oktoba

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania MWAUWASA: Huduma ya maji imerejea Nyegezi, kulikuwa na changamoto Oktoba 13 hadi 20, 2026

    Baada ya andiko la Mdau aliyeelezea "Hali ya maji katika Jiji la Mwanza inazidi kuwa mbaya! Mfano ni Nyegezi," kupitia andiko hili ~ Mwanza: Kuna kero sugu ya maji. Wananchi tumechoshwa na visingizio, malaka husika imetoa neno. Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Mwanza (MWAUWASA)...
  2. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Mfadhili ajitokeza kumsaidia mtoto Angel aliyepigwa risasi Oktoba 29, Manzese

    https://www.instagram.com/p/DfK43SzjUOo/ Mfadhili ajitokeza kumsaidia mtoto Angel aliyepigwa risasi Oktoba 29 Manzese: Kugharamia matibabu Muhimbili, makazi na elimu. Mama wa Angel awashukuru Watanzania, mfadhili na Hospitali ya Taifa Muhimbili kwa msaada wa hali na mali. Pia soma ~ Mtoto wa...
  3. Parabolic

    JamiiForums Tanzania Prof Lwaitama: Tume za kuchunguza Oktoba 29 ni janja janja tu

    Mchambuzi wa masuala ya siasa na kada wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Profesa Azaveli Lwaitama, amezitaja tume zilizoundwa kuchunguza matukio ya Oktoba 29, 2025, kuwa ni “mambo ya ujanja ujanja”, akidai kuwa zina lengo la kupunguza hasira za wananchi na kurejesha matumaini kwa...
  4. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania 2007 Lucky Dube aliuawa na vibaka kwa dhumuni la kuiba gari yake. Ironically Dube aliuawa na watu wale wale aliowaimbia na kuwashauri dhidi ya uharifu

    https://youtu.be/P0b1Sk7_VFM?is=cLeLJ-QDzigC9brU Mnamo Oktoba 18, 2007, Lucky Dube aliuawa na majambazi wenye silaha huko Rosettenville, kitongoji cha Johannesburg, muda mfupi baada ya kuwaacha watoto wake wawili nyumbani kwa mjomba wao. Dube alikuwa akiendesha gari lake aina ya Chrysler 300C...
  5. Anonymous

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Mwaka mmoja baada ya doa la Oktoba 29: Je,Taifa linaelekea kwenye suluhu?

    Mwaka mmoja baada ya Oktoba 29, Tanzania imepiga hatua gani kutoka katika kutambua yaliyotokea hadi kuweka wazi ukweli, kuwawajibisha wahusika na kutoa haki kwa walioathirika? Ni takribani mwaka mmoja tangu Tanzania ikumbwe na doa kubwa katika historia yake kufuatia uchaguzi mkuu wa Oktoba 29...
  6. Waterloo

    JamiiForums Tanzania Je Mauaji ya Oktoba 29 sasa kuadhimishwa Kila mwaka?

    Watanzania poleni kwa kumbukizi ya mauaji ya maelfu ya ndugu jamaa na marafiki kufuatia ghasia za uchaguzi mkuu wa mwaka jana maarufu kama mauaji ya oktoba 29. Kwa kweli watanzania wameshindwa kusahau na kumove on. Ni mwaka sasa Serikali hii ya CCM ikijitahidi kumaliza mkwamo huu lakini naona...
  7. Ntemi_Ntale

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Je, mpaka sasa Serikali imewajibika kwa kilichotokea Oktoba 29, 2025?

    Tarehe 14 Novemba 2025, Rais Samia alitangaza kuundwa kwa Tume ya Uchunguzi kuhusu mauaji yaliyotokea wakati na baada ya uchaguzi. Tume hiyo iliyoongozwa na Jaji Mkuu mstaafu Mohamed Chande Othman ilibaini kuwa watu 518 walipoteza maisha, wengi wao kwa majeraha ya risasi. Mwenyekiti wa Tume hio...
  8. M

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Askofu Rweyongeza: Kuwaombea Marehemu wa Oktoba 29, 2025, Si kuvuruga amani

    Almachius Vincent Rweyongeza, Askofu wa Jimbo Katoliki la Kayanga, Kagera Na kutukana vikali kwamba maskofu wanavuruga amani ya nchi kwa kufukua makaburi. Basi ukaanza kujiuliza hapa wito ni matamuko hilo? Ni kufukua makaburi? Ukimia unayoga wa wananchi ni amani hiyo? Sasa naomba niwasomee...
  9. Nyani Ngabu

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Oktoba 29, 2025 ilivyonibadilisha

    Kwangu leo ni siku yenye maumivu mengi sana na siku ya huzuni nzito. Nahisi kama vile nina PTSD. Sijui Kiswahili chake ni nini. Mnaojua saidieni. Oktoba 29 imenifanya niwe mtu katili dhidi ya wale wote waliohusika na kuwaua Watanzania na wale ambao wanawaunga mkono hao wauaji. Sikuwahi kuwaza...
  10. R

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Asha-Rose Migiro: Vyombo vya Ulinzi vilifanya kazi ya kutukuka Oktoba 29 kwa Taifa letu

    Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Taifa, Balozi Dkt. Asha-Rose Migiro, akifanya mahojiano na Salim Kikeke, Crown Media Asha-Rose Migiro: "...kuhusu vyombo vya ulinzi na usalama. Ndugu Kikeke, unafahamu kwamba katika nchi yoyote na Tanzania haina tofauti, vyombo vya ulinzi na usalama...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Shtuka, Kuachiwa kwa picha za Nchimbi ni Kiki ya kuzima vuguvugu la Oktoba 29 pamoja na Kutekwa Twaha Mwaipaya

    Kuna picha za Nchimbi zimeachiwa kuwa ameonekana Dubai mapumzikoni, tambueni kuwa picha hizo haziko kwa bahati mbaya ila zinatumika kuhamisha upepo mbaki kubishana juu ya uhalisia wa wapi alipo Nchimbi na msahau kutekwa kwa Twaha Mwaipaya pamoja na Vuguvugu la Maandano. CCM wana kila mbinu ya...
  12. Idugunde

    JamiiForums Tanzania CCM na serikali yake inataka kutuaminisha walioratibu maandamano ya Oktoba 29 ni wanaharakati wa CHADEMA waliokuwa Nairobi?

    Inasemekana Pambalu alikamatwa akitokea Nairobi Kenya. Alipoingia nchini mkoani Arusha akakamatwa na sasa ameshitakiwa kwa uhaini. Mwenzake nasikia ametekwa jana. Waliomteka inasadikiwa ni Wanausalama wa kitanzania. Je, hawa wanaharakati waliokuwa wameweka kambi hapo Nairobi ndio walipanga huo...
  13. Deus Jovin

    JamiiForums Tanzania Kuelekea 29 Oktoba 2026: Mbona serikali inaogopa TEC kuwaombea wauaji?

    Mapadre wawili, Stanslaus Muyebe na Alex Muyebe (2001), katika kitabu chao kiitwacho “The African Bishops on Human Rights: A REsource Book,” wanafafanua misimamo thabiti ya Maaskofu Kuhusu wajibu wetu wa kukuza na kuhami haki za binadamu, zikiwemo haki za kidini. Kuhusu haki za kidini, Muyebe...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Maelefu ya Waalbania wakiandamana 24 Oktoba 2026 kupinga ongezeko la gharama za Maisha

    Maelfu ya Waalbania waliingia katika mitaa ya Tirana siku ya Jumamosi, ambapo maandamano ya wanafunzi yalijumuika hivi karibuni na miezi kadhaa ya maandamano kuhusu gharama za maisha na mradi unaohusishwa na Jared Kushner, mkwe wa Rais Trump. Kwenye kiungo kilicho kwenye wasifu (bio) yetu, soma...
  15. C

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 THRDC Yapendekeza Oktoba 29 kuwa siku ya kitaifa ya kumbukizi

    Kituo cha Haki za Binadamu Tanzania (THRDC) kimependekeza Oktoba 29 ya kila mwaka iwe Siku ya Kitaifa ya Kumbukizi ya matukio ya Oktoba 2025, ili kuwakumbuka wahanga na kuweka mikakati ya kuzuia kujirudia kwa vifo, majeruhi na ukiukwaji mkubwa wa haki za binadamu. Katika taarifa yake...
  16. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania CHADEMA yangu, ni lazima Kila Mwaka tuwe na Wiki ya Kumbukumbu Mauaji Oktoba 29 2025 Kuanzia Tawi mpaka Taifa .Tuna siku 4, Chama kitangaze rasimi hil

    Kama Kuna jambo CCM watatumia Kila namna ili TU hii kumbukumbu isiwepo ni Haya Mauaji ya Kimbali ya Oktoba 29 2025. Kama Chama tusikubali Kamwe kuingia kwenye Mtego unaodogosha Mauaji haya . Mauaji yale hayakuwa ya Ajali ya Moto, Wala Meli kuzama Baharini, ni MAUAJI YA VYOMBO VYA DOLA KUTUMIA...
  17. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania Hongereni sana Kanisa KATOLIKI kwa kuanzisha Rasimi safari ya Kumbukumbu ya Mauaji ya Oktoba 29 2025, Japo Serikali na CCM wanatamani Hilo lisiwepo !!

    Kanisa linapobeba jukumu kama hili zito ,linaonyesha kwa namna gani Kanisa linajali Watu !!. Moja ya kumbukumbu ambazo CCM watataman maisha yake yote isahaulike ni haya Mauaji ya Oktoba 29 2025. CCM wako tayari kUfanya namna yoyote ile wanayoweza ili mradi tu KUDOGOSHA Mauaji haya ,ionekane...
  18. Nyendo

    JamiiForums Tanzania Tarehe kama ya leo Oktoba 23, 1999, Mwalimu Nyerere alizikwa Mwitongo, Butiama. Unakumbuka kitu gani siku hiyo?

    Baada ya kifo chake kilichotokea tarehe 14 Oktoba 1999 huko London, mwili wake ulirejeshwa Tanzania na kuagwa kitaifa katika Uwanja wa Taifa (sasa Uwanja wa Uhuru) Dar es Salaam, kabla ya kusafirishwa kwenda Butiama kwa ajili ya mazishi ya kifamilia tarehe 23 Oktoba. Kwa mujibu wa mila za...
  19. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Video ndefu ya kilichotokea Oktoba 21, 2026 kati ya Mbunge na Madereva Bajaji wa Mbeya waliofanya mgomo

  20. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Kwa nini watu wengi mitaani wanatabiri kuwa kilichotokea Oktoba 29/2025 kinaenda kujirudia?

    Kila kona hapa nchini unasikia watu wakijadili juu ya kujirudia kwa maandamano makubwa kama yaliyotokea Oktoba 29/2025. Sababu kubwa ni nini? Nini viashiria vya watu kutabiri juu ya haya maandamo makubwa yanayompinga Samia kujirudia?
Back
Top Bottom