Mfikirie Vero. Mumewe aliuawa kwa kupigwa risasi, Oktoba 29 mwaka jana. Lakini kwenye Cheti cha Kifo, ikaandikwa sababu ya kifo ilikuwa "uti wa mgongo".Mnadhani Vero anawezaje kuipenda Serikali baada ya hapo?
Watoto wake, wakikua na kusoma hicho cheti, wakijua Baba yao alikufa kwa kupigwa...
https://www.instagram.com/p/DfK43SzjUOo/
Mfadhili ajitokeza kumsaidia mtoto Angel aliyepigwa risasi Oktoba 29 Manzese: Kugharamia matibabu Muhimbili, makazi na elimu.
Mama wa Angel awashukuru Watanzania, mfadhili na Hospitali ya Taifa Muhimbili kwa msaada wa hali na mali.
Pia soma ~ Mtoto wa...
Mtoto aliyepigwa risasi Oktoba 29 Manzese atamani kurudi tena shule, mama awaangukia Watanzania.
Unaweza kuwasiliana na mama yake kupitia 0763747599 (Happyness Julius Melea).
Mama mzazi anasema kwa kipindi chote amekuwa akimuuguza binti yake mwenyewe, na hivi karibuni aliitikia wito wa kufika...
Nimemsikia mahala Mzee Warioba Waziri mkuu mstaafu akisema wazi bila kupindisha maneno kuwa tume iliyoundwa kuchunguza matukio ya kijinai ya Oktoba 29 ianze kuwahoji polisi waliopiga na kuua watu.
Ameongezea huyu mzee na kudai kuwa Polisi ipate ukweli kuwa hao polisi walioua watu kwa kupiga...
Askofu Josephat Gwajima wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, leo katika Ibada kanisani kwake ametoa ushuhuda wa binti aliyepigwa risasi Oktoba 29, 2025 na kupona baada ya oparesheni nne.
Askofu Gwajima pamoja na muumini huyo pia wanaeleza alipigwa risasi lakini hakuwa kwenye maandamano bali alikuwa...
----
Hakukuwa na maneno ya kutosha kuyaelezea. “Hii si hali ya kawaida,” ndicho kilichorudiwa angalau mara tatu na padre aliyeongoza ibada ya mazishi ya Dainess Raphael Sisa. Dainess, aliyefikisha umri wa miaka 28 tarehe 20 Oktoba 2025, alipoteza maisha tarehe 29 Oktoba 2025. Mashahidi kadhaa...
Hii ni moja ya video na picha ambazo zimegusa mioyo ya watu wengi kwenye mitandao ya kijamii. Inaonyesha mama aliyeonekana kutabasamu huku akimwaga machozi wakati wa kumuaga mtoto wake aliyeuawa kwa kupigwa risasi katika ghasia za Oktoba 29, 2025. Tabasamu lake linaonekana kama la furaha, lakini...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.