POLE SANA TUSHIRIKIANE KUTAFUTA VICHWA VYA MARIA SARUNGI NA MANGE KIMAMBI ILI YASITOKEE TENA MAANA BADO WANACHOCHEA WATU, watu walifilisika watu waliumizwa na majambazi ya siku hiyoInatia hasira mpaka nashindwa hata kuongea mkuu š„.
POLE SANA TUSHIRIKIANE KUTAFUTA VICHWA VYA MARIA SARUNGI NA MANGE KIMAMBI ILI YASITOKEE TENA MAANA BADO WANACHOCHEA WATU, watu walifilisika watu waliumizwa na majambazi ya siku hiyoInatia hasira mpaka nashindwa hata kuongea mkuu š„.
ebu fikiria polisi wasingeweza kuzuia leo tungekuwa na watoto wangapi wakimbizi na vilema ? wazeee wangapi wangekuwa wanateseka? MUNGU BARIKI VYOMBO VYETU VYA ULINZI NA USALAMAMaskini mbaya zaidi kijana bado mdogo š¢
UMENENA VYEMA NDUGU, vyombo vilifanya kazi yake walichonganishwa waiasi serikali lakini kwa mfumo wa tanzania ulivyo ni ngumu sana kuasi kwa sababu vimefungamanana mno, tumekosea sana sana washenzi kuwasikiliza wanaharakatiNimemtizama huyu binti,Binti mwenye umri mdogo na ndoto nyingi.Nikajiuliza swali Jepesi?Je ni kwa nini anayapitia haya?Ni kwa sababu gani ndoto zake zimezimwa?Kuna ambao najua tunafikiria tu kwamba labda tuseme Tatizo ni waliofyatua risasi,najua pia kuna wanaofikiri kwamba tatizo ni waliofanya maadamano na fujoa najua pia kuna ambao hata hawaelewi kipi ni sahihi kufikiri kwa wakati huu.
Ila Nakumbuka baada ya vurugu zile na yale niliyoshuhudia kabla wakati na baada ya vurugu zile nilijikuta nikisema " Watu wahuni,wakorofi wafanya fujo na wenye nia OVU waligeuza maandamano yale kama njia ya kutimiza visasi vyao na kutenda uovu wao(Na hii ni kwa pande zote) Matokeo ya fujo hizo ni kwamba MADAI halali ya wale waliotaka kuyadai yalfunikwa na kuzibwa na uovu uliofanyika"
Niseme tu kwamba kama TAIFA tulikosea SANA.Tulikosea sana kutumia SILAHA zetu dhidi ya Watu wetu.Tulikosea sana kuwasikliza wanaojiita wanaharakati na kuamua kufanya FUJO zilizoplekea sintofahamu na maumivu kwa wengi wetu.Tusifikiri hapa wa kuwajibika labda ni watumishi wa vyombo vya ulinzi na usalama tu(Hawa walikuwa na wajibu wa kufanya kwa mujibu wa majukumu yao)Tunaweza tukabeza na kulaumu ila kwa wanaopenda Wafahamu ni nini huwa kinatokea kwenye nchi pale vyombo vya ulinzi na usalama vinapokengeuka na kuasi dhidi ya utawala.
Tulitazame taifa la HAITI ambalo mpaka sasa halitwaliki.Tuitazame DRC,CAR na nchi nyingine za mfanano huo.Tunaweza tukawa hatuna Mfumo BORA sana wa kisheria na kidemokrasi lakini kama mfumo wetu unafanya kazi kwa sasa tusichokonoe sana.Wakati utafika ambapo mfumo huu utamliza wajibu wake na tutalazimika kuubadilisha na utabadilika.
Tuzingatea kanuni,Tulinde haki na Amani.Tuwe Wazalendo.Mungu amlinde na kumbariki Angel na Ampe Nguvu zaidi ya kuendelea kuota Ndoto na Ndoto zake zitimie.Amen
ndo shida ya majambazi kuingia mtaani kuyasaka mnajikuta mnawagusa waliohusika na wasiohusika , ila shida ni walioanzisha vurugu na waliochochea walaaaniniSo sad mkuuš¢
sasa fikiria ile vurugu ingeeendelea wiki 2 leo wote tungekuwa wakimbizi na vilema bora hayo majimbwa yalipigwa risasi na kwa bahati mbaya hawa wachache na ni lazim kwenye fujo kuna kukosea ila CHANZO NI MAJIMBWA , MAJAMBAZI, MAJIZI, MAHUNI MASHENZI, VIBAKA WA october 29Achaaaaššššššš nimemtazama katika mazingira mengi sana hakuna sehemu haijanitoa machozi nimewaza tu hapo anawaza ndoto yake ya maisha huenda ikaishia hivyo ndiyo maana anatamani kujiendeleza dah inaumaaaaa, nimemtazama kama binti yangu mahangaiko aliyoyapata kipindi chote cha kuuguzwa,nimemuwazia sasa binti kama huyu ilikuaje itumike nguvu kubwa hivyo kumnyamazisha kipindi cha uchaguzi ana athari gani jamani
usilete udini mimi mkristo safi sana lakini hii issue haiusiani na udini ni ujambazi, vibaka vs watuliza vuruguNI KOSA KUBWA SANA KURUHUSU MUSLIM BROTHER SHIT KUONGOZA NCHI.
ndo rais wako gombea na wewe upate hata udiwaniJINI JIBRIL
yaani ilikuwa hivi, wahuni walikuwa wamelewa na wamevuta bangi, wakimuona mtu kapiga kura wanakupiga, inawezekana mtoto alipita wakamchanganya au polisi kwenye kudhibiti fujo kweli kabisa kuna watu waliwapiga risasi kimakosa lakini ni wachache sana , na ni lazima kwenye kila vurugu kokote duniani lazima kuna watu wema wanaumiaUmeulizwa swali Binti wa miaka 13 alienda vipi kupiga kura kama ulivyoelezea? Tatizo lako unakurupuka sana Yani ukiona jambo lolote linalohusu CCM wewe ni mihemko tu Kila Uzi Hadi husomi story nzimaš®una laana sana wewe na hiyo laana inaweza isikutafune wewe ila Kuna mmoja tu ndani ya familia yako ambaye unamtegemea atachapwa na fimbo na usijue chanzo ni niniš
Yani mtoto mdogo kama huyo unaanza kumtamkia porojo kama hizo kwa hiyo huyo mtoto alikuwa anachoma vituo vya polisi sio? Alikuwa kibaka anaiba Mali za watu sio? Alikuwa anawapiga maaskari sio? Tlaatlaah hizo elfu 7 na viposho havikutoi kuhesabika wewe ni binadamu? Hata Mimi nilikuwa hivyo hivyo siambiwi chochote kuhusu JPM Yani akisemwa kwa baya lolote nipo tayari kwa vita vya aina yoyote na Ile MATAGA yetu ila nyie wa awamu hii mmevuka mipaka sana na mnajionyesha kiasi kwamba Kila mtu anajua kuwa huyu akili zipo TIMAMU au laahš®
kwenye lile tukio labda mpelekeeni Maria Sarungi na Mange kimambi wawasaidie majeruhiKwa serikali ya huyu Mama haiwezi kufanya Hilo jambo maana ni kitu ambacho serikali yake haitaki kusikia mambo ya October 29 maana walitaka kupoteza Kila ushahidi ndo maana hata waliokuwa wamezimia walirundikwa mochwari na maiti ili kupotezwa. Anaona akimsaidia tu huyo Binti au majeruhi wa October basi atakuwa amekubali makosa na ni kitu ambacho hataki kukubaliana nacho
Laana yako Is real, mtoto wa miaka 13 alienda kupiga kura.huenda magaidi yalimpiga kwasababu alienda kupiga kura binti wa watu,
maana,
magaidi walikua wanawakata vidole wananchi waliokua tayari wamepiga kura kwa kuwakagua vidole vilivyo kua na wino uliowekwa kidoleni kama alama ya baadaa ya kupiga, na magaidi hao walifanya hivyo nyumba kwa nyumba na ndipo wakafikia hatua ya kuua wazazi wa watoto hao ambao walienda kupiga kura, lakini pia walikataa kujiunga na ghasia zile za kigaidi.
Gentleman,
huyo binti wazazi wake walinusurika kweli na hila za magaidi wale?š
Umri wako tafadhalihuenda magaidi yalimpiga kwasababu alienda kupiga kura binti wa watu,
maana,
magaidi walikua wanawakata vidole wananchi waliokua tayari wamepiga kura kwa kuwakagua vidole vilivyo kua na wino uliowekwa kidoleni kama alama ya baadaa ya kupiga, na magaidi hao walifanya hivyo nyumba kwa nyumba na ndipo wakafikia hatua ya kuua wazazi wa watoto hao ambao walienda kupiga kura, lakini pia walikataa kujiunga na ghasia zile za kigaidi.
Gentleman,
huyo binti wazazi wake walinusurika kweli na hila za magaidi wale?š
bahati yako wewe fisi uliejificha chini uvunguKwa nini waislamu mlificha maiti na kukanusha hata video za mochwari ..nataka majibu ... waislamu wenzenu Oct 29 wameua sana makafiri ..walikuwa wanashindana kabisa kuua makafiri..
Ukivamiwa nyumbani kwako na mtu mwenye panga anataka kukukata ,wewe una bunduki, hutaitumia hiyo bunduki yako kwa sababu silaha hazifanani?Hata walio wahalifu, iweje wapigwe risasi za moto na wakati hawakuwa na silaha zozote zenye kulingana na polisi...
Maskini binti huyu amenitoa machozi kama Lucas Mwashambwa. Katoto kenyewe kazuri kanatabasamu tu pamoja na madhiraa kanayopitia! Halafu kuna umbwa zinasema waandamanaji. Mungu aendelee kukasimamia! Serikali igharamikie wote walionusurika!
Mtoto aliyepigwa risasi Oktoba 29 Manzese atamani kurudi tena shule, mama awaangukia Watanzania.
Unaweza kuwasiliana na mama yake kupitia 0763747599 (Happyness Julius Melea).
Mama mzazi anasema kwa kipindi chote amekuwa akimuuguza binti yake mwenyewe, na hivi karibuni aliitikia wito wa kufika mbele ya Tume ya Jaji Lila baada ya Mwenyekiti wa Mtaa anaoishi kumtaka aende.
Soma Pia:Mtoto wa miaka 13 aomba msaada wa matibabu kutokana na majeraha aliyopata kwa kupigwa risasi October 29
Source: The Chanzo
ndoto2020
Tlaatlaah
Lucas Mwashambwa ,š„hizi ndiyo furaha zenu?
Subiri utaonašļøepuka ushirikina gentleman,
mwisho wangu ni mujarabu na wa maana sana mbele ya Allah,
huna haja ya kuporomosha matusi dhidi yangu tenaš
Napingana nawe/Nakukatalia serekali ilishasema watu 518 wakiwepo majeruhi,hadharaniKwa serikali ya huyu Mama haiwezi kufanya Hilo jambo maana ni kitu ambacho serikali yake haitaki kusikia mambo ya October 29 maana walitaka kupoteza Kila ushahidi ndo maana hata waliokuwa wamezimia walirundikwa mochwari na maiti ili kupotezwa. Anaona akimsaidia tu huyo Binti au majeruhi wa October basi atakuwa amekubali makosa na ni kitu ambacho hataki kukubaliana nacho
Kwa uandishi wake tu inaonekana Bado yupo kwenye umri wa ujana kwa hiyo akili yake imejiaminisha Bado ana umri mrefu wa kula matunda ya umwagaji damuUmri wako tafadhali
Mkuu tatizo sio kutaja na wale waliotaja hiyo idadi ni tume na hata katika bajeti ya mwaka huu hakuna walipoligusia Hilo kuhusu wahanga wa matukio hayo watafanyiwa nini na ukumbuke bajeti zimepita wakati tayari hizo idadi unazozisema tayari zimetajwa.Napingana nawe/Nakukatalia serekali ilishasema watu 518 wakiwepo majeruhi,hadharani