kazi

Shughuli inayohusisha akili au nguvu ya mwili kwa lengo la kufikia kusudi ama kupata matokeo fulani.
  1. N

    JamiiForums Tanzania Dawati la jinsia Police Tanzania lina kazi gani ilhali kuna maafisa wa Ustawi wa jamii kila kata?? Mbona kesi za labor hazina dawati kituo cha Police?

    NB: Nina Akili Ndogo Sana. Police Tanzania wao wana-deal na jinai (Crimes), masuala ya jinsia na watoto ni masuala ya maafisa wa Ustawi wa jamii waliopo karibia kila kata ndani ya tarata husika?? Sasa lile dawati la jinsia katika ofisi ya OCS na OCD lina maana gani?? Mbona hakuna dawati la kesi...
  2. Tech Max

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi yoyote Dar es salaam nina diploma ya mechanical engineering

    Natafuta kazi yoyote Dar es salaam nina diploma ya mechanical engineering Nicheki whatsapp call sms 0756704145
  3. projectman

    JamiiForums Tanzania Nafasi za kazi kutoka kampuni ya QTS-QUICK TRACK SOLUTIONS LIMITED (Fumigation)

    Nafasi za kazi kotuka kampuni ya quick track solutions limited katika Nafasi zifuatazo. 1. Fumigation 2. Marketing 3. Project Leader SIFA ZA MUOMBAJI 1. Lazima awe amesomea au anao ujuzi unaohusiana na fumigation and pest control 2. Umri usiopungua miaka 21 3. mkazi wa Dar es salaam 4...
  4. R

    JamiiForums Tanzania Kazi za madereva

    TANGAZO LA NAFASI YA KAZI – DEREVA MWENYE UJUZI WA UFUNDI WA MAGARI Tunatafuta dereva mwenye uzoefu wa udereva na uelewa wa ufundi wa magari, atakayekuwa na jukumu la kuendesha magari, kufanya ukaguzi na matengenezo ya kawaida, pamoja na kutoa ushauri wa kitaalamu kuhusu matengenezo na...
  5. nzalendo

    JamiiForums Tanzania FITNA NA CHUKI SEHEMU ZA KAZI

    Katika harakati za kutafuta maisha kuna mambo mengi ya uchungu na kukatisha tamaa. Uonevu ni sehemu ya riziki, Chuki nazo zimejaa toka enzi na enzi, Nilishuhudia pahala Boss anarogwa mchana kweupe, ili tu... amchukie jamaa ambaye ni jembe kwelikweli. Haya mambo nilidhani ni kwetu uswahilini...
  6. Mad Max

    JamiiForums Tanzania KERO Tunauziwa maji machafu! DAWASA wote wafukuzwe kazi. Kuanzia Wafanyakazi hadi Bodi

    Nini hiki? Mtasema AI.
  7. Mhaya

    JamiiForums Tanzania Hii kazi ya Customer Care inabidi uwe na Uvumilivu wa hali ya juu

    Nawaonea sana huruma watu wanaofanya kazi kitengo cha customer care. Hawa watu wanabeba lawama za Mataasisi na Maofisi. Mteja anapiga simu anaporomosha matusi, kejeli na lawama kibao. Alafu unakuta huyo mteja ndio mwenye kosa. Mimi nimewai kuona Boyfriend wa mteja alikopa pesa kwenye App...
  8. H

    JamiiForums Tanzania Kiswahili siyo tu kwamba ni lugha rasmi ya kazi katika mikutano ya Umoja wa Afrika, Jumuiya ya Afrika Mashariki, SADC, UNESCO na taasisi nyingine kubw

    Kiswahili siyo tu kwamba ni lugha rasmi ya kazi katika mikutano ya Umoja wa Afrika, Jumuiya ya Afrika Mashariki, SADC, UNESCO na taasisi nyingine kubwa za kimataifa bali kwa miongo kadhaa, imekuwa ikifundishwa kwa ufahari katika taasisi za kitaaluma za hapa Urusi - Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck...
  9. K

    JamiiForums Tanzania AMEPATA KAZI LODGE VIPI NIMRUHUSU?

    Wadau kwema aisee nimeona nije nijieleze tu maana maji yamenifika shingoni. Maisha yamekuwa magumu sana kwa upande wetu. Na kama mjuavyo kazi ni kazi tu ili mradi unaingiza chochote kitu vipi nimruhusu? Nashindwa kwelewa
  10. Crocodiletooth

    JamiiForums Tanzania Tuwe na subira,tungoje kwanza tume zimalize kazi zake,ndipo tuanze kulaumu.

    Watanzania wa mrengo ule,wamekuwa wakitupa lawama sana kwa serekali yetu tukufu,juu ya uwajibikaji wake juu ya yale yalitokea 2025 Oktober, At the same time vipo vyombo mahsusi ambavyo bado vinashughulikia suala hili kwa kina na umakini mkubwa katika kupata last solution of the matter...
  11. instinct desire

    JamiiForums Tanzania Sasa kama nyinyi wafuasi wa CHADEMA siyo magaidi, huko nje mnafanya nini na hamna kazi, zaidi ya kukesha mitandaoni 24Hrs mnatutukana sisi Watanzania

    Hebu semeni nyie wafuasi wa CHADEMA nini kinawafanya muondoke nchini kimagendo mbona ss hatuondoki na tuna enjoy tu maisha. Kwanin mkimbie nchi ili hali hakuna anayewafukuza? Jibu ni Moja tu . Mnaondoka kwasababu mnajijua kuwa nyie ni kikundi cha kigaidi kwahyo mnakimbia mkono wa Sheria...
  12. Corticopontine

    JamiiForums Tanzania Rais amebakiza miaka mitatu, ya kazi na wa nne ni wa uchaguzi, tuvumilie hili nalo litapita

    Miaka miwili na siku 364 zimebaki
  13. F

    JamiiForums Tanzania Napinga hoja ya kuwaombea wafu, maombi hayo hayafanyiwi kazi

    Hello! Naomba nieleweke wazi kuwa, mimi binafsi nalaani vikali kitendo cha kuua watu Kwa risasi za moto Kwa sababu za kijinga kwamba unalinda mali za unaowaua,ambapo ilikuwa inawezekana kuzuia hayo yasitokee Kwa kusikiliza hoja zao na kuzifanyia kazi. Sasa twende kwenye mada, wafu hawaombewi...
  14. Ntemi_Ntale

    JamiiForums Tanzania OpenAI Imezindua GPT-6.1 Terra: AI Model yenye Kasi na Bei Nafuu kwa Kazi za Kila Siku

    Kwa Ufupi ni Kwamba : OpenAI imezindua GPT-6.1 Terra, model ya ukubwa wa kati inayolenga kazi za kawaida za kompyuta kama kuandika, coding na kuendesha programu za kompyuta (computer use). Gharama zake zimeshushwa karibia nusu ukilinganisha na GPT-5.6 Terra. Inapatikana sasa kwa watumiaji wa...
  15. Ntemi_Ntale

    JamiiForums Tanzania Microsoft Yatoa Ofa ya Kuacha Kazi kwa Hiari kwa Wafanyakazi 60,000 Huku AI Ikichochea Ufanisi

    Mambo Muhimu Takriban wafanyakazi 60,000 wa Microsoft wanastahili kujiunga na mpango mpya wa kuacha kazi kwa hiari (buyout) katika nchi nne(Marekani, Kanada, India na Uingereza) Hatua hii inakuja miezi sita baada ya Microsoft kutangaza mpango wake wa kwanza kabisa wa kustaafu kwa hiari kwa...
  16. mzalendo namba moja

    JamiiForums Tanzania NAFASI ZA KAZI UAE, OMBA SASA KAMA VIGEZO UNAVYO

    📢 TANGAZO LA AJIRA ABU DHABI – UAE 🇹🇿 CHAMA CHA MAFUNDI TANZANIA (CMT) CMT inawatangazia mafundi wote fursa za ajira nchini Abu Dhabi ⚠️ MUHIMU SANA: Kigezo namba moja ni kuhakikisha umejiunga na mfumo wetu wa chama kupitia www.cmt.co.tz .Kama bado hujajiunga hujachelewa bado jiunge leo na...
  17. figganigga

    JamiiForums Tanzania Wafuasi wa Samia Suluhu wangemuiga Hussein Bashe, wasingekuwa wanamwaga damu ya Binadamu

    Kinacho sababisha watu kuteka binadamu, kuua ni Umasikini. Yaani Matajiri wanatumia pesa zao kuwapa Masikini ili wamwage damu za masikini wenzao na hao Masikini wanaoua wenzao, wanajisifu kwa kumwaga damu ya Binadamu fukara mwenzao ili kumfurahisha Mtawala/ tajiri alowatuma. Yaani masikini...
  18. Nuel27

    JamiiForums Tanzania Mfumo wa kukata tiketi za SGR online uko chini (haufanyi kazi) kwa zaidi ya saa 20 sasa

    Najaribu kukata tiketi ya treni ya SGR lakini tangia jana usiku mfumo haufanyi kazi ,nilitegemea nikiamka nitakuta mfumo umerekebishwa ila cha ajabu mpaka wakati huu hali bado ni ile ile na TRC hawajatoa tamko lolote mpaka sasa. Hili shirika linafikirisha sana kuhusu uendeshaji wake 🚮
  19. Kinkunti El Perdedo

    JamiiForums Tanzania Mh.Waziri Aweso Mfute Kazi Meneja Wa MWAUWASA.

    Mwanza. Naandika jambo hili nikiwa na hasira sana,juu ya kero ya maji katika jiji la Mwanza.Sote tunafahamu Jiji hili lina chanzo cha uhakika cha maji (Ziwa Viktoria) Sasa huu ukosefu wa maji kwenye baadhi ya maeneo unasababishwa na nini ? Si Machweo si Mawio,naona watoto wakiume nawa kike...
  20. W

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mkasa wa Eastleigh wageuka jukwaa la Mosiria kung’ara baada ya kufutwa kazi na Gavana Sakaja wa Nairobi

    Tukio la kuporomoka kwa jengo lililokuwa likijengwa katika mtaa wa Eastleigh, Nairobi, limeibua mjadala mwingine baada ya aliyekuwa Afisa Mkuu wa Ushirikishwaji wa Umma, Ushirikishwaji wa Wananchi na Huduma kwa Wateja katika Kaunti ya Nairobi, Geoffrey Mosiria kufika eneo la mkasa na kupokelewa...
Back
Top Bottom