Tlaatlaah
JF-Expert Member
- May 18, 2023
- 51,453
- 41,274
umelemewa na ukweli mtupu na uzito wa mambo right gentleman?🐒Umri wako tafadhali
umelemewa na ukweli mtupu na uzito wa mambo right gentleman?🐒Umri wako tafadhali
such thoughts,Laana yako Is real, mtoto wa miaka 13 alienda kupiga kura.
Hiyo furaha yako ya kushabikia kumwaga damu za watu haitadumu milele.
Endelea kuhalalisha hayo mateso anayopitia huyo mtoto kisa unapata posho
Mimi niko kwenye ukweli na uwazi jana niliongea point ambayo ilikufurahisha ila kwenye suala la mtu yupo kwao na mtu akampiga risasi unafurahia acha ujinga kabisaa, kama angekuwa ana miaka 18 ndio alitoka kupiga kura ndio useme kafanyiwa hivyo sawa .epuka kua mtakatifu mnafiki 🐒
Ni msengee msengeee na badoo nimemuita msengeeMsengesana huyo tunamuona msengesana humu
In fact mimi niko kwenye ukweli zaidi,Mimi niko kwenye ukweli na uwazi jana niliongea point ambayo ilikufurahisha ila kwenye suala la mtu yupo kwao na mtu akampiga risasi unafurahia acha ujinga kabisaa, kama angekuwa ana miaka 18 ndio alitoka kupiga kura ndio useme kafanyiwa hivyo sawa .
Ila unashadadia shida ya mwenzako unaona kawaida watu waliokuwa na hatia unawaita magaidi .
wewe uchomwe na moto wa jehanamu na usife uungue tu wewe ni mmojawapo wa mafuasi wa shetani na roho yako haipo ishaenda kwa shetani . Huwezi shadadia shida ya mtu huwezi tena kama hii badala ya kutoa msaada unao gea usengee .
Unaniboaga
Mtoto wa miaka 13 naye mlimlazimisha kwenda kupiga kura?huenda magaidi yalimpiga kwasababu alienda kupiga kura binti wa watu,
maana,
magaidi walikua wanawakata vidole wananchi waliokua tayari wamepiga kura kwa kuwakagua vidole vilivyo kua na wino uliowekwa kidoleni kama alama ya baadaa ya kupiga, na magaidi hao walifanya hivyo nyumba kwa nyumba na ndipo wakafikia hatua ya kuua wazazi wa watoto hao ambao walienda kupiga kura, lakini pia walikataa kujiunga na ghasia zile za kigaidi.
Gentleman,
huyo binti wazazi wake walinusurika kweli na hila za magaidi wale?🐒
ndugu mnafiki,Mtoto wa miaka 13 naye mlimlazimisha kwenda kupiga kura?
Wewe unafikiri kila mtu ni Chadema,zakwako anazijua heche, right?🐒
kwahiyo akili zako anazijua nani kama sio heche, samahani gentleman?Wewe unafikiri kila mtu ni Chadema,
Unatoa hoja za kitoto.ndo maana nimehoji umri wako.umelemewa na ukweli mtupu na uzito wa mambo right gentleman?🐒
ikiwa ni hivyo,Unatoa hoja za kitoto.ndo maana nimehoji umri wako.
Mtu mzima hawezi kuandika pumba kama hizo
JF ni jukwaa huru la kutoa maoni au mitazamo mbalimbali kuhusu mambo mbalimbali ya kisiasa, kijamii na kiuchumi.Wote mnaomjibu au kubishana na Tlaatlaah ni wapuuzi na mnapoteza muda wenu. Huyu mtu huwa anakosa mambo ya kufanya hivyo hutoa mada au kuandika mambo ilimradi apate watu wa kumjibu

Mauaji ya October 29 sio ya kuyaletea upenzi wa vyama.ikiwa ni hivyo,
si wewe basi utoe hoja za kizee za maana bila mihemko wala kujipiga kifua na itapendeza zaidi gentleman?
mbona uko pointless, na unaexpose mihemko tu jukwaani gentleman?🐒
Tlaathat,
Mtoto aliyepigwa risasi Oktoba 29 Manzese atamani kurudi tena shule, mama awaangukia Watanzania.
Unaweza kuwasiliana na mama yake kupitia 0763747599 (Happyness Julius Melea).
Mama mzazi anasema kwa kipindi chote amekuwa akimuuguza binti yake mwenyewe, na hivi karibuni aliitikia wito wa kufika mbele ya Tume ya Jaji Lila baada ya Mwenyekiti wa Mtaa anaoishi kumtaka aende.
Soma Pia:Mtoto wa miaka 13 aomba msaada wa matibabu kutokana na majeraha aliyopata kwa kupigwa risasi October 29
Source: The Chanzo
ndoto2020
Tlaatlaah
Lucas Mwashambwa ,😥hizi ndiyo furaha zenu?
ikiwa kudai haki kwa kulipua vituo vya mafuta, kuchoma vituo vya polisi na makazi ya watu, kuwakata wapiga kura vidole na kuwaua n.k sio kuchezea masha,Mauaji ya October 29 sio ya kuyaletea upenzi wa vyama.
Acha kucheza na maisha ya watu.
Sio lazma uchangie.
Haya sasa Lucas Mwashambwa onesha utu wako kwa kumsaidia mtoto huyu, au msimamo wako ni uleule kuwa alitaka kuiba!
Mtoto aliyepigwa risasi Oktoba 29 Manzese atamani kurudi tena shule, mama awaangukia Watanzania.
Unaweza kuwasiliana na mama yake kupitia 0763747599 (Happyness Julius Melea).
Mama mzazi anasema kwa kipindi chote amekuwa akimuuguza binti yake mwenyewe, na hivi karibuni aliitikia wito wa kufika mbele ya Tume ya Jaji Lila baada ya Mwenyekiti wa Mtaa anaoishi kumtaka aende.
Soma Pia:Mtoto wa miaka 13 aomba msaada wa matibabu kutokana na majeraha aliyopata kwa kupigwa risasi October 29
Source: The Chanzo
ndoto2020
Tlaatlaah
Lucas Mwashambwa ,😥hizi ndiyo furaha zenu?
Kuna watu wamekufa wakiwa kwenye makazi Yao.ikiwa kudai haki kwa kulipua vituo vya mafuta, kuchoma vituo vya polisi na makazi ya watu, kuwakata wapiga kura vidole na kuwaua n.k sio kuchezea masha,
try once again upewe maua yako 🐒
Yes,Kuna watu wamekufa wakiwa kwenye makazi Yao.
Utu na Mali Bora nini?