instinct desire
JF-Expert Member
- Mar 17, 2026
- 2,503
- 1,757
Mtu umechoma, umeiba, umeharibu mali za watu, katika harakati zenu nyny panyaroad ugomvi ukaibuka baina yenu wenzio wakafa sasa serikali imekosea nini? Hapo wa kulaumiwa niwazazi kwa kutowapa malezi watoto wao.
Halafu Hii desturi ya kuilaumu serikali kwa Kila jambo linalotokea katika jamii si sahihi, mzazi/MLEZI ni jukumu letu kuhakikisha kuwa tunatoa malezi yakutosha kwa watoto wetu.
Mtoto akue akijua kuwa WIZI haufai matokeo yake ni kifungo/kifo, ajue kuwa matusi hayafai, ajue kuwa tamaa na wivu Mali za watu haifai...haya mafunzo yatolewe kwa watoto wangali Bado wadogo na yaambatane na adhabu, motivation & reinforcement.
Sahzi kumekuwa na desturi unakuta kitoto kidogo kinaongea ngono mwanzo mwisho halafu anatokea mla donation mmoja wa ufipa anailaumu serikali....this is childish.