Naendelea kushuhudia kuongezeka kwa matukio ya baadhi ya familia watoto hasa wengine wakiwa na miaka 17 wakishirikishwa katika kusuluhisha migogoro ya wazazi wao.
Inawezekana hali hii inatokana na kukosekana kwa watu wazima katika familia au viongozi wa dini wakikosa kuaminiwa na baadhi ya...
Kadri ninavyoendelea kukua ndiyo naelewa kwanini watu wanaogopa kutaja umri wao halisi. Muda ni kitu cha thamani sana na pia kama kijana ukishajua unachokitaka hapa dunia kujishusha ni mbinu wala sio ujinga
Kwenye mada kama kijana una kipi cha kujivunia kutoka kwa wazazi wako
Nawatoa nyongo...
Wazazi na ndugu wa Aziz Kiii hawakuhusika kwa lolote kuanzia 1. Posa , 2. Mahari, 3. Engagement hadi Ndoa. Yaani Wazazi na ndugu wa Aziz ni timu ya Yanga.
Kwa familia inayojitambua isingeruhusu hili jambo lifanyike bila uwepo au uhusika wa wazazi na ndugu wa bwana harusi. Wazazi wa Hamisa...
Haya mambo hayana formula lakini tunachoangalia ni pattern, wanawake wengi wa kundi hili kuna vitu vingi wanafanana kwenye maisha ya ndoa.
Conditions:
Kwao wawe wawili au zaidi, watoto wa baba moja mama moja
Awe kalelewa na wazazi wote, sio baba na mama walifarakana
Kutakuwa kuna...
Mkuu wa Mkoa wa Kagera Hajat Fatma Mwassa amewasihi wazazi na walezi mkoani Humo kuhakikisha wanawasimamia Watoto wao wanapata elimu iliyo bora itakayowawezesha kujitengenezea maisha badala ya kutumia muda mwingi kujipendekeza na kuwa machawa.
Mwassa ametoa kauli hiyo Februari 11, 2025 kwenye...
Watoto wala hawana haja ya kuhimizwa kutunza wazazi, tatizo unakuta watoto wenyewe wako mjini wanabangaiza tu wana watoto wao pia, wake, michepuko, madeni n.k.
Wakuu kipindi hiki cha mvua nyingi kwa baadhi ya mikoa ni hatari kwa usalama wa watoto wadogo, wazazi tuwe makini na watoto wetu hasa maeneo wanayocheza na kuwadhibiti kutoka nyumbani pindi mvua zinaponyesha ili tuwaepushe na hatari hizi.
=====
Mtoto Aliyefahamika Kwa Jina La Vicent Konga...
Mtoto wako akizaliwa mfungulie account za kijamii na uanze kuzikuza taratibu.
Hii itamsaidia akikuwa Kwa sasa hivi soko la ajira na fursa zote limeshikiliwa na teknolojia .
Ili kulinda privacy za mtoto usiweke au kupost picha yake bila sababu.
Mfano mtoto wa diamond anaingiza pesa nyingi tu...
Serikali imesema mwongozo wa wanafunzi wanaorejea shuleni baada ya kujifungua hawaruhusiwi kwenda shuleni na watoto wao na badala yake, unawataka wazazi kusaini makubaliano na uongozi wa shule ya kuwajibika kuwalea wanafunzi na watoto wanaorudi shuleni.
Novemba 24, 2021 aliyekuwa Waziri wa...
Makamu wa Rais, Dk Philip Mpango amewataka vijana nchini waliobahatika kuwa na wazazi walio hai kujenga utamaduni wa kuwatunza, kuwalea na kuwaonyesha upendo akimtaja mzazi kama kiungo muhimu katika familia na wakili wa Mwenyezi Mungu hapa duniani.
Dkt Mpango ameyasema wakati wa ibada ya misa...
Ushauri gani ulipewa na mzazi, iwe ni baba au mama, ukaufuata na umekusaidia kufika mpaka hapo ulipo?
Naanza:
“Atayekulisha ni mwema, ila utampa pia uwezo wa kukulaza njaa wakati wowote atakapoamua - jishughulishe na hakikisha hauwi tegemezi”. Ushauri kutoka kwa baba yangu (Mungu amrehemu)...
Mara kadhaa Serikali imesisitiza kuwa suala la malipo ya michango ya ziada ni suala la makubaliano kati ya Shule na Wazazi au Walezi wa Watoto, hilo linaangukia pia kwenye suala la chakula kwa Wanafunzi, ambapo utaratibu ulivyo umekuwa kero kwa wengi wetu.
Utaratibu ulivyo kwa sasa kila shule...
BAADHI ya wazazi katika Kata ya Kivule, Ilala - Dar es Salaam wametupia lawama Shule ya Msingi Anex, Serengeti na Kivule kwa madai ya kuwatenga, kuwanyanyapaa wanafunzi ambao wazazi wao wameshindwa kuchangia shilingi 1,500 ya gharama ya chakula na masomo ya ziada katika shule hizo.
Wakizungumza...
Wazazi wakiafrika ni kama mmezubaa sana, mfumo wa uchumi ni zaidi ya kumsomesha mtoto na angojee ajira!.
Kuna jitihada fulani lazima zifanyike pia ndani ya familia kuhusu watoto wako na maswala ya uchumi.
kutokupata elimu ya uchumi walau kwa uchache inapelekea vijana waingie kwenye vitu vya...
Hivi ndivyo inavyokuwa wazazi wanapoweka kipaumbele kwenye elimu badala ya burudani. Hebu fikiria iwapo watoto wengi zaidi wangeanza kusoma kama hivi wakiwa na umri mdogo. 📚
Ni kwenye madhabahu moja maarufu na kubwa Sana jijini Dar es salaam.
Apostle akasema " Kama Wewe ni mzazi unasomesha shule ya Ems na mpaka Sasa mtoto wako bado yupo nyumbani Kwa sababu una daiwa ada simama kwa miguu yako miwili sogea mbele nikuombee"
Maelfu ya masikini na mafukara wakasimama...
Wazazi wenye watoto wenye mahitaji maalumu tukutane hapa.
Autism (Usonji)
Visual impairment -kutokuona
Hearing impairment- kutosia
Ulemavu wa viongo n.k
Kuna kituo kizuri Sana kina na boarding hapo hapo.
Kipo mikocheni A
Kijana wangu yupo hapo nimeona there's some improvement kubwa .
MAKAGA ( Making Kayumba Schools Great Again ) Campaign ni kampeni maalumu ya kitaifa iliyo lenga kuwafungua ufahamu wazazi wenye vipato vya chini wanao jistress kusomesha watoto wao kwenye shule za EMs wawatoe huko wawarejeshe shule za Kayumba.
Kampeni hii inawahusu pia wazazi wenye vipato vya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.