kazi

Shughuli inayohusisha akili au nguvu ya mwili kwa lengo la kufikia kusudi ama kupata matokeo fulani.
  1. T

    Pre GE2025 Rais Samia kuwalambisha nyongeza mishahara ya Ma DED na posho za madiwani

    Wakuu Rais Samia Suluhu Hassan alipokuwa kwenye mkutano mkuu wa 39 wa jumuiya ya Tawala za Mitaa Tanzania ameeleza kuwa watashughulikiwa suala la mishahara ya wakurugenzi wa halmashauri na posho za madiwani. "Tuachieni tufanyie kazi, wanasema mcheza kwao hutunzwa, sasa ngoja tukaangalie huo...
  2. K

    Maombi ya kazi

    Kwa majina naitwa kelvin ramson joseph kama kuna mtu ana connection ya kazi naomba anisaidie nipo dar es salaam nina degree ya bachelor of adult education with community education kama kuna sehemu na fit naomba unisaidie ikiwa moro ni vizur zaidi hususani kwenye hizi NG'O tafadhali tusaidiane
  3. Robert Heriel Mtibeli

    Mwanamke tegemezi asiye na Kazi huwezi sema anakuheshimu au kukutii. Heshima inatoka kwa mtu anayejitegemea Nje ya hapo tegemea Unafiki.

    MWANAMKE TEGEMEZI ASIYE NA KAZI HUWEZI SEMA ANAKUHESHIMU AU KUKUTII. HESHIMA INATOKA KWA MTU ANAYEJITEGEMEA NJE YA HAPO TEGEMEA UNAFIKI Anaandika, Robert Heriel Mtibeli Kwa Sisi tusiopenda unafiki na tunaojua hulka na akili ya binadamu. Kamwe hatutazamii heshima yoyote kutoka kwa mtu asiye...
  4. Wilson Gamba

    Kwa kizazi hiki wazazi tuna kazi kubwa

    Kwanza niwape pole walimu na pia wale wote waliohusika hadi kutufikisha hapa na kutupa uelewa kupitia wa elimu.Miaka ya 90 watu walisoma wakubwa lakini walikuwa watiifu sana wa kufata maelekezo na pia adabu kwa wakubwa lilikuwa si ombi bali ni lazima uliweza adhibiwa na yoyote ili miradi...
  5. T

    Queen Sendiga awachana watoto wa 2000, hawajishughulishi na kazi za nyumbani

    Wakati shamrashamra za maandalizi ya Siku ya Wanawake Duniani zikipamba moto, Mkuu wa Mkoa wa Manyara, Queen Sendiga amewashukia 'watoto wa 2000' akidai kwamba wengi wao hawajishughulishi na kazi zozote wawapo makwao.
  6. Technophilic Pool

    Kuna kiwanda nimewambia niwape mteja kutoka china wa mazao !! Meneja kagoma kasema wao hawafanyi kazi na mtu binafsi na middle man??

    Nimeshtuka kuona waafrika wana hizi mindset. Yaan yupo radhi aachie dili ya mamilioni kisa tu uliyeleta hiyo dili ni mtu binafsi!! We manager ni zero brain kabisa!! Najua huu uzi utausoma NB: Nadhan angekua ni mwenye kiwanda asingefanya huu ujinga
  7. Azoge Ze Blind Baga

    Nadaiwa na kampuni wameacha kufanya kazi na mimi na sina mchongo wa kupata hela ya kuwalip kwa sasa je endapo nitapelekwa mahakamani sheria inasemaje

    Kama mada inavyojieleza, nilikua nafanya kazi na kampuni flani sasa kuna hela kidogo nliitumia kwa kutegemea nitailipa kadri ninavyoendelea kufanya kazi Sasa ghafla jamaa wakaniachisha kazi wakati bado sijamaliza lile deni na sikuwa nalipwa mshahara ni commision tu ambayo ndo nlikua naitumia...
  8. The Watchman

    Pre GE2025 UVCCM Dodoma: No reforms No election ni kuingilia kazi ya tume

    Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) mkoa wa Dodoma, Abdulhabib Mwanyemba amesema baadhi ya viongozi wa vyama vya upinzani ambao wamekuwa wakijinasibu na kudai ‘No Reform, No Election’ ni waongo, akidai kuwa hufanya vikao vya siri vya kuwaandaa watu kugombea nafasi...
  9. C

    Mfumo wa ESS: ujumbe huu una maana gani kwenye mfumo wa kubadilishana vituo vya kazi

    Napata ujumbe huu "error initializing transfer request " Niliomba maombi ya uhamisho wa kubadilishana vituo vya kazi , mwenzangu aka accept ombi then maombi yakatumwa kwa mkurugenzi na kuwa approved, baada ya hapo mfumo unataka nisubmit maombi nikiwa nimeambatanisha docs Nimefanya hivyo lakini...
  10. Mudawote

    Waziri wa Kazi Ridhiwani Kikwete - Ajira kwa Vijana Watanzania na Ukiritimba wa Wachina

    Mheshimiwa Waziri wa Kazi, Mh. Ridhiwani Kikwete, Najiuliza, je, tunafahamu hali halisi ya ajira kwa vijana wa Kitanzania, hasa wanapokuwa wanatumikishwa na wawekezaji kutoka nchi za nje, kama vile wachina? Hali hii imefikia hatua ya kutisha ambapo vijana wa Kitanzania wananyanyaswa na kuzidi...
  11. Harvey Specter

    Hivi wakala wa afya na usalama mahali pa kazi (OSHA) huwa wanakagua

    OSHA ni Wakala wa Serikali chini ya Ofisi ya Waziri Mkuu , Idara ya Kazi, Vijana, Ajira na wenye Ulemavu. Wajibu wake ni kuwalinda wafanyakazi dhidi ya vihatarishi vilivyopo au vinavyojitokeza katika sehemu za kazi ambavyo vinaweza kusababisha Magonjwa, Ajali na hata Vifo. OSHA inatekeleza...
  12. Nomadix

    Kulea ni kazi ya mwanamke, kutunza ni kazi ya mwanaume

    "Kulea ni kazi ya mwanamke na kutunza ni kazi ya mwanaume. Ili mwanamke aweze kulea ni mwanaume anahusika kutoa matunzo. Kujiunga na chama hichi ni kuanzia miaka 18 ambapo tunatengeneza wanaume ambao hawakimbii familia. Waliojiandikisha mpaka sasa ni wanaume 31,000" - Claude Benedict Kimu...
  13. R

    Nimeambiwa nichague kituo cha kazi cha kudumu Tanga mjini au Singida mjini, Je nihamie wapi ?

    Wakuu habari zenu Kazi nayofanya nimezunguka nimeishi miji kadhaa kila baada ya mwaka nahamishwa, kwa sasa nipo Njombe mwaka huu nimefikia vigezo vya kupata kituo cha kudumu, nafasi zilizo wazi ni Singida mjini au Tanga mjini Nitakohamia ndio maisha yangu rasmi yanakohamia pamoja na familia...
  14. aise

    Angalia kazi yangu kabla na baada, ikikupendeza nicheki.

    Hii ni kazi niliyofanya, picha ni kabla ya na baada ya kufanya kazi. Nilianza kwa kupiga ukuta plasta, nikamalizia kwa kuweka vipande vya tailiz chini. Ukihitaji nipigie 0624254690
  15. chizcom

    Tuseme ukweli kazi ya urubani imekuwa rahisi sana ukilinganisha na zamani walivyokuwa wanaheshimika

    Urubani wa siku hizi hata usiyejua unaweza kusomea ili mradi zile kanuni ambazo utafata kwenye elimu zinazofundishwa. Ukilinganisha na zamani yani ndege nyingi zilikuwa zinaitaji marubani zaidi ya watu mpaka wanne kutegemea na aina gani ya ndege. Ukilinganisha na leo yani kila kitu kimewekwa...
  16. Infropreneur

    Kwenye dini kila kitu kinafanya kazi katika ulimwengu wa kiroho, Lakini likija suala la pesa 💵 hilo ni la kimwili.

    Kwenye imani za kidini utaambiwa maisha yako si ya kimwili ni ya kiroho. Lakini likija suala la pesa hilo ni la kimwili na wala halina mjadala kuhusu kutoa hela..😂 Kama maisha yako ni ya kiroho, Kwa nini utoe fedha kimwili? Kama maisha yako ni ya kiroho, Hata hela na sadaka inabidi zitolewe...
  17. G

    Naombeni kazi ndugu zangu

    Kwema ndugu zangu? Mimi ni kijana miaka 22 nina elimu ya kidato cha sita. Nilikuwa nasoma chuo IFM mwaka wa pili ada imekosekana hivyo nimeshindwa kuendelea na masomo. Nilikuwa naomba mnisaidie connection yoyote ya kazi ili niweze kupata ada niendelee na masomo. Napatikana kigamboni...
  18. Mungu niguse

    Balile na Pascal Mayalla je wanamtumikia nani , mbona hawana weledi katika kazi zao ?

    Balile na pascal Mayalla hawana weledi katika uandishi wa habari. Naomba waendelee na siasa za kusifu na sio habari.
  19. Magical power

    Polisi Morogoro mjini fanyeni kazi kwa weledi na uzalendo, si uonevu

    Habari wakuu,hii inchi ikienda ivi raia watashindwa kutoa ushirikiano Kwa majeshi yetu,yaan Hasa Hawa askari wetu wanao tembea rod na kukakamata vyombo vya usafiri, Kuna askari jina kapuni uyu amekatama chombo cha moto kikiwa kimepaki na kimekamilika kila kitu na kutoa sababu kibao dk ya...
  20. M

    Natafuta kazi ya uhasibu Naombeni msaada wetu

    Naitwa jenipha Nimesomea degree ya uhasibu chuoo kikuu cha Dar es salaam natafuta kazi naombeni msaada wenu 0713776534
Back
Top Bottom