama fedha ya usafiri! Kulikoni? Tunaomba maelezo au ni upigaji as usual bila uongzi wa chuo kujua...
viongozi wachache wanaponza wachaga wote kuonekana kila kitu pesa mbele
Cv ya wachaga inaendelea kugalagazwa matopeni kwa haya matukio ya wanasiasa wake wa upinzani kuvigeuza vyama kuwa mitambo ya kupiga deal na kuwa madalali wa siasa.
fedha
harakati
katika
kitu
kuliko
mbele
misingi
msimamo
pesa
sana
siasa
siasa za upinzani
thamani
uaminifu
upinzani
viongozi
wachache
wachaga
wengi
wote
Kampuni ya SUMAJKT GUARD hawaweki pesa kwenye mfuko wa PSSSF kwa wafanyakazi wake kila wakiulizwa wanakuwa wakali sana.
Nipo Dodoma na shida ipo kote Tanzania zima, Kanda ya Kati ila tatizo lipo kotekote Tanzania nzima. Suma JKT Guard Dodoma.
k
Anonymous
Thread
fedha
guard
jkt
psssf
sana
suma jkt
wafanyakazi
wakali
wake
Yani mkipiga vibunda vyenu uko mnaelekeza kwenye Account moja ya kibenki,
kama ni mishahara yote ikiingia mnaihamishia kwenye Account Moja fast.
Let say father umepiga 15m
wife kapiga 20m yote hio inaelekezwa kwenye account Moja then mnakaa chini kuzipangia matumizi.
FEDHA UJENZI WA MELI ABIRIA 600 ZATAFUNWA,MRADI WAKWAMA KIGOMA
Mradi mkubwa wa Meli ya abiria 600 iliyokuwa imekusudiwa kujengwa mkoani Kigoma umekwama kutokana na fedha za awali (advance) zilizokuwa zimetolewa na serikali ili kuanza ujenzi zimetafunwa.
Mradi wa meli hiyo ambayo ujenzi wake...
Mwenyekiti wa Mfuko wa Jimbo la Buchosa ambaye ni mbunge wa jimbo hilo Eric Shigongo ameelekeza kukamatwa na kuswekwa ndani Mtendaji wa Kata ya Kafunzo Chuma Sengerema kwa tuhuma za ubadhirifu wa fedha za mfuko wa jimbo kiasi cha shilioni milioni tano.
Hatua hiyo imekuja baada ya Mbunge wa...
Sisi ni walimu tulioajiriwa Januari 2026 katika Halmashauri ya Wilaya ya Mkalama. Baada ya kudai fedha za kujikimu kwa muda mrefu, mwezi Agosti tuliingiziwa TSh 250,000/= bila maelezo yoyote rasmi. Tangu hapo, viongozi wamekaa kimya hadi leo.
Tunaomba TAMISEMI na mamlaka husika zitusaidie...
Anonymous
Thread
ajira
ajira mpya
fedhafedha za kujikimu
halmashauri
kujikimu
malipo
mpya
wilaya
Chunguza vizuri sana..
Watu wengi sana wanalia fedha zao kudhulumika baada ya kuwaamini watu hawa na kuwakopesha wakiwaamini kwamba baada ya muda fedha zao zitarejeshwa...
Hawa watu hawana Aibu wala utu kwenye suala la fedha!
Wa kwanza ni mzazi wako
Ushauri wangu
Njia pekeeya kumkopesha...
Unakua mjinga mmoja ni Kiongozi, anakosolewa kwa nafasi ya Uongozi wake.
Au ni mjinga huyu ni Maarufu ,Msaniii, Kiongozi ,ni MwanaCCM , Mfanyabiashara .
Inapotokea amekosolewa au kuambiwa ukweli juu ya jambo Fulani , huyu mjinga atafanya mambo yafuatayo
Ama aandike au arekodi video...
Serikali wilayani Singida imewataka vijana wanaojihusisha na biashara ya Q-NET kuacha shughuli hiyo na kurejea makwao, kufuatia tuhuma za kulaghaiwa kwa ahadi za kupata malipo makubwa yasiyoendana na uhalisia.
Wito huo umetolewa na Mkuu wa Wilaya ya Singida, Godwin Gondwe, baada ya vijana...
Habari, hali ya kutolipwa au kucheleweshewa malipo imekuwa kama desturi kwa watumishi wa Halmashauri ya Wilaya ya Chemba, Dodoma.
Hakuna hatua zinazoonekana kuchukuliwa kuhakikisha tunalipwa fedha zetu kwa wakati, licha ya kuwa tunatumia fedha zetu wenyewe kujikimu na kutekeleza majukumu yetu...
Anonymous
Thread
bado
fedha
kamili
kutoka
majibu
wahusika
watumishi
wilaya
wilaya ya chemba
Katika biblia tunasoma kwamba Yuda alimuuza Yesu kwa vipande 30 vya fedha. Yuda anachukuliwa kama msaliti kwa sababu aliamua kushirikiana na maadui kumuuza Yesu kwa maslahi yake binafsi. Hadi siku hizi, mtu yeyote anayeenda kinyume na mtazamo wa wengi kwa maslahi yake binafsi, huitwa Yuda...
Huku kwetu pesa za kujikimu watu wana miaka 11 hawajalipwa. Majibu ni watalipa watakapokuwa tayari. Halmashauri ya Wilaya ya Kwimba, Mkoa wa Mwanza.
Ni majibu ya Afisa Utumishi, na hata leo tu limetoka jibu la kutuvunja kabisa moyo, kuwa watalipwa ajira mpya kuanzia sasa, hamna fungu kwa ajili...
Anonymous
Thread
fedhafedha za kujikimu
halmashauri
hawana
kujikimu
kulipa
mpango
wilaya
Walimu ajira mpya ya mwezi Februari 2026 katika Halmashauri ya URAMBO-TABORA, hadi sasa hatujalipwa Pesa ya Kujikimu.
Tukiuliza Ofisi za Utumishi hatupewi majibu yanayoeleweka; hili linatukatisha tamaa, hatujui cha kufanya.
Kucheleweshewa pesa za kujikimu siyo tu kunauwa morali yetu bali pia...
Anonymous
Thread
ajira
ajira mpya
fedhafedha za kujikimu
halmashauri
kujikimu
kukosa
mpya
Halmashauri ya wilaya ya Kaliua chini ya Mkurugenzi na Mwenyekiti wa Halmashauri wameingia katika mgogoro na Wananchi kwa kuacha maeneo mawili yaliyotengwa kwa ajili ya kujenga Masoko na kutafuta eneo lingine ambalo litagharimu mabilioni ya fedha kulipa fidia kwa wamiliki wa ardhi.
Wananchi...
eneo
fedhafedha za umma
kaliua
katika
mabaya
matumizi
matumizi mabaya
matumizi mabaya ya fedha
rushwa
soko
ujenzi
ujenzi wa soko
umma
wilaya
wilaya ya kaliua
Habari za wakati huu wanajukwaa la JamiiForums! 🇹🇿
Je, umekuwa na ndoto ya kuagiza gari kutoka Japan au nchi nyingine, lakini changamoto ya mtaji imekuwa kikwazo? Au tayari gari lako limefika bandarini Tanzania, lakini unatafuta namna ya kugharamia ushuru wa forodha na gharama nyingine za...
Kumekuwa na mambo ya kutoridhisha yanayoendelea katika hospitali ya MZENGA, katika Kata ya Mzenga mkoani Pwani, kufuatia malalamiko mazito kutoka kwa wananchi kuhusu utozaji wa fedha kinyume cha taratibu kwa watumiaji wa Bima ya Afya, uzembe wa baadhi ya wauguzi, na ubadhirifu wa dawa za...
Rais wa Shirikisho la Vyama vya Wachimbaji Madini Tanzania (FEMATA), John Bina, amesema viongozi wote ndani ya Shirikisho hilo wanaodaiwa kutapeli fedha za Wachimbaji wadogo watafikishwa Mahakamani na kuhakikisha wanarejesha fedha hizo.
Wachimbaji hao walilipa zaidi ya Shilingi Milioni 11 kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.