PostGE2025 Mtoto aliyepigwa risasi Oktoba 29, 2025 atamani kurudi shule

PostGE2025 Mtoto aliyepigwa risasi Oktoba 29, 2025 atamani kurudi shule

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Serekali ione jinsi ya kumsaidia huyu bint mapema sana,nafikiri muda pia umefika,ikatengenezwa list ambayo ipo verified ya majeruhi wote,wakaangaliwa kwa ukaribu zaidi.
Inshaallah.
Wakati hapo inasema huyu alisahaulika vipi hakuzikwa kwenye lile kaburi la kuficha ushahidi kule kiwanda cha Cement walipoenda kuwakaanga kwenye tanuru la moto
 
huenda magaidi yalimpiga kwasababu alienda kupiga kura binti wa watu,
maana,
magaidi walikua wanawakata vidole wananchi waliokua tayari wamepiga kura kwa kuwakagua vidole vilivyo kua na wino uliowekwa kidoleni kama alama ya baadaa ya kupiga, na magaidi hao walifanya hivyo nyumba kwa nyumba na ndipo wakafikia hatua ya kuua wazazi wa watoto hao ambao walienda kupiga kura, lakini pia walikataa kujiunga na ghasia zile za kigaidi.

Gentleman,
huyo binti wazazi wake walinusurika kweli na hila za magaidi wale?🐒
Akili zako unazijua mwenyewe.
 
Huyo bint kulingana na maelezo ana miaka 13 kwa sasa, alikuwa amemaliza std 7, mwaka jana! Je alikuwa na sifa za kupiga kura? May be labda utuambie kwa uchafuzi ule kila mtu awe mtoto alipiga kura sio?
..halafu hayo waliokatwa vidole ni akina nani? Mbona nimezunguka maeneo mengi na kufanya utafiti flani hivi sijawahi ona ama kupata taarifa za mtu aliyekatwa kidole kwa sababu ya kupiga kura ila waliojeruhiwa kwa risasi wapo?!
Naomba kama una taarifa na takwimu za aliyekatwa kidole kwa sababu ya kupiga kura uzilete hapa, ama nipe DM.
 
We nae udini unakusumbua,wakuunwa vyombo vya usalama 95% wakristo,waziri wa mambo ya ndani alikua mkristo,yan huu ubwege wa kidini mnaouleta ndio maana muda mwingine mtu anaona bora ccm iendelee kutuburuza,jitahidi hata kuficha basi ujinga wenu

Hawana akili hao.

Hata woote wanao walaumu wazanzibari pia hawana akili. Haiwezekani akina kikwete, nchimbi, Nkunda na wengine woote wa bara wawepo waruhusu hili kutokea then tuwa laumu wazenji au waisilamu.
 
Huyu wangemzika mzima mzima km wale wengine hiki ndicho walikua hawakitaki
Hakika mkuu Yani wakiona mtu aliyesalimika kama hivi wanajilaumu sana ilikuwaje huyu mtoto wakamkosa kwenda kumzika mzima mzima maana hawakutaka kabisa haya mambo yawe na wahanga waliosalimika Yani walitaka wote wafe. Ndo maana hata majeruhi waliopigwa za miguu walirundikwa kwa marehemu wakaenda kufukiwa pamoja
 
Mkuu tatizo sio kutaja na wale waliotaja hiyo idadi ni tume na hata katika bajeti ya mwaka huu hakuna walipoligusia Hilo kuhusu wahanga wa matukio hayo watafanyiwa nini na ukumbuke bajeti zimepita wakati tayari hizo idadi unazozisema tayari zimetajwa.

Kuna under age wengi sana waliopata majeraha na kwenda ofisi za mkuu wa mkoa na wilaya hawajapata msaada wowote zaidi ya kujibiwa tu kuwa hakuna maelekezo yeyote waliyopata kuhusu wao Hadi Leo hii zaidi ya kupewa tu barua za kibali cha kuomba michango kwa jamii au kwa taasisi binafsi. Kiufupi serikali Bado haijawatambua hao wahanga ndo maana hujawahi kusikia wakiongelewa hata Kwa bahati mbaya serikalini/bungeni🖐️
Imeshabainisha ni watu 518, tusubiri tume hii ya mwisho,tume pelelezi,imalize kazi yake bila shaka,yataisha salama.
 
Kuna Yule migiro kawapongeza Polisi kwa kuwapiga risasi watu Oct 29.
Katika suala hili kila mtu analitizama kwa mtazamo wake na kwa kina chake cha uoni,just imagine wachomaji na wezi wangeachwa tu,au kutulizwa kwa kubembeleza,unadhani ""TANZANIA LEO HII INGEKUWEPO?""
 
Huyo bint kulingana na maelezo ana miaka 13 kwa sasa, alikuwa amemaliza std 7, mwaka jana! Je alikuwa na sifa za kupiga kura? May be labda utuambie kwa uchafuzi ule kila mtu awe mtoto alipiga kura sio?
..halafu hayo waliokatwa vidole ni akina nani? Mbona nimezunguka maeneo mengi na kufanya utafiti flani hivi sijawahi ona ama kupata taarifa za mtu aliyekatwa kidole kwa sababu ya kupiga kura ila waliojeruhiwa kwa risasi wapo?!
Naomba kama una taarifa na takwimu za aliyekatwa kidole kwa sababu ya kupiga kura uzilete hapa, ama nipe DM.
kuna wa miaka mi2 pia magaidi walimuua kwa pamoja na wazazi wake,
kwasababu tu hao wazazi walienda kupiga kura na walidinda kushiriki ghasia za kigaidi na magaidi.

so,
everything is possible,
just take that point gentleman 🐒
 
Back
Top Bottom