wazazi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. ShesRise_1

    JamiiForums Tanzania Nguvu ya DNA: Je, tunarithi zaidi ya mwonekano kutoka kwa wazazi wetu

    Wakuu, leo nataka tuongee kuhusu DNA (vinasaba) Kuna mambo kadhaa ambayo ningependa tuyajadili na kujifunza kutoka kwa wataalamu na wenye uelewa wa masuala haya 1. DNA na mapenzi/Sexual Compatibility😊 Je, kuna namna ya kupima vinasaba vya watu wawili na kugundua kama wanaendana kibaiolojia...
  2. polokwane

    JamiiForums Tanzania Mfumo wa kujaza CELFORM kwa wanafunzi na wazazi mfumo haufunguki wiki nzima sasa tunaweza nini kama taifa

    Halafu mkiambiwa mna ma IT wasio na uwezo mmewajaza humo maofisini mnatuteka na kutupa kesi za uhaini . Watoto wanalala kwenye internet cafe kusubiri mfumo
  3. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Mtoto akikua na kukuta wazazi wake ni maskini ana haki ya kuwatoa kafara ili atajirike

    Mtu hakuomba mumzae, nyie starehe zenu zimemleta mtoto Duniani. Anakula kwa shida Analala mahali pana vumbi Anavaa nguo used aka Mtumba. Hapo akikutoa kafara ili aondokane na umaskini yuko sawa tu
  4. R

    JamiiForums Tanzania Uongozi wa CUHAS waelezeni wazazi mabadiliko ya fedha ya usafiri na si kuwatwisha mzigo watoto bila wazazi kuwa na tarifa na ufafanuzi wa mabadiliko

    Nakumbuka baada ya kulipa 650,000 Tsh as administration fee, wazazi tulilipa tena 100,000 Tsh kama fedha ya usafiri. This I guess was OK! Now juzi watoto wamelipishwa tena 48,000Tsh kama fedha ya usafiri! Kulikoni? Tunaomba maelezo au ni upigaji as usual bila uongzi wa chuo kujua...
  5. C-C Digital Pro

    JamiiForums Tanzania Wazazi wa Civilian-Coin wote ni WA Tanzania; Baba na Mama ni WA Tanzania.

    Uvumi na upotoshaji ya kuwa baba ni mMarekani ni habari za uongo na so za kweli. Baba mzazi wa Civilian-Coin Nalimi Kisandu ambaye ni Nalimi Kisandu amezaliwa Busoka manispaa ya Kahama mkoani Shinyanga(kabiia: Msukuma) na Mama mzazi (Bi. Laurencia Tundule-Msukuma) amezaliwa Kahama hapohapo. Na...
  6. instinct desire

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Mtu umechoma, umeiba, umeharibu mali za watu, ugomvi ukaibuka, wenzio wakafa sasa serikali imekosa nini?

    Mtu umechoma, umeiba, umeharibu mali za watu, katika harakati zenu nyny panyaroad ugomvi ukaibuka baina yenu wenzio wakafa sasa serikali imekosea nini? Hapo wa kulaumiwa niwazazi kwa kutowapa malezi watoto wao. Halafu Hii desturi ya kuilaumu serikali kwa Kila jambo linalotokea katika jamii si...
  7. Mndewa1

    JamiiForums Tanzania Ashtakiwa na wazazi kwa kucheza mpira kuzidi watoto wengine

    https://x.com/abcworldnews/status/2115178332245598570?s=12 https://x.com/roxie_ug/status/2115080042615050247?s=12 https://x.com/mymixtapez/status/2114755768641565116?s=12 Mtoto mmoja wa umri wa miaka mitatu (3) Nevada Don Pierre wa Florida, US ameshtakiwa na wazazi wa watoto wenzake kwa...
  8. S

    JamiiForums Tanzania Je ni sahihi kijana mwenye miaka 23 kuendelea kuishi kwa wazazi wake?

    Je ni sahihi kijana mwenye miaka 23 kuendelea kuishi kwa wazazi wake? Je kijana uyo atakuwa alelewa kujitegemea au kutegemea maisha yake yote??
  9. kavulata

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Wazazi zuieni ajali nyingine kwa watoto wenu tarehe 29 Oktoba, 2026

    Nilitembea usiku kucha kwenda Mbeya kumwambia mwanangu acha kushiriki vurugu siku ya uchaguzi. Na hii ni baada ya kutonywa na mkewe kuwa mumewe (mwanangu) anasema anataka kushiriki vurugu zinazoandaliwa siku ya uchaguzi. Saa 8 usiku nilifika Mbeya nikalala kwenye gari asubuhi sana wakashangaa...
  10. Forrest Gump

    JamiiForums Tanzania Hao watoto wanaotrend ukicheki wengi wa wazazi wao ni wale masikini choka mbaya, wanaopenda ngono na kuzaliana kama mapanya.

    Nchi masikini, hauna rasilimali lakini mnamwaga mwaga kila kona Hao watoto wengi wao ni fatherless, wanalelewa na mama pekee , au wana lelewa na ndugu au bibi maana mama anatamba kujitafuta kwenye mabaa ya sinza na tabata, baba yeye aliikataa mimba amekimbilia mkoani huko na tena huko amempa...
  11. emmarki

    JamiiForums Tanzania Wazazi wawajibishwe kwa ubovu wa maadili ya watoto

    Adhabu ya kifungo cha miaka 30 kwa kumpa mwanafunzi ujauzito, ihamie kwa wazazi pia
  12. TheGreatest Of AllTime

    JamiiForums Tanzania Ngoma za kuhimiza matusi zilizo hewani, wadada wa maudhui ya utupu wanapewa promo mitandaoni na malezi dhaifu ya wazazi. Hapa mabinti wenu hawachomoki

    Ni ngumu sana maana binti kazungukwa na matusi kila kona haswaaa hawa mabinti amba baba zao lazima avuje jasho na mgongo uume ndio apate pesa.
  13. A

    JamiiForums Tanzania Kuna watu hawajawahi kukumbatia wazazi wao!

    Wakuu, kuna jambo nimekuwa nikilifikiria hapa, kwamba inawezekana kabisa kuna watu wamefikisha utu uzima, lakini hawajawahi kumkumbatia mama au baba yao, si kwa sababu hawawapendi, bali kwa sababu ya malezi na tamaduni walizokulia. Katika baadhi ya familia za kitanzania, kumkumbatia mzazi au...
  14. Hance Mtanashati

    JamiiForums Tanzania Vijana mkiona hamfanikiwi rudini kwenye makaburi ya wazazi wenu, mabibi na mababu zenu mkafagilie, muombe dua , ikiwezekana mtambike na kueleza shida

    Kuna kipindi kijana unaona unapitia changamoto nyingi za kimaisha, kila ukipanga jambo halifiki tamati , iwe mradi, biashara , elimu nk, utakuta unaanza vizuri ila mwishoni inatokea changamoto unashindwa kutamatisha ulilolipanga. Au mwingine ana qualifications nzuri sana ila kupata kazi inakuwa...
  15. A

    JamiiForums Tanzania Baba anakataa kutoa matunzo ya mtoto: Sheria inasemaje?

    Kuna wazazi wanaotengana na baada ya hapo baba anakataa kuchangia mahitaji ya mtoto, akimuachia mama jukumu lote la chakula, ada, mavazi na matibabu. Lakini kwa mujibu wa Kifungu cha 129 cha Law of Marriage Act, baba ana wajibu wa kutunza mtoto hata kama mtoto anaishi na mtu mwingine. Kifungu...
  16. makpridash

    JamiiForums Tanzania Mitandao ya kijamii ni ajabu sana. Mtu mmoja anadai wazazi wanalingana kwa umuhimu. Kwangu Mimi Nooo

    Hapana Kwa kifupi wapo waliotendewa wema na Mama zao na wapo waliotendewa ubaya na haohao mama zao. Lakini asilimia kubwa baba wengi tumewatendea ubaya wake zetu, kitendo kilichotengeza chukizo kwa watoto. Kwa watoto kivipi. Wengi tunasingizia mama kuwalisha watoto machukizo. Lkn tunasahau...
  17. K

    JamiiForums Tanzania Je, Niwaambie Wazazi Kazi Ninayoifanya !?

    Baada ya Kwenda Zanzibar na Kukosa kazi Kisa Usikivu Hafifu 😢, Nikaamua Kurudi Nyumbani Dar es Salaam, Hakuna Rangi Sikuiona Aiseee Masimango, Dharau za kila Aina, ila Nilivumilia tuu, Nikawa Naenda Kijiweni Natuliaa jioni Narudi Home... Siku Moja Tupo Kijiweni na Washkaji Kuna Mdada Akaja...
  18. Bikra unayo

    JamiiForums Tanzania Je, wazazi wetu walituletea urithi wa umaskini, au walitupa msingi ambao hatujajua kuutumia?

    Wengi wetu tulilelewa na wazazi waliofanya kazi kwa bidii ili kuhakikisha tunapata chakula, elimu na mahitaji muhimu. Baadhi yao walijenga nyumba, mashamba au biashara. Wengine hawakufanikiwa kupata mali nyingi kwa sababu ya kipato kidogo, majukumu makubwa au changamoto za maisha. Tunapokuwa...
  19. Yoda

    JamiiForums Tanzania Wanandoa wakigombana waende kwa therapists wa ndoa badala ya wazazi au viongozi wa dini.

    Sijui kama kuna professional therapists wa ndoa (LMFT) Tanzania ila hawa ndio watu sahihi wa kwenda endapo ndoa imefika kuwa na matatizo makubwa. Watu waache kupoteza muda kukimbilia sijui kwa padri, mchungaji, wazazi au wasimamazi wa ndoa kwani matatizo ya karne hii ya mahusiano ni tofauti...
  20. Half american

    JamiiForums Tanzania Wazazi/walezi wafundisheni watoto kuwa na kiasi kabla tamaa zao hazijawameza.

    Matukio ya kikatili na ya mauaji yanazidi kuongezeka. Visa ni vingi sana. Kuwa na mali na uwezo wa kiuchumi ni vizuri sana ila visigeuke kuwa tishio la uhai wako. Tamaa zinawamaliza wengi. Ndio mwanzo wa usaliti, dhuluma, kuminya haki ya mwingine n.k. Kwa bahati mbaya kuna baadhi ya wazazi...
Back
Top Bottom