Nyerere kaiuza Tanganyika kwa vipande 30 vya fedha

tpaul

Platinum Member
Joined
Feb 3, 2008
Posts
27,843
Reaction score
29,350
Katika biblia tunasoma kwamba Yuda alimuuza Yesu kwa vipande 30 vya fedha. Yuda anachukuliwa kama msaliti kwa sababu aliamua kushirikiana na maadui kumuuza Yesu kwa maslahi yake binafsi. Hadi siku hizi, mtu yeyote anayeenda kinyume na mtazamo wa wengi kwa maslahi yake binafsi, huitwa Yuda.

Uyuda wa Yuda Eskarioti hauna tofauti na uyuda wa Nyerere, hasa tunapotafakari aina hii ya muungano wa ovyo alioubuni. Wakati Nyerere alipofika bei ya kuiuza Tanganyika kwa Karume, Rais Karume alipendekeza ziundwe serikali tatu:

Serikali ya Tanganyika;
Serikali ya Zanzibar; na
Serikali ya Shirikisho.

Kwa sababu ya kutafuta sifa za kijinga na kwa kujiona yeye ni msomi kuliko watu wote, Nyerere alikataa wazo la Karume lakini akapendekeza kuwepo na aina ya huu muungano wa kipumbavu unaotutesa hadi sasa. Ijapokuwa Nyerere alijiona msomi mwenye shahada ya uzamiri (MA in Political Science and Ecomics) ukilinganisha na Karume ambaye hakwenda shule, inaonekana wazi Karume alikuwa na busara na IQ kubwa kuliko Nyerere.

Ukiangalia wazo la Karume, utagundua Karume alikuwa sahihi kwa zaidi ya 100%. Laiti huyu msomi uchwara mwenye mawazo ya kijima (Nyerere) angemsikiliza Karume na kuunda serikali 3, nchi ya Tanganyika isingemezwa na kugeuzwa kuwa koloni la Zanzibar. Huu muungano wetu ni wa kishetani sana. Wewe fikiria wakati Nyerere anaiuza Tanganyika, idadi ya watu Tanganyika ilikuwa 12,000,000 huku Zanzibar ikiwa na watu 300,000 tu. Wakati huo mkoa wa Mwanza pekee ulikadiriwa kuwa na idadi ya watu wapatao 1,000,000. Yaani nchi nzima ya Zanzibar ilikuwa haifikii hata kuwa sehemu ya mkoa wa Tanganyika!

Sasa fikiria Zanzibar haifikii hadhi ya mkoa wowote ule wa nchi ya Tanganyika lakini tunagawana mapato pasu. Wao wanakusanya mapato yao kule Zanzibar wanayatumia wenyewe lakini sisi kile tunachokusanya hapa Tanganyika tunagawana nao pasu. Kama sio uzezeta ni nini? Kumbuka uzezeta huu uliasisiwa na Nyerere kwa maslahi ya kutafuta kiki kimataifa ili aonekane anapenda umoja. Mtu wa ovyo sana huyu.

Hawa walaji wa uroja na machogo yao wanafaidi sana rasilimali za Tanganyika. Wametapakaa kila mkoa wa Tanganyika wakimiliki mamilioni ya ekari za ardhi ilhali hakuna mtanganyika anayeruhusiwa kumiliki ardhi wala kujenga kwenye ardhi yao huko Zanzibar. Huu sasa ni muungano gani kama sio utoko? Natamani siku moja huu muungano ufe tutaifishe mali zote wanazomiliki hapa Tanganyika na kuwafurusha makwao hawa mbweha wakashindie urojo.

Kwa kuwa Nyerere ndiye aliyetuletea upumbavu huu, anapaswa kulaumiwa na kulaaniwa na kila mtanzania badala ya kuonekana shujaa wa Taifa. Bila yeye, upumbavu wote huu usingewezekana na usingekuwepo.

Nawasilisha.
​
 
ok ndugu msusa uchaguzi 🐒
 
Tangu lini wewe Mpemba ukawa na uchungu na Tanganyika? Umeandika unafiki mtupu. Nyerere kafa 1999, imepita miaka mingapi hamjabadirisha hilo?
 
Hiki kilio tunacholia watanganyika wazanzibar wamelia kwa zaidi ya miaka 50 na tuliwaambia wakitaka wavunje muungano
Mda tulipoweka rais wetu
Nyerere,Mkapa,Jakaya,Magu na hata Mwinyi maana si wa hapo Masaki tuliona sawa
Wazanzibar hawawezi kuuvunja huu muungano uchwara kwa sababu wananufaika nao kwa zaidi ya 100%.
 
Sawa.Tukubali Nyerere alikosea.Na,alituasa kwamba anatuachia nchi ila tuchukue mazuri yake(uongozi wa wakati wao)na kuendelea na kuyaboresha zaidi.Yaliyo mabaya,tuyaache.Sasa hadi leo tutabaki tunamlilia na kumlaumu marehemu hadi lini?Muda ni sasa(wakati ni huu),tubadilishe tukitakacho.
 
Mkuu, hapa hatulii bali tunaweka historia sawa tunapoadhimisha siku ya Nyerere day.
 
Mnachekesha 😂 Nyerere alifanya mengi baadhi mazuri baadhi ya hovyo ! Hiyo miaka nenda rudi mmechukua hatua gani kurekebisha hayo aliyokosea ! Tena too good hakujifanya Mungu mtu kama wenzie waliong'ang'ania madaraka hadi leo !

Sasa kama kitu kinatuumiza kwanini tusikivunje , utagundua tatizo haliko kwa Nyerere tatizo liko kwetu wenyewe! Yeye alifanya kwa nafasi yake na kwa maono yake aliona chafaa !

Muache kulia lia mazuri mengi aliyoyaacha mzee yote yamewashinda kuyaendeleza , mabaya mmeshindwa kurekebisa mnataka kuanza kuonewa huruma !
Hapo hapo inapouma , tunagongelea msumari 😂
 
Wewe unashauri nini kifanyike mkuu?
 
Katika biblia tunasoma kwamba Yuda alimuuza Yesu kwa vipande 30 vya fedha. Yuda anachukuliwa kama msaliti kwa sababu aliamua kushirikiana na maadui kumuuza Yesu kwa maslahi yake binafsi. Hadi siku hizi, mtu yeyote anayeenda kinyume na mtazamo wa wengi kwa maslahi yake binafsi, huitwa Yuda.

Uyuda wa Yuda Eskarioti hauna tofauti na uyuda wa Nyerere, hasa tunapotafakari aina hii ya muungano wa ovyo alioubuni. Wakati Nyerere alipofika bei ya kuiuza Tanganyika kwa Karume, Rais Karume alipendekeza ziundwe serikali tatu:

Serikali ya Tanganyika;
Serikali ya Zanzibar; na
Serikali ya Shirikisho.

Kwa sababu ya kutafuta sifa za kijinga na kwa kujiona yeye ni msomi kuliko watu wote, Nyerere alikataa wazo la Karume lakini akapendekeza kuwepo na aina ya huu muungano wa kipumbavu unaotutesa hadi sasa. Ijapokuwa Nyerere alijiona msomi mwenye shahada ya uzamiri (MA in Political Science and Ecomics) ukilinganisha na Karume ambaye hakwenda shule, inaonekana wazi Karume alikuwa na busara na IQ kubwa kuliko Nyerere.

Ukiangalia wazo la Karume, utagundua Karume alikuwa sahihi kwa zaidi ya 100%. Laiti huyu msomi uchwara mwenye mawazo ya kijima (Nyerere) angemsikiliza Karume na kuunda serikali 3, nchi ya Tanganyika isingemezwa na kugeuzwa kuwa koloni la Zanzibar. Huu muungano wetu ni wa kishetani sana. Wewe fikiria wakati Nyerere anaiuza Tanganyika, idadi ya watu Tanganyika ilikuwa 12,000,000 huku Zanzibar ikiwa na watu 300,000 tu. Wakati huo mkoa wa Mwanza pekee ulikadiriwa kuwa na idadi ya watu wapatao 1,000,000. Yaani nchi nzima ya Zanzibar ilikuwa haifikii hata kuwa sehemu ya mkoa wa Tanganyika!

Sasa fikiria Zanzibar haifikii hadhi ya mkoa wowote ule wa nchi ya Tanganyika lakini tunagawana mapato pasu. Wao wanakusanya mapato yao kule Zanzibar wanayatumia wenyewe lakini sisi kile tunachokusanya hapa Tanganyika tunagawana nao pasu. Kama sio uzezeta ni nini? Kumbuka uzezeta huu uliasisiwa na Nyerere kwa maslahi ya kutafuta kiki kimataifa ili aonekane anapenda umoja. Mtu wa ovyo sana huyu.

Hawa walaji wa uroja na machogo yao wanafaidi sana rasilimali za Tanganyika. Wametapakaa kila mkoa wa Tanganyika wakimiliki mamilioni ya ekari za ardhi ilhali hakuna mtanganyika anayeruhusiwa kumiliki ardhi wala kujenga kwenye ardhi yao huko Zanzibar. Huu sasa ni muungano gani kama sio utoko? Natamani siku moja huu muungano ufe tutaifishe mali zote wanazomiliki hapa Tanganyika na kuwafurusha makwao hawa mbweha wakashindie urojo.

Kwa kuwa Nyerere ndiye aliyetuletea upumbavu huu, anapaswa kulaumiwa na kulaaniwa na kila mtanzania badala ya kuonekana shujaa wa Taifa. Bila yeye, upumbavu wote huu usingewezekana na usingekuwepo.

Nawasilisha.
​
Lingelikuwa jambo jema kabla hujajadili jambo ukawa na ufahamu nalo. Wazungu wanasema "information is power".
Huna taarifa sahihi kuhusu masuala ya miungano zaidi ya kutumia hisia, tetesi na mihemko tu ukijua wengine hawajui na watakuunga mkono.
Nikusaidie mambo kadhaa;
a) Mgawo wa mapato ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania HAYAJAWHI kutolewa pasu kwa pasu bali hutolewa kwa uwiano wa asilimia ambapo obviously Tanzania Bara inapata kikubwa zaidi kuliko Tanzania Visiwani. Mfano, Tanzania Visiwani inapata Mgawo wa mikopo na misaada kwa asilimia 4.5. (Chanzo Benki Kuu ya Tanzania).

b) Makusanyo ya Kodi za VAT na Kodi ya Mapato ya Tanzania Bara yanabaki Bara na ya Tanzania Visiwani yanabaki Visiwani. (Chanzo Benki Kuu ya Tanzania).

c) Muungano wa Tanzania sio wa kipekee dunia nzima. Uingereza (United Kingdom) ni mjumuisho wa nchi nne za England, Scotland, Wales na Northern Ireland. Scotland, Wales na Northern Ireland zote zina Serikali zao za ndani na mabunge yao ya ndani kama Zanzibar. Lakini England haina Serikali yake ya ndani bali inaendeshwa na Serikali ya Muungano kwa maana Uingereza (The United Kingdom) ambavyo Tanzania Bara inavyoendeahwa na Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania pekee.
Pia Kuna nchi nyingi tu zenye miungano ya namna kama vile Monaco ndani ya Ufaransa, Catalunya ndani ya Hispania na Greenland ndani ya Denmark kutaja kwa uchache.
d) Kuna sababu kwanini kunakuwa na miungano kama hiyo. Pale nchi moja kubwa inapoingia kwenye muungano na nchi ndogo, kunakuwa na makubaliano ya nchi ndogo kuendelea kuhifadhi utambulisho wake kwa hofu usije ukamezwa na nchi kubwa waliounga a nao. Mfano, Chechnya ni nchi inayojitegemea Ikiwa na "Mkuu wa Nchi" anayechaguliwa kwa kupigiwa kura na Wachechen, lakini ni sehemu ya Shirikisho la Russia. Sababu ni kwamba Chechnya ina watu wake, asili yake, dini yake na utamaduni wake tofauti na Russia kuu.

Tujitahidi sana kutafuta habari au taarifa sahihi kabla ya kulaumulaumu. Kama unafikiri kuna "nchi" inaitwa Tanganyika unajidanganya. Hakuna nchi yenye watu wenye asili ya Tanganyika au utamaduni wa Tanganyika. Bali kuna Wahaya, Wasukuma, Wagogo, Wazaromo na Wachagga kutaja wachache ambao nao baada ya kuwa na Tanganyika wanaweza kudai "mataifa" yao ili kulinda asili zao, Imani zao, desturi zao na tamaduni zao.

Mwisho wa siku hiyo Tanganyika unayoidai utakuta haipo! Ahahahahaha!!!
 
Katika biblia tunasoma kwamba Yuda alimuuza Yesu kwa vipande 30 vya fedha. Yuda anachukuliwa kama msaliti kwa sababu aliamua kushirikiana na maadui kumuuza Yesu kwa maslahi yake binafsi. Hadi siku hizi, mtu yeyote anayeenda kinyume na mtazamo wa wengi kwa maslahi yake binafsi, huitwa Yuda.

Uyuda wa Yuda Eskarioti hauna tofauti na uyuda wa Nyerere, hasa tunapotafakari aina hii ya muungano wa ovyo alioubuni. Wakati Nyerere alipofika bei ya kuiuza Tanganyika kwa Karume, Rais Karume alipendekeza ziundwe serikali tatu:

Serikali ya Tanganyika;
Serikali ya Zanzibar; na
Serikali ya Shirikisho.

Kwa sababu ya kutafuta sifa za kijinga na kwa kujiona yeye ni msomi kuliko watu wote, Nyerere alikataa wazo la Karume lakini akapendekeza kuwepo na aina ya huu muungano wa kipumbavu unaotutesa hadi sasa. Ijapokuwa Nyerere alijiona msomi mwenye shahada ya uzamiri (MA in Political Science and Ecomics) ukilinganisha na Karume ambaye hakwenda shule, inaonekana wazi Karume alikuwa na busara na IQ kubwa kuliko Nyerere.

Ukiangalia wazo la Karume, utagundua Karume alikuwa sahihi kwa zaidi ya 100%. Laiti huyu msomi uchwara mwenye mawazo ya kijima (Nyerere) angemsikiliza Karume na kuunda serikali 3, nchi ya Tanganyika isingemezwa na kugeuzwa kuwa koloni la Zanzibar. Huu muungano wetu ni wa kishetani sana. Wewe fikiria wakati Nyerere anaiuza Tanganyika, idadi ya watu Tanganyika ilikuwa 12,000,000 huku Zanzibar ikiwa na watu 300,000 tu. Wakati huo mkoa wa Mwanza pekee ulikadiriwa kuwa na idadi ya watu wapatao 1,000,000. Yaani nchi nzima ya Zanzibar ilikuwa haifikii hata kuwa sehemu ya mkoa wa Tanganyika!

Sasa fikiria Zanzibar haifikii hadhi ya mkoa wowote ule wa nchi ya Tanganyika lakini tunagawana mapato pasu. Wao wanakusanya mapato yao kule Zanzibar wanayatumia wenyewe lakini sisi kile tunachokusanya hapa Tanganyika tunagawana nao pasu. Kama sio uzezeta ni nini? Kumbuka uzezeta huu uliasisiwa na Nyerere kwa maslahi ya kutafuta kiki kimataifa ili aonekane anapenda umoja. Mtu wa ovyo sana huyu.

Hawa walaji wa uroja na machogo yao wanafaidi sana rasilimali za Tanganyika. Wametapakaa kila mkoa wa Tanganyika wakimiliki mamilioni ya ekari za ardhi ilhali hakuna mtanganyika anayeruhusiwa kumiliki ardhi wala kujenga kwenye ardhi yao huko Zanzibar. Huu sasa ni muungano gani kama sio utoko? Natamani siku moja huu muungano ufe tutaifishe mali zote wanazomiliki hapa Tanganyika na kuwafurusha makwao hawa mbweha wakashindie urojo.

Kwa kuwa Nyerere ndiye aliyetuletea upumbavu huu, anapaswa kulaumiwa na kulaaniwa na kila mtanzania badala ya kuonekana shujaa wa Taifa. Bila yeye, upumbavu wote huu usingewezekana na usingekuwepo.

Nawasilisha.
​

Haya uliyoyaandika yote ni kinyume chake . Usidanganywe na msidanganywe .

Nyerere ameuwa watu kwa maelfu Zanzibar na kufanya ujanja wa kuimeza kabisa . Msikilize Mtanganyika mwenzako Lisu anachokisema kuhusu muungano

View: https://www.youtube.com/watch?v=kvN0jG_1QJc
 
Katika biblia tunasoma kwamba Yuda alimuuza Yesu kwa vipande 30 vya fedha. Yuda anachukuliwa kama msaliti kwa sababu aliamua kushirikiana na maadui kumuuza Yesu kwa maslahi yake binafsi. Hadi siku hizi, mtu yeyote anayeenda kinyume na mtazamo wa wengi kwa maslahi yake binafsi, huitwa Yuda.

Uyuda wa Yuda Eskarioti hauna tofauti na uyuda wa Nyerere, hasa tunapotafakari aina hii ya muungano wa ovyo alioubuni. Wakati Nyerere alipofika bei ya kuiuza Tanganyika kwa Karume, Rais Karume alipendekeza ziundwe serikali tatu:

Serikali ya Tanganyika;
Serikali ya Zanzibar; na
Serikali ya Shirikisho.

Kwa sababu ya kutafuta sifa za kijinga na kwa kujiona yeye ni msomi kuliko watu wote, Nyerere alikataa wazo la Karume lakini akapendekeza kuwepo na aina ya huu muungano wa kipumbavu unaotutesa hadi sasa. Ijapokuwa Nyerere alijiona msomi mwenye shahada ya uzamiri (MA in Political Science and Ecomics) ukilinganisha na Karume ambaye hakwenda shule, inaonekana wazi Karume alikuwa na busara na IQ kubwa kuliko Nyerere.

Ukiangalia wazo la Karume, utagundua Karume alikuwa sahihi kwa zaidi ya 100%. Laiti huyu msomi uchwara mwenye mawazo ya kijima (Nyerere) angemsikiliza Karume na kuunda serikali 3, nchi ya Tanganyika isingemezwa na kugeuzwa kuwa koloni la Zanzibar. Huu muungano wetu ni wa kishetani sana. Wewe fikiria wakati Nyerere anaiuza Tanganyika, idadi ya watu Tanganyika ilikuwa 12,000,000 huku Zanzibar ikiwa na watu 300,000 tu. Wakati huo mkoa wa Mwanza pekee ulikadiriwa kuwa na idadi ya watu wapatao 1,000,000. Yaani nchi nzima ya Zanzibar ilikuwa haifikii hata kuwa sehemu ya mkoa wa Tanganyika!

Sasa fikiria Zanzibar haifikii hadhi ya mkoa wowote ule wa nchi ya Tanganyika lakini tunagawana mapato pasu. Wao wanakusanya mapato yao kule Zanzibar wanayatumia wenyewe lakini sisi kile tunachokusanya hapa Tanganyika tunagawana nao pasu. Kama sio uzezeta ni nini? Kumbuka uzezeta huu uliasisiwa na Nyerere kwa maslahi ya kutafuta kiki kimataifa ili aonekane anapenda umoja. Mtu wa ovyo sana huyu.

Hawa walaji wa uroja na machogo yao wanafaidi sana rasilimali za Tanganyika. Wametapakaa kila mkoa wa Tanganyika wakimiliki mamilioni ya ekari za ardhi ilhali hakuna mtanganyika anayeruhusiwa kumiliki ardhi wala kujenga kwenye ardhi yao huko Zanzibar. Huu sasa ni muungano gani kama sio utoko? Natamani siku moja huu muungano ufe tutaifishe mali zote wanazomiliki hapa Tanganyika na kuwafurusha makwao hawa mbweha wakashindie urojo.

Kwa kuwa Nyerere ndiye aliyetuletea upumbavu huu, anapaswa kulaumiwa na kulaaniwa na kila mtanzania badala ya kuonekana shujaa wa Taifa. Bila yeye, upumbavu wote huu usingewezekana na usingekuwepo.

Nawasilisha.
​

View: https://www.youtube.com/watch?v=hsNMiqFLPVU
 
Kwa kuwa Nyerere ndiye aliyetuletea upumbavu huu, anapaswa kulaumiwa na kulaaniwa na kila mtanzania badala ya kuonekana shujaa wa Taifa. Bila yeye, upumbavu wote huu usingewezekana na usingekuwepo.
Nyerere alikufa akaacha wasomi wangapi ? Na tokea amekufa ni mda gani umepita? Na leo hii wasomi wako wangapi? Taifa gani lenye wasomi wa kila aina tumlaumu Nyerere? Alifanya yale kwa wakati ule nakufananisha na mtu mmoja kwenye maandiko alipewa talanta akaenda kuifukia akimhofia mkuu wake kuwa alikuwa mkali akajawa woga na hofu yakuzalisha talanta nyingine.
Pia kuna vizazi havitakuelewa maana havijamkuta nani umeweza kuvunja record ya Nyerere kwa awamu zote hizi Old is Gold!
 
Nyerere alikuwa akiasisi jambo watu wengine kuja kulibadilisha ilikuwa ngumu sana, ukiondoa machache kama azimio la Arusha na mfumo wa chama kimoja ambalo mzimu wake bado unatembea
 
Back
Top Bottom