Je, Niwaambie Wazazi Kazi Ninayoifanya !?

Kashai

Member
Joined
May 12, 2024
Posts
95
Reaction score
282
Baada ya Kwenda Zanzibar na Kukosa kazi Kisa Usikivu Hafifu 😢, Nikaamua Kurudi Nyumbani Dar es Salaam, Hakuna Rangi Sikuiona Aiseee Masimango, Dharau za kila Aina, ila Nilivumilia tuu, Nikawa Naenda Kijiweni Natuliaa jioni Narudi Home...
Siku Moja Tupo Kijiweni na Washkaji Kuna Mdada Akaja Akawa anaongea na Mwenzetu "Nina Shughuli Mbagala Nitafutieni Wapiga Ngoma" Kumbuka hapo Mimi Sielewi Chochote Nipo Bize na Simu 😅 , Yule Jamaa Akanishika Bega akaniambia "
jamaa ; Dogo si Ulikuwa Unapiga Ngoma Zamani

Mimi ; Ndio ila zile ni Bendi za shuleni Za Shughuli Sijui wanapigaje,

Mdada ; Kama Ana kipaji Twende, Nitafutie na wazoefu watamuelekeza.

Jamaa ; Dogo Nenda na huyu Dada Shika na hii elfu 5 itakusave. Ngoja niwapigie Wakina Shabani Uende Nao.

Na Hapo Ndo Safari Yangu ya Upigaji Ngoma ikaanza
Kiukweli Nina Kipaji cha Kupiga Ngoma, Nilipoelekezwa siku Moja tuu Nikaelewa.

Hii Kazi inanipa Pesa ya kula Sikosi, Nimepanga Chumba, Nimenunua Godoro Na ndio kwanza Nina Miezi miwili Na Nusu Tuu....

Tatizo Linakuja Nyumbani wanataka wajue Ninafanya kazi Gani !? Maana Niliwaambia Nafundisha Pre- Form One ( Mimi Ni Mwalimu ) Kimbembe kinakuja wanataka waje Kazini kwangu Ninapofundisha 😂 kila siku nawakwepa tuu...

Wakuu Natokaje Hapaa !?
Je, Niwaambie au Nikaushe !? Maana Nyumbani ni watu wa Dini Na Mazingira ya hii kazi Nadhani Mnayaelewa....
 
😂😂😂😂😂😂 Ngoma zile za vigodoro uswazi?

Sijui hata nacheka nini
 
Hizo ngoma zinahusiana na nini?
 
Waambie waachane kabisa na maisha yako tena wakae mbali , you owe them nothing. Hukua na mchongo ikawa dharau, unaendesha sasa maisha yako ndio wanataka kuanza kukupeleleza ,kwan wana mchango gani kwenye hizo mia mia unazopata wao zina wawasha nini?
Usiwape fursa hata ya kujadili shughuli zako tena usiwachekee.
Ukijichanganya kuwapa nafasi ya kuwa na opinions juu ya mishe zako, sio siku nyingi utaona kama unachofanya hakina maisha. Hao ndio wachawi wako. Haijalishi ni wazazi
 
Baada ya Kwenda Zanzibar na Kukosa kazi Kisa Usikivu Hafifu 😢, Nikaamua Kurudi Nyumbani Dar es Salaam, Hakuna Rangi Sikuiona Aiseee Masimango, Dharau za kila Aina, ila Nilivumilia tuu, Nikawa Naenda Kijiweni Natuliaa jioni Narudi Home...
Siku Moja Tupo Kijiweni na Washkaji Kuna Mdada Akaja Akawa anaongea na Mwenzetu "Nina Shughuli Mbagala Nitafutieni Wapiga Ngoma" Kumbuka hapo Mimi Sielewi Chochote Nipo Bize na Simu 😅 , Yule Jamaa Akanishika Bega akaniambia "
jamaa ; Dogo si Ulikuwa Unapiga Ngoma Zamani

Mimi ; Ndio ila zile ni Bendi za shuleni Za Shughuli Sijui wanapigaje,

Mdada ; Kama Ana kipaji Twende, Nitafutie na wazoefu watamuelekeza.

Jamaa ; Dogo Nenda na huyu Dada Shika na hii elfu 5 itakusave. Ngoja niwapigie Wakina Shabani Uende Nao.

Na Hapo Ndo Safari Yangu ya Upigaji Ngoma ikaanza
Kiukweli Nina Kipaji cha Kupiga Ngoma, Nilipoelekezwa siku Moja tuu Nikaelewa.

Hii Kazi inanipa Pesa ya kula Sikosi, Nimepanga Chumba, Nimenunua Godoro Na ndio kwanza Nina Miezi miwili Na Nusu Tuu....

Tatizo Linakuja Nyumbani wanataka wajue Ninafanya kazi Gani !? Maana Niliwaambia Nafundisha Pre- Form One ( Mimi Ni Mwalimu ) Kimbembe kinakuja wanataka waje Kazini kwangu Ninapofundisha 😂 kila siku nawakwepa tuu...

Wakuu Natokaje Hapaa !?
Je, Niwaambie au Nikaushe !? Maana Nyumbani ni watu wa Dini Na Mazingira ya hii kazi Nadhani Mnayaelewa....
Safari moja huanzisha nyingine....jishikize kwa muda, siku itafika kazi nyingine ya ndoto yako itakufikia....pambana mwanangu..familia siyo lazima walijue chimbo....wakaushie.
 
Pole sana kwa changamoto za maisha ulizopitia baada ya kurudi kutoka Zanzibar, lakini hongera sana kwa kupambana na kupata njia ya kujitegemea kupitia kipaji chako cha upigaji ngoma! Kupanga chumba, kununua godoro na kupata pesa ya chakula ndani ya miezi miwili tu ni hatua kubwa sana.

Kuhusu suala la wazazi wako na kazi unayofanya, ni bora uwaambie ukweli kwa namna ya heshima na ya kistaarabu kuliko kuendelea kudanganya, kwani uongo una miguu mifupi na utazidi kukupa msongo wa mawazo kila wanapotaka kuja kukutembelea kazini.

Kazi yoyote ya halali inayolipa na isiyovunja sheria za nchi ni kazi ya heshima. Usione aibu, nenda kawaelimishe wazazi wako kwa staha.
 
Back
Top Bottom