The introvert
JF-Expert Member
- Sep 15, 2023
- 1,508
- 3,136
Mtoto aliyepigwa risasi Oktoba 29 Manzese atamani kurudi tena shule, mama awaangukia Watanzania.
Unaweza kuwasiliana na mama yake kupitia 0763747599 (Happyness Julius Melea).
Mama mzazi anasema kwa kipindi chote amekuwa akimuuguza binti yake mwenyewe, na hivi karibuni aliitikia wito wa kufika mbele ya Tume ya Jaji Lila baada ya Mwenyekiti wa Mtaa anaoishi kumtaka aende.
Soma Pia:Mtoto wa miaka 13 aomba msaada wa matibabu kutokana na majeraha aliyopata kwa kupigwa risasi October 29
Source: The Chanzo
ndoto2020
Tlaatlaah
Lucas Mwashambwa ,😥hizi ndiyo furaha zenu?