PostGE2025 Mtu umechoma, umeiba, umeharibu mali za watu, ugomvi ukaibuka, wenzio wakafa sasa serikali imekosa nini?

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Hii desturi ya kuilaumu serikali kwa Kila jambo linalotokea katika jamii si sahihi, mzazi/MLEZI ni jukumu letu kuhakikisha kuwa tunatoa malezi yakutosha kwa watoto wetu.

Mtoto akue akijua kuwa WIZI haufai matokeo yake ni kifungo/kifo, ajue kuwa matusi hayafai, ajue kuwa tamaa na wivu Mali za watu haifai...haya mafunzo yatolewe kwa watoto wangali Bado wadogo na yaambatane na adhabu, motivation & reinforcement.

Sahzi kumekuwa na desturi unakuta kitoto kidogo kinaongea ngono mwanzo mwisho halafu anatokea mla donation mmoja wa ufipa anailaumu serikali....this is childish.
Screenshot_20260616-171056~2.png
 
Nani alipiga waturisasi?

Hakukua na option nyingine?

Waliotengeneza mabomu ya machozi maji ya washawasha na risasi za plastic hawakua na akili?

Acha kutetea mauaji
 
Yote hii ni kujipendekeza kwa watu wa lumumba wapate chochote kitu🙌Yani mtu upo tayari uvune dhambi itakayotafuna uzao wako wote kwa ajili ya posho za elfu 20 huku wenzio wanashusha maghorofa masaki
 
Hii desturi ya kuilaumu serikali kwa Kila jambo linalotokea katika jamii si sahihi, mzazi/MLEZI ni jukumu letu kuhakikisha kuwa tunatoa malezi yakutosha kwa watoto wetu.

Mtoto akue akijua kuwa WIZI haufai matokeo yake ni kifungo/kifo, ajue kuwa matusi hayafai, ajue kuwa tamaa na wivu Mali za watu haifai...haya mafunzo yatolewe kwa watoto wangali Bado wadogo na yaambatane na adhabu, motivation & reinforcement.

Sahzi kumekuwa na desturi unakuta kitoto kidogo kinaongea ngono mwanzo mwisho halafu anatokea mla donation mmoja wa ufipa anailaumu serikali....this is childish.
wewe muuaji mmeua watu tarehe 29 kwa majeshi yenu damu hulipwa kwa damu nyie wauaji lazima mlipie
 
Mkuu; kuwa mkweli wa nafsi yako: Ina maana siku hiyo hakukuwepo Virungu?na maji washawasha? Hapa kuwepo na Mabomu ya machozi? Hapakuwepo na Blank bullets? Hapa kuwepo na Plastick bullets? Kwani hao wanaodaiwa kufanya ghasia walibeba silaha gani? Nilimsikia mtu mmoja akidai eti walikuwa na silaha lakini hakuna silaha hata moja iliyokamatwa kama uthibitisho.

Waliohusika kufanya hizo vurugu walikuwa wameshaua watu innocent wangapi ndo Serikali ikaingilia kati?

Serikali esp. vyombo vya Dola wamepata mafunzo chuoni ya jinsi ya kudeal na vurugu za aina mbalimbali. Hakuna mahali ilipoelekezwa kuua mtu anayefanya vurugu.
Yapo mazinira yanayoweza kupelekea askari kumwuua mtu anayefanya vurugu e.g. ilivyokuwa kwa yule jamaa wa Salenda bridge. Lakini hao vijana maskini ya Rabi hata manati hawakuwa nayo.
Kwa aina Ile ya vurugu ilikuwa ni sawa kutumia nguvu waliyotumia zikiwepo risasi za moto

Zile vurugu zilikuwa na watu wa aina 2

1) Wapangaji wa ramani ya Vurugu
2) Vijana waliotumiwa na kufuata mkumbo bila ya kujua na hawa ndio wengi waliokufa

Ndani ya dk 10 Petro station Tanzania mzima zinawaka moto
Hili lilionyesha kwamba Kuna kikundi Cha watu kilipanga na kuratibu zile vurugu
Kuna watu walipewa kazi kuwa wafanye nini wapi na mda gani

Vituo vya mwendokasi vilichomwa mda Mmoja maeneo tofauti Ina maana wapo watu walioandaliwa Kwa ajili ya kuchoma vituo vya mwendokasi katika muda maalumu

Kuna kundi lingine lilikuwa linaenda kulipua bandalini hili kundi liliwahi kudhibitiwa

Katika hali kama hii vyombo vya ulinzi ni lazima viingie Kwa nguvu zote
 
Tuwe wakweli. Narudia tena, Tuwe wa kweli. Walianzia na nguvu gani na walipoona wanazidiwa ndo wakaamua kutumia risasi za moto?
Je, huko kwenye nyumba za Familia(Makazi ya watu) kulikuwa na vurugu gani?
Zile vurugu zilikuwa na watu wa aina 2

1) Wapangaji wa ramani ya Vurugu
2) Vijana waliotumiwa na kufuata mkumbo bila ya kujua na hawa ndio wengi waliokufa
Hayo maneno yameshazoeleka. Hakuna jipya na hilo sio jibu sahihi bali ni
aina ya Insha ya kutunga. Huo upelelezi wa kubaini aina ya watu waliohusika ulifanyika na nani na lini?
Ndani ya dk 10 Petro station Tanzania mzima zinawaka moto
Hili lilionyesha kwamba Kuna kikundi Cha watu kilipanga na kuratibu zile vurugu
Kuna watu walipewa kazi kuwa wafanye nini wapi na mda gani
Bado haujawa mkweli.
Huku kwetu zipo petrol station nyingi tu lakini hakuna petrol station hata moja iliyounguzwa na ni Tzanzania hii hii.
Vituo vya mwendokasi vilichomwa mda Mmoja maeneo tofauti Ina maana wapo watu walioandaliwa Kwa ajili ya kuchoma vituo vya mwendokasi katika muda maalumu

Kuna kundi lingine lilikuwa linaenda kulipua bandalini hili kundi liliwahi kudhibitiwa

Katika hali kama hii vyombo vya ulinzi ni lazima viingie Kwa nguvu zote
Mbona majibu yako yana wayawaya kama machela? i.e. Ur not focused; you seem to defend the side of the killers. Angelikuwepo hata ndugu yako wa damu usingelisema unayoyasema hapa. Kumbuka damu zile zinalilia Haki.
 
Mtu umechoma, umeiba, umeharibu mali za watu, katika harakati zenu nyny panyaroad ugomvi ukaibuka baina yenu wenzio wakafa sasa serikali imekosea nini? Hapo wa kulaumiwa niwazazi kwa kutowapa malezi watoto wao.

Halafu Hii desturi ya kuilaumu serikali kwa Kila jambo linalotokea katika jamii si sahihi, mzazi/MLEZI ni jukumu letu kuhakikisha kuwa tunatoa malezi yakutosha kwa watoto wetu.

Mtoto akue akijua kuwa WIZI haufai matokeo yake ni kifungo/kifo, ajue kuwa matusi hayafai, ajue kuwa tamaa na wivu Mali za watu haifai...haya mafunzo yatolewe kwa watoto wangali Bado wadogo na yaambatane na adhabu, motivation & reinforcement.

Sahzi kumekuwa na desturi unakuta kitoto kidogo kinaongea ngono mwanzo mwisho halafu anatokea mla donation mmoja wa ufipa anailaumu serikali....this is childish.

Hawakufa bali WALIUAWA.

Hivi ninyi hamjui tofauti ya kufa na kuawa au mnajitoa betri tu ....!!?
 
Damu itaendelea kuwatesa mpaka mnaingia makaburini. Siku zote hamtakuwa na amani,itakuwa siku ile mnaka kufa,maumivu mtakayosikia ndiyo hayo hayo mliyosababisha kwa watu mliowaua mtakayosikia wakati mnakata roho.
 
Damu ya panyaroad haijawahi mtesa mtu
 
Back
Top Bottom