PostGE2025 Mfadhili ajitokeza kumsaidia mtoto Angel aliyepigwa risasi Oktoba 29, Manzese

PostGE2025 Mfadhili ajitokeza kumsaidia mtoto Angel aliyepigwa risasi Oktoba 29, Manzese

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections

Roving Journalist

JF Roving Journalist
Joined
Apr 18, 2017
Posts
5,352
Reaction score
15,876

Mfadhili ajitokeza kumsaidia mtoto Angel aliyepigwa risasi Oktoba 29 Manzese: Kugharamia matibabu Muhimbili, makazi na elimu.

Mama wa Angel awashukuru Watanzania, mfadhili na Hospitali ya Taifa Muhimbili kwa msaada wa hali na mali.

Pia soma ~ Mtoto wa miaka 13 aomba msaada wa matibabu kutokana na majeraha aliyopata kwa kupigwa risasi October 29

Mfadhili huyo afichwe ili naye asiuawe, Wanamtandao wana roho mbaya sana
 
Bora wamemuwahi.

Ungesikia, mama ajitokeza kugharamia matibabu ya Angel. Mama anawajali wanyonge. Mama ana huruma.

Na hiyo ingekuwa agenda ya kisiasa. Na mabango yangebandikwa.

Kama ana huruma, kwa nini aliagiza mtoto mdogo kama huyo atandikwe risasi?

Tafadhali, wakipiga tena simu muambieni mfadhili kamaliza yote. Maana hawakawii na hata aibu hawana.
 
Back
Top Bottom