PostGE2025 Mtu umechoma, umeiba, umeharibu mali za watu, ugomvi ukaibuka, wenzio wakafa sasa serikali imekosa nini?

PostGE2025 Mtu umechoma, umeiba, umeharibu mali za watu, ugomvi ukaibuka, wenzio wakafa sasa serikali imekosa nini?

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Hii desturi ya kuilaumu serikali kwa Kila jambo linalotokea katika jamii si sahihi, mzazi/MLEZI ni jukumu letu kuhakikisha kuwa tunatoa malezi yakutosha kwa watoto wetu.

Mtoto akue akijua kuwa WIZI haufai matokeo yake ni kifungo/kifo, ajue kuwa matusi hayafai, ajue kuwa tamaa na wivu Mali za watu haifai...haya mafunzo yatolewe kwa watoto wangali Bado wadogo na yaambatane na motivation & reinforcement.

Sahzi kumekuwa na desturi unakuta kitoto kidogo kinaongea ngono mwanzo mwisho halafu anatokea mla donation mmoja wa ufipa anailaumu serikali....this is childish.
Kufa sio moja ya matokeo halali. Hakuna sheria inayosema wezi wauawe
 
jitu litoke kwao lije kulipua kituo cha mafuta eti ndio linadai haki halafu lichekewe tu?

hiyo ni nonsense,
ni gaidi huyo lazima awe eliminated 🐒
Mngekuwa na utu hata kidogo,

Serikali tayari mnayo na mnanufaika nayo. Hizi comments zenu kuna watu zinawaumiza sana, pumzikeni hata kwa leo.

Kuna watu wazazi wao walifariki wakiwa sebuleni wamekaa. Hiyo trauma ni kubwa sanasana kwa watoto, hata kama ni maslahi. Hebu kuweni na utu kwa leo tu
 
Kufa sio moja ya matokeo halali. Hakuna sheria inayosema wezi wauawe
Nakazia Hoja. Sheria na Taratibu vinasema wezi/vibaka na Wahalifu wote wakamatwe, wafunguliwe Jalada na wafikishwe mahakamani na Sheria ichukue Mkondo wake na Haki ionekane imetendeka. Hiyo ya kuua ni kujichukulia Sheria mkononi.
 
Mngekuwa na utu hata kidogo,

Serikali tayari mnayo na mnanufaika nayo. Hizi comments zenu kuna watu zinawaumiza sana, pumzikeni hata kwa leo.

Kuna watu wazazi wao walifariki wakiwa sebuleni wamekaa. Hiyo trauma ni kubwa sanasana kwa watoto, hata kama ni maslahi. Hebu kuweni na utu kwa leo tu
Ooh! Mjomba kumbuka Ibilisi hajawahi kumwacha mtu salama. Usishangae kwa komenti zinazotolewa bila soni wala haya.
 
Ninaandika na kufuta ila kukosa kuwa na burn humu ndani. Nadhani nilikuwa na ujumbe mzuri sana kwako.. Chawa wa bei rahisi..
 
Kufa sio moja ya matokeo halali.
Hakuna sheria inayosema wezi wauawe
Naunga mkono hoja. Halafu katika hali ya kawaida haijawahi kutokea weziwa kajiweka wazi mchana kweupe na kuwa katika mtawanyiko usio na Umaja fulani. Hata wale Rat rodi walikuwa wakitekeleza uhalifu wao usiku na wakiwa wenye formation fulani.
Je, Wauaji walishindwa kuliona hilo au ni katika kutafuta majibu ndo wanakuja na hilo eti ni wezi/vibaka?
 
CCM ina vijana vilaza sana.
Mauaji yaliendelea Kwa siku 3 mfululizo.usiku na mchana na asubuhi.
Mimi Sina tatizo na waliokufa tarehe 29;naweza kusema walikuwa kwenye maaandamano.vipi wale waliuliwa tarehe 30 na kuendelea baada y maaandamano kuzimwa?
Kwanin uandamane? Kwanin uibe Mali za watu
 
Mngekuwa na utu hata kidogo,

Serikali tayari mnayo na mnanufaika nayo. Hizi comments zenu kuna watu zinawaumiza sana, pumzikeni hata kwa leo.

Kuna watu wazazi wao walifariki wakiwa sebuleni wamekaa. Hiyo trauma ni kubwa sanasana kwa watoto, hata kama ni maslahi. Hebu kuweni na utu kwa leo tu
kwani huyo alietoka kwao mbiombio akiwa na akili zake timamu kwenye ATM machine kumpiga rungu la kichwa mlinzi na kuitindua na kupora kila kilichomo alikua na utu gentleman?

au,
yule alietoka nyumbani kwake na akili timamu mbiombio na panga hadi kwa jirani yake na kumpiga panga la kichwa na kumkatakata mtoto wake mapanga, eti kisa jirani yake huyo alienda kupiga kura na hakujitokeza kufanya ghasia, je alikua na utu huyo?

au utu unakua upande gani haswa gentleman?🐒
 
Sidhani kama huo ufafanuzi unaosema ni mzuri sana kama una mashiko hata kidogo. Yapo maswali/Hoja ambazo haziko wazi. e.g. Serikali ni kweli ilishindwa kutumia mbinu mbadala?
Serikali inatenda kwa kuzingatia Katiba; Sheria, Kanuni na Taratibu. Je hapo kwenye kutumia risasi za moto dhidi ya hao wahanga ambao hawakuwa na silaha walizingatia lipi kati ya hayo au walikuwa wanaenjoy kuua tu watu rondomly??
Huwezi ukawa unaiba na kuharibu Mali za watu na za umma halafu utegemee mbinu mubadala hyo haipo
 
Kwanin uandamane? Kwanin uibe Mali za watu
Ukiandamana inakupasa uuawe? Ukiiba mali za watu inakubidi uuawe?
Kama ndo hivo; Sheria ni za nini? Kazi ya vyombo vya dola ni nini? Kwa sababu kama hoja ni kuua anayeandamana na anayeiba; basi mtu yeyote anaweza kutoa adhabu hio ya kuua na sio lazima vyombo vya dola.
 
Ukiiba Mali za watu adhabu yake huwa ni nini...jaribu kuiba sahz uone kitakupata nn
 
Back
Top Bottom