mjingamimi
JF-Expert Member
- Aug 3, 2015
- 47,054
- 58,689
Ushalewa lala kwanzaYes,
waliuawa na magaidi ambao walitaka hao watu pia eti lazima wajiunge kufanya ghasia na ugaidi ule. Waliokataa waliuawa pamoja na watoto wao wadogo 🐒
Ushalewa lala kwanzaYes,
waliuawa na magaidi ambao walitaka hao watu pia eti lazima wajiunge kufanya ghasia na ugaidi ule. Waliokataa waliuawa pamoja na watoto wao wadogo 🐒
Ingefaa watambuliwe na ambao hawakuwa kwenye vurugu walipwe fidia na wasaidiwe kadiri inavyowesekana na mamlaka.
Hali Ile haikukusudiwa na sio wote walikuwa wahalifu lakini wasaidqe.
Mi naamini waliokatwa vidole hawajafa..Sa mbona hatujaona hata m1 kuja kutoa ushuuda kwamba alikatwa kidole baada ya kutoka kupiga kula??!!Huyo binti hana miaka 18 alipiga kura kwenu?
Alafu dar yote hakuna aliyekatwa vidole ila Polisi walianza kupiga risasi watu
Watekaji ni chademaMwalimu instinct desire saa ngapi unaanza shift ya kutetea wauaji au unasubiri posho ifike kwanza?
Watekaji ni chadema
Huyo siyo mtoto ni AI hyo ni mtekaji wa chademaHuyo mtoto wapi ametaja utekaji CHADEMA?
Huyo mtoto amepigwa risasi , jana ulipandisha uzi humu ukisema waliopigwa risasi ni vibaka walichoma vitu na kuiba je huyo mtoto nae ni kibaka?
Huyo siyo mtoto ni AI hyo ni mtekaji wa chadema
Ukivamiwa nyumbani kwako na mtu mwenye panga anataka kukukata ,wewe una bunduki, hutaitumia hiyo bunduki yako kwa sababu silaha hazifanani?
....leta ushahidi! Vile vile kwa huyu usitumie hiyo reference kuhitimisha hayo usemayo! Kwanza hao magaidi wapo wapi? Ni wangapi, mbona hawajakamatwa...? Thibitisha huyu binti alipigwa risasi na magaidi...kuna wa miaka mi2 pia magaidi walimuua kwa pamoja na wazazi wake,
kwasababu tu hao wazazi walienda kupiga kura na walidinda kushiriki ghasia za kigaidi na magaidi.
so,
everything is possible,
just take that point gentleman 🐒
kua mstahilivu na mwenye subra,..
....leta ushahidi! Vile vile kwa huyu usitumie hiyo reference kuhitimisha hayo usemayo! Kwanza hao magaidi wapo wapi? Ni wangapi, mbona hawajakamatwa...? Thibitisha huyu binti alipigwa risasi na magaidi...
Kama tume ipo, hayo uliyoandika na kusema vipi? Mbona wewe hujawa mstahimilivu hujasubiri hiyo tume...kua mstahilivu na mwenye subra,
tume huru ya Jaji Lila iko kazini kwaajili hiyo gentleman.
Muwe mnafuatilia mambo ya nchi hata nje ya JF kidogo gentleman na itapendeza zaidi, kuliko kukosa kujua kinachoendelea 🐒