Katika mapambano ya kitabaka harakati ndio kichocheo kikubwa sana cha mageuzi katika jamii.
Kusema kweli hata chama cha siasa ni lazima kinuse fukuto la wana harakati na kuweka mikakati ya kubeba sauti za wanaharakati ili kisijepigwa na dhoruba ya mabadiliko ya lazima.
Kihistoria tunafahamu...
KANISA KATOLIKI wametupigania muda mrefu sana Tanganyika.
TISS na Polisi waliua raia Mwanza na Shinyanga, January mpaka March 1976.
Maiti zilipelekwa Maswa District Hospital na Bugando Hospitali zikitokea kwenye
dangulo la mahojiano la Kigoto, nje ya jiji la Mwanza pamoja na dangulo na...
Kataa au ukubali lawama kwa yanayoendelea nchi hii Nyerere hazimkwepi hata kidogo yeye anahusika kwa yanayoendelea wala tusifichane uungu mtu wake na kujifanya Godfather ndiyo imeifanya nchi hii iwe hapa
Umasikini,udini,unyonge,ujinga na katiba mbovu yeye ndiyo muhusika kwasababu hakutaka...
Nyerere ni muasisi wa CCM, alitumia short cut kuukwepa ukabila kwa kuanzisha CCM. Naweza kusema hakuona mbali kwa sababu mfumo haujaweza kufanya kazi bila yeye kuwepo.
CCM ni zaidi ya makaburu wa south ambao Nyerere alipigana nao
Heche anatukumbusha wosia wa Nyerere na wajibu wa vijana wanaopata elimu bure.
Those who receive this privilege have a duty to repay the sacrifice which others have made. They are like the man who was given all the food in a starving village in order to have strength to bring back supplies from...
Katika hotuba na nasaha zake, Baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere alitumia msemo wa "vigorofa kama viberiti" kuelezea majengo marefu yenye nafasi finyu sana na yaliyosongamana bila kufuata mipango miji mizuri au yaliyojengwa kwa mlundikano usio na tija kwa maisha ya jamii.
Muktadha...
Baada ya kifo chake kilichotokea tarehe 14 Oktoba 1999 huko London, mwili wake ulirejeshwa Tanzania na kuagwa kitaifa katika Uwanja wa Taifa (sasa Uwanja wa Uhuru) Dar es Salaam, kabla ya kusafirishwa kwenda Butiama kwa ajili ya mazishi ya kifamilia tarehe 23 Oktoba.
Kwa mujibu wa mila za...
This is a factual account, read it as a story of how the vagaries of life can take you from a refugee fleeing debt to a president, or a character flaw and seminal integrity issue that explain bigger leadership problems in Uganda and Africa.
You are probably aware that Yoweri Museveni studied at...
1. JESHI NA VYOMBO VYA ULINZI NA USALAMA
Njia mojawapo ya kawaida ya mapinduzi ya serikali ni jeshi kuingilia siasa na kuiondoa serikali iliyopo madarakani kwa kutumia nguvu. Kwa mfano walichofanya kina Ibrahim Traore wa Burukina Faso.
Hata hivyo, katika muktadha wa Tanzania, Baada ya...
Nyerere hakutaka kuhusisha urais wake na familia yake, Mkapa hakutaka hata tuwajue watoto wake, Magufuli vile vile sijui hata ana mtoto wa kiume.
Sasa njoo kwa wenzetu, Karume rais mtoto wake rais, Mwinyi rais mtoto wake rais, Kikwete rais mtoto wake waziri, mke wake mbunge, Samia rais mtoto...
baba
baba wa taifa
day
julius kambarage nyerere
kambarage
kumbukizi
mkuu
mwalimu
nyererenyerere day
ofisi
ofisi ya waziri
ofisi ya waziri mkuu
oktoba
siku
taifa
waziri
waziri mkuu
Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba na Mwenza wake Bi. Neema Nchemba wakiwa pamoja na Mama Maria Nyerere katika Misa Takatifu ya Kumbukizi ya Hayati Baba wa Taifa, Mwalimu Julius K. Nyerere, iliyofanyika leo Oktoba 14, 2026 Kanisa Kuu la Mtakatifu Epifania, Sumbawanga, Rukwa.
Katika Ibada hiyo...
Enzi za Mwalimu Nyerere (1961-1985) serikali ilisimamia, ilimiliki na kuendesha viwanda mbalimbali vipatavyo 400.
*Orodha ifuatayo ni sehemu ya viwanda hivyo vilivyokuwa vikitekeleza jukumu la uzalishaji ili kujenga taifa lenye uchumi imara.
1. TANGANYIKA PACKERS-kusindikaji wa nyama...
Kichwa cha habari kitoshe kuwasilisha ujumbe. Leo, ni kumbukizi la 27 la Mwalimu Julius Nyerere. Tukiwakumbuka mashujaa wetu waliouawa na tawala zandiki mwaka jana mwezi kama huu, tukiwa tunamkumbuka Nyerere nao tusiwasahau.
Je, wewe umewakumbukaje katika kumbukizi hili la Mwalimu?
Hanikiza...
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Mh. DEOGRATIUS NDEJEMBI akiwa katika picha ya pamoja na Wakimbiza Mwenge wa Uhuru kitaifa mara baada ya kuhitimisha kilele cha Mbio za Mwenge wa Uhuru na Kumbukizi ya miaka 27 ya kifo cha Hayati Mwalimu Julius Kambarage Nyerere mjini...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.