Pamoja mkuu.Ndio, Tena Mara Nyingiii tuu...
Pamoja mkuu.Ndio, Tena Mara Nyingiii tuu...
AIPole sana kwa changamoto za maisha ulizopitia baada ya kurudi kutoka Zanzibar, lakini hongera sana kwa kupambana na kupata njia ya kujitegemea kupitia kipaji chako cha upigaji ngoma! Kupanga chumba, kununua godoro na kupata pesa ya chakula ndani ya miezi miwili tu ni hatua kubwa sana.
Kuhusu suala la wazazi wako na kazi unayofanya, ni bora uwaambie ukweli kwa namna ya heshima na ya kistaarabu kuliko kuendelea kudanganya, kwani uongo una miguu mifupi na utazidi kukupa msongo wa mawazo kila wanapotaka kuja kukutembelea kazini.
Kazi yoyote ya halali inayolipa na isiyovunja sheria za nchi ni kazi ya heshima. Usione aibu, nenda kawaelimishe wazazi wako kwa staha.
Mkuu au unapiga zile za baikoko😂 ila maisha, Anyway ungewaambia ukweli tu ili uishi kwa amani, kama wanatamani ungefanya kazi ya maana wangekutafutia, ila kama una kazi halali inayokupatia kipato, basi huo ni mwanzo mzuri, jitahidi muombe MUNGU utafikia malengo yako.Baada ya Kwenda Zanzibar na Kukosa kazi Kisa Usikivu Hafifu 😢, Nikaamua Kurudi Nyumbani Dar es Salaam, Hakuna Rangi Sikuiona Aiseee Masimango, Dharau za kila Aina, ila Nilivumilia tuu, Nikawa Naenda Kijiweni Natuliaa jioni Narudi Home...
Siku Moja Tupo Kijiweni na Washkaji Kuna Mdada Akaja Akawa anaongea na Mwenzetu "Nina Shughuli Mbagala Nitafutieni Wapiga Ngoma" Kumbuka hapo Mimi Sielewi Chochote Nipo Bize na Simu 😅 , Yule Jamaa Akanishika Bega akaniambia "
jamaa ; Dogo si Ulikuwa Unapiga Ngoma Zamani
Mimi ; Ndio ila zile ni Bendi za shuleni Za Shughuli Sijui wanapigaje,
Mdada ; Kama Ana kipaji Twende, Nitafutie na wazoefu watamuelekeza.
Jamaa ; Dogo Nenda na huyu Dada Shika na hii elfu 5 itakusave. Ngoja niwapigie Wakina Shabani Uende Nao.
Na Hapo Ndo Safari Yangu ya Upigaji Ngoma ikaanza
Kiukweli Nina Kipaji cha Kupiga Ngoma, Nilipoelekezwa siku Moja tuu Nikaelewa.
Hii Kazi inanipa Pesa ya kula Sikosi, Nimepanga Chumba, Nimenunua Godoro Na ndio kwanza Nina Miezi miwili Na Nusu Tuu....
Tatizo Linakuja Nyumbani wanataka wajue Ninafanya kazi Gani !? Maana Niliwaambia Nafundisha Pre- Form One ( Mimi Ni Mwalimu ) Kimbembe kinakuja wanataka waje Kazini kwangu Ninapofundisha 😂 kila siku nawakwepa tuu...
Wakuu Natokaje Hapaa !?
Je, Niwaambie au Nikaushe !? Maana Nyumbani ni watu wa Dini Na Mazingira ya hii kazi Nadhani Mnayaelewa....
Baba yako niko hapa, hata huku napita na kuangalia yanayojiri...Endelea na maisha tu, hatuji tena kuangalia unakfanyia kazi! Zaidi tutakualika kwa kazi....Baada ya Kwenda Zanzibar na Kukosa kazi Kisa Usikivu Hafifu 😢, Nikaamua Kurudi Nyumbani Dar es Salaam, Hakuna Rangi Sikuiona Aiseee Masimango, Dharau za kila Aina, ila Nilivumilia tuu, Nikawa Naenda Kijiweni Natuliaa jioni Narudi Home...
Siku Moja Tupo Kijiweni na Washkaji Kuna Mdada Akaja Akawa anaongea na Mwenzetu "Nina Shughuli Mbagala Nitafutieni Wapiga Ngoma" Kumbuka hapo Mimi Sielewi Chochote Nipo Bize na Simu 😅 , Yule Jamaa Akanishika Bega akaniambia "
jamaa ; Dogo si Ulikuwa Unapiga Ngoma Zamani
Mimi ; Ndio ila zile ni Bendi za shuleni Za Shughuli Sijui wanapigaje,
Mdada ; Kama Ana kipaji Twende, Nitafutie na wazoefu watamuelekeza.
Jamaa ; Dogo Nenda na huyu Dada Shika na hii elfu 5 itakusave. Ngoja niwapigie Wakina Shabani Uende Nao.
Na Hapo Ndo Safari Yangu ya Upigaji Ngoma ikaanza
Kiukweli Nina Kipaji cha Kupiga Ngoma, Nilipoelekezwa siku Moja tuu Nikaelewa.
Hii Kazi inanipa Pesa ya kula Sikosi, Nimepanga Chumba, Nimenunua Godoro Na ndio kwanza Nina Miezi miwili Na Nusu Tuu....
Tatizo Linakuja Nyumbani wanataka wajue Ninafanya kazi Gani !? Maana Niliwaambia Nafundisha Pre- Form One ( Mimi Ni Mwalimu ) Kimbembe kinakuja wanataka waje Kazini kwangu Ninapofundisha 😂 kila siku nawakwepa tuu...
Wakuu Natokaje Hapaa !?
Je, Niwaambie au Nikaushe !? Maana Nyumbani ni watu wa Dini Na Mazingira ya hii kazi Nadhani Mnayaelewa....
Sikujua kama sentensi chache za hekima zinaweza kukuchanganya akili kiasi hiki.