PostGE2025 Mtoto aliyepigwa risasi Oktoba 29, 2025 atamani kurudi shule

PostGE2025 Mtoto aliyepigwa risasi Oktoba 29, 2025 atamani kurudi shule

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Walokole mavi kama nyinyi ndio mliosababisha vurugu na kusababisha watu wengi wasio na hatia kuumizwa na kuuwawa, mlikuwa mnatembea na misalaba huku mkichomachoma majengo, mlidhani mtapindua nchi, wengi wenu mlistahili kufumuliwa ubongo
JINI JIBRIL
 

Attachments

  • 20251113_220421.jpg
    20251113_220421.jpg
    56.6 KB · Views: 3
kwamba mihemko yako useless jukwaani ndio inanyamazishe mimi right?

au kuporomosha matusi jukwaani kunaweza kunitisha, right?

kwanini usitoa maoni yako huru na kuacha kubabaika na maoni huru ya wadau wengine huru wa jf, hatakakama ni tofauti na yako?

kwanini usijifunze kukubali kutofautiana bila kutukana?
nadhani itapendeza zaidi 🐒
Wewe ni msengee elewa hivyoo na huna hofu ya Mungu shetani wewe na unaongea hivyoo kwa ajili wewe ni unalaana sibure na wewe si mtanzania ni lishetani may be wewe ni mkongoo
 
Wewe ni msengee elewa hivyoo na huna hofu ya Mungu shetani wewe na unaongea hivyoo kwa ajili wewe ni unalaana sibure na wewe si mtanzania ni lishetani may be wewe ni mkongoo
you know nonsense mayhem are always always introduce a person with very little and limit capacity and ability of thinking and debate,
and thus is completely useless for us professionals to waste time with 🐒
 
NI KOSA KUBWA SANA KURUHUSU MUSLIM BROTHER SHIT KUONGOZA NCHI.
We nae udini unakusumbua,wakuunwa vyombo vya usalama 95% wakristo,waziri wa mambo ya ndani alikua mkristo,yan huu ubwege wa kidini mnaouleta ndio maana muda mwingine mtu anaona bora ccm iendelee kutuburuza,jitahidi hata kuficha basi ujinga wenu
 
Tatizo ni urasimu.
Mpaka mtu apate msaada kutoka serikalini ni mpaka makablasha yapite huku na huko, akipata bahati basi mwanasiasa apite hapo atake ujiko ndo shida itatuliwe.

Tupunguze vyeo na haya madaraka ya hovyohovyo, viongozi wa wananchi wawajibike kwa wananchi na sio serikali kuu.

Huyu binti anapata tabu kutokana na maamuzi mabovu huko juu. Ilitakiwa alipwe mabilioni kwa huo ulemavu ambao hana hatia nao.

Ila ndio hivyo sasa.
 
Ndio maana Kuna tume za Uchunguzi na hata Ile ya kwanza ilibainisha baadhi ya matukio kama haya.
Tume kitu gani mkuu kwahiyo baada ya tume kubaini matukio watafuta ulemavu?mbona raia hawasaidiki mpaka wajitokeze hadharani kuonba msaada,acha kabisa ndugu yangu kwa kuwa halijakukuta inatia machungu sana
 
ni muhimu zaidi kua wastahilivu na wenye subra wakati tume huru ya Jaji Lila ikiendelea na kazi hivi sasa kuthibitisha nilichoeleza 🐒
Hiyo tume itambadilisha mtoto mlemavu awe kama awali maana unaropokwa tu kwasababu una simu unaandika tu upuzi
 
kwamba mihemko yako useless jukwaani ndio inanyamazishe mimi right?

au kuporomosha matusi jukwaani kunaweza kunitisha, right?

kwanini usitoa maoni yako huru na kuacha kubabaika na maoni huru ya wadau wengine huru wa jf, hatakakama ni tofauti na yako?

kwanini usijifunze kukubali kutofautiana bila kutukana?
nadhani itapendeza zaidi 🐒
Unakera bwashee🚮
 

Mtoto aliyepigwa risasi Oktoba 29 Manzese atamani kurudi tena shule, mama awaangukia Watanzania.

Unaweza kuwasiliana na mama yake kupitia 0763747599 (Happyness Julius Melea).

Mama mzazi anasema kwa kipindi chote amekuwa akimuuguza binti yake mwenyewe, na hivi karibuni aliitikia wito wa kufika mbele ya Tume ya Jaji Lila baada ya Mwenyekiti wa Mtaa anaoishi kumtaka aende.

Soma Pia:Mtoto wa miaka 13 aomba msaada wa matibabu kutokana na majeraha aliyopata kwa kupigwa risasi October 29

Source: The Chanzo
ndoto2020
Tlaatlaah
Lucas Mwashambwa ,😥hizi ndiyo furaha zenu?
Acheni hizo futuhi zenu za kipuuzi hazitawasaidia
 
Serekali ione jinsi ya kumsaidia huyu bint mapema sana,nafikiri muda pia umefika,ikatengenezwa list ambayo ipo verified ya majeruhi wote,wakaangaliwa kwa ukaribu zaidi.
Inshaallah.
 
kwamba mihemko yako useless jukwaani ndio inanyamazishe mimi right?

au kuporomosha matusi jukwaani kunaweza kunitisha, right?

kwanini usitoa maoni yako huru na kuacha kubabaika na maoni huru ya wadau wengine huru wa jf, hatakakama ni tofauti na yako?

kwanini usijifunze kukubali kutofautiana bila kutukana?
nadhani itapendeza zaidi 🐒
Umeulizwa swali Binti wa miaka 13 alienda vipi kupiga kura kama ulivyoelezea? Tatizo lako unakurupuka sana Yani ukiona jambo lolote linalohusu CCM wewe ni mihemko tu Kila Uzi Hadi husomi story nzima🚮una laana sana wewe na hiyo laana inaweza isikutafune wewe ila Kuna mmoja tu ndani ya familia yako ambaye unamtegemea atachapwa na fimbo na usijue chanzo ni nini🙏

Yani mtoto mdogo kama huyo unaanza kumtamkia porojo kama hizo kwa hiyo huyo mtoto alikuwa anachoma vituo vya polisi sio? Alikuwa kibaka anaiba Mali za watu sio? Alikuwa anawapiga maaskari sio? Tlaatlaah hizo elfu 7 na viposho havikutoi kuhesabika wewe ni binadamu? Hata Mimi nilikuwa hivyo hivyo siambiwi chochote kuhusu JPM Yani akisemwa kwa baya lolote nipo tayari kwa vita vya aina yoyote na Ile MATAGA yetu ila nyie wa awamu hii mmevuka mipaka sana na mnajionyesha kiasi kwamba Kila mtu anajua kuwa huyu akili zipo TIMAMU au laah🚮
 
Serekali ione jinsi ya kumsaidia huyu bint mapema sana,nafikiri muda pia umefika,ikatengenezwa list ambayo ipo verified ya majeruhi wote,wakaangaliwa kwa ukaribu zaidi.
Inshaallah.
Kwa serikali ya huyu Mama haiwezi kufanya Hilo jambo maana ni kitu ambacho serikali yake haitaki kusikia mambo ya October 29 maana walitaka kupoteza Kila ushahidi ndo maana hata waliokuwa wamezimia walirundikwa mochwari na maiti ili kupotezwa. Anaona akimsaidia tu huyo Binti au majeruhi wa October basi atakuwa amekubali makosa na ni kitu ambacho hataki kukubaliana nacho
 
Back
Top Bottom