Father of All
JF-Expert Member
- May 30, 2026
- 458
- 843
Kichwa cha habari kitoshe kuwasilisha ujumbe. Leo, ni kumbukizi la 27 la Mwalimu Julius Nyerere. Tukiwakumbuka mashujaa wetu waliouawa na tawala zandiki mwaka jana mwezi kama huu, tukiwa tunamkumbuka Nyerere nao tusiwasahau.
Je, wewe umewakumbukaje katika kumbukizi hili la Mwalimu?
Hanikiza akwa sauti ili watawala wanaomnafiki, kumtumia, na kumkebehi Nyerere kwa matendo yao machafu japo wasikie au kuambiwa na machawa wao waliojaa humu Jf.
Nawasilisha.