instinct desire
JF-Expert Member
- Mar 17, 2026
- 2,503
- 1,757
- Thread starter
- #61
Nipatie Jina la baba Yako nimuandikeUkiona huna cha kuandika ongelea hata baba ako aliezalisha mpumbavu kama wewe.
Nipatie Jina la baba Yako nimuandikeUkiona huna cha kuandika ongelea hata baba ako aliezalisha mpumbavu kama wewe.
Ni wangapi Tanzania nzima waliwahi kuiba na kuharibu mali za umma na adhabu yao (Bila kupitia Mahakama) wakauawa? Nadhani umewahi kusikia wadau wakizungumzia kwa kejeli uhusiano wa F4 div.4 na kazi ya uaskari. Lakini hata Askari hao hupitia Chuo cha Mafunzo ya kazi yao na wayo miongozo ya Utendaji kazi wa kila siku. Ukisema hiyo kitu haipo nina mashaka na uelewa wako. Ungelisema ni Ubabe wa kisiasa ningekuelewa zaidi.Huwezi ukawa unaiba na kuharibu Mali za watu na za umma halafu utegemee mbinu mubadala hyo haipo
you tooGo to hell old bull🚮
Jaribu kuiba wewe sahz uone kama hujauwawaNi wangapi Tanzania nzima waliwahi kuiba na kuharibu mali za umma na adhabu yao (Bila kupitia Mahakama) wakauawa? Nadhani umewahi kusikia wadau wakizungumzia kwa kejeli uhusiano wa F4 div.4 na kazi ya uaskari. Lakini hata Askari hao hupitia Chuo cha Mafunzo ya kazi yao na wayo miongozo ya Utendaji kazi wa kila siku. Ukisema hiyo kitu haipo nina mashaka na uelewa wako. Ungelisema ni Ubabe wa kisiasa ningekuelewa zaidi.
They’ll skin you alive before you enjoy the hell fire dumb🌲ss🚮you too
Go hell in cell in advance 🐒
Mnajitahidi sana kutetea lakini haisaidii. Muda wa watu kujua yaliyofanyika umefika. Kwa akili tu za kuvukia Barbara unajiuliza,na waliopigwa risasi wakiwa nyumbani walikua vibaka? Waliopigwa risasi wakiwa wanakimbia walikua vibaka? Ni kazi ya polisi kuuwa na sio kukamata?Hii desturi ya kuilaumu serikali kwa Kila jambo linalotokea katika jamii si sahihi, mzazi/MLEZI ni jukumu letu kuhakikisha kuwa tunatoa malezi yakutosha kwa watoto wetu.
Mtoto akue akijua kuwa WIZI haufai matokeo yake ni kifungo/kifo, ajue kuwa matusi hayafai, ajue kuwa tamaa na wivu Mali za watu haifai...haya mafunzo yatolewe kwa watoto wangali Bado wadogo na yaambatane na adhabu, motivation & reinforcement.
Sahzi kumekuwa na desturi unakuta kitoto kidogo kinaongea ngono mwanzo mwisho halafu anatokea mla donation mmoja wa ufipa anailaumu serikali....this is childish.
okay relax and calm down plz,They’ll skin you alive before you enjoy the hell fire dumb🌲ss🚮
kwani huyo alietoka kwao mbiombio akiwa na akili zake timamu kwenye ATM machine kumpiga rungu la kichwa mlinzi na kuitindua na kupora kila kilichomo alikua na utu gentleman?
au,
yule alietoka nyumbani kwake na akili timamu mbiombio na panga hadi kwa jirani yake na kumpiga panga la kichwa na kumkatakata mtoto wake mapanga, eti kisa jirani yake huyo alienda kupiga kura na hakujitokeza kufanya ghasia, je alikua na utu huyo?
au utu unakua upande gani haswa gentleman?🐒
Binafsi naamini Mungu pekee gentleman na sio hizo porojo na upotoshaji dhidi ya magaidi walioharibu miundombinu ya taifa letu na kusababisha maafa kwa wananchi waliokataa ghasia zao 🐒Sikubishii kwa lile unaloliona ni jema kwako
Kama unahisi majiji yote yalijazwa wahalifu na vibaka ni sawa.
Kama unaamini watu wote waliokufa walikutwa wanavunja maduka na kuua watu ni sawa.
Na pia navyotype usidhani sijui kwamba kuna watu kama babu_mzanzibari na genge lake la wazanzibar walifurahi sana na kuona kama kile nini kisasi. Yawezekana ukawa mmoja wao ni sawa pia
sikulazimishi uhisi any remorse kwa sababu una roho yabisi. What matters ni ulichokiamini kwa sababu zako but at least, kuwa mtu kwa leo 🙏🏽
Walikimbilia majumbani baada ya kuiba mitungi ya watuMnajitahidi sana kutetea lakini haisaidii. Muda wa watu kujua yaliyofanyika umefika. Kwa akili tu za kuvukia Barbara unajiuliza,na waliopigwa risasi wakiwa nyumbani walikua vibaka? Waliopigwa risasi wakiwa wanakimbia walikua vibaka? Ni kazi ya polisi kuuwa na sio kukamata?
Ukiiba mali za watu adhabu yake imetajwa katika Sheria (Penal code 16) na Mtekelezaji ni Mahakama. Hiyo ya kubonda mawe, kuvika matairi na kuwasha moto ni Sheria mkononi sio halali.Ukiiba Mali za watu adhabu yake huwa ni nini...jaribu kuiba sahz uone kitakupata nn
Yeah. Wanaweza kuniua kwa kutumia Mob Justice na wala sio kwa Sheria.Jaribu kuiba wewe sahz uone kama hujauwawa
HongeraBinafsi naamini Mungu pekee gentleman na sio hizo porojo na upotoshaji dhidi ya magaidi walioharibu miundombinu ya taifa letu na kusababisha maafa kwa wananchi waliokataa ghasia zao 🐒
Ndo hvo nduguYeah. Wanaweza kuniua kwa kutumia Mob Justice na wala sio kwa Sheria.
well done 🐒Hongera
Ukiiba au kupora Mali ya mtu ukikamtwa ujue utashughilikiwa hapo hapo huwa hawakawiiUkiiba mali za watu adhabu yake imetajwa katika Sheria (Penal code 16) na Mtekelezaji ni Mahakama. Hiyo ya kubonda mawe, kuvika matairi na kuwasha moto ni Sheria mkononi sio halali.
Mkuu; Ulishawahi kuhudhuria Mahakamani? Kama bado jaribu walau siku moja usikie kesi zinazohusu wizi ........
Tusihalalishe Mob psychology -eti mtuhumiwa alipigwa na watu wenye hasira kali na alifariki akiwa njiani akipelekwa haspitali.
ccm wameiba vingapi wameuliwa na nani?Kwanin uandamane? Kwanin uibe Mali za watu
Wameiba nini?ccm wameiba vingapi wameuliwa na nani?
Nipe jibu.
Una miaka mingapi?Wameiba nini?
Hiyo sio sababu ya kushawishi , kwa hiyo ndio wafuate watu ndani kwao wakaue, case study nyingine ni wale walio kuwa wanaangalia mpira mwanzaHiyo ni kawaida zinapotokea ghasia au vita madhara yatawapata waliokuwemo na wasio kuwemo ila mwisho wa siku anayepasa kulaumiwa yule aliyeanzisha ghasia na si serikali iliyokuwa inazuia hizo vurugu
Na kama serikali isingepambana kuzima hizo vurugu yawezekana hata wewe sahizi ingekuwa umeshakufa
Vipi kama serikali ingeacha vurugu ziendelee Yani tokea October 29 2025 Hadi Leo vurugu zingekuwa bado zinaendelea ni watu wangapi wangekuwa wameathirika Kwa kupoteza maisha na Mali zao