Napinga hoja ya kuwaombea wafu, maombi hayo hayafanyiwi kazi

Footstep

JF-Expert Member
Joined
Oct 27, 2026
Posts
383
Reaction score
594
Hello!

Naomba nieleweke wazi kuwa, mimi binafsi nalaani vikali kitendo cha kuua watu Kwa risasi za moto Kwa sababu za kijinga kwamba unalinda mali za unaowaua,ambapo ilikuwa inawezekana kuzuia hayo yasitokee Kwa kusikiliza hoja zao na kuzifanyia kazi.

Sasa twende kwenye mada, wafu hawaombewi, kuombea wafu ni ibada ya shetani Kwa sababu Mungu ni Mungu wa walio hai na si wa wafu, hivyo usiende kuombea wafu.

Ikitokea umehudhuria ibada hiyo, badili maombi, wewe omba mwenyezi Mungu airehemu Tanzania, asikie sauti ya damu iliyomwagika bila hatia na kulipa kisasi Kwa wahusika Kwa maana imeandikwa, auaye Kwa upanga, naye atauwawa Kwa huo.

Ikumbukwe pia kuwa kanisa Hilo Lina mtandao mpana wenye matawi mengi kuliko chama tawala hivyo maombi haya yatajibiwa haraka ikiwa wataomba Kwa usahihi.

Aamen
 
Hujalazimishwa
 
Leo nyuzi za hivi zitakuwa nyingi kweli.
Wewe member unajua mtu yyte aliyepatww na maafa Yale ya kipumbavu yaliyosababishwa na viongozi majuha wa ccm?
Sasa maridhiano ya nn?
Soma mada Kwa ufahamu,

Maombi ya wafu hayasikizwi,

Ila ukiomba kisasi Kwa damu isiyo na hatia , utajibiwa haraka,

Maombi yaendelee, ila yaombwe Kwa usahihi
 
Ni siku ya kuomba toba kwa ajili ya mauaji yalitokea, lakini pia kuombea kiti cha rais, Maandiko yanasema Mkuu akipingukiwa na akili kuwatesa watu

Mithali 28:16-17
[16]Mkuu aliyepungukiwa na akili huwaonea watu sana;
Bali achukiaye kutamani ataongeza siku zake
.

[17]Aliyelemewa na damu ya mtu
Atalikimbilia shimo; wala mtu asimzuie.
 
Hayajibiwi kivipi wewe umejuaje hayajibiwi?

Ndiyo nikakuuliza huko juu wewe umekuwa Mungu kiasi unajua ombi fulani utalijibu ombi fulani hutalijibu?
 
Hello!

Naomba nieleweke wazi kuwa, mimi binafsi nalaani vikali kitendo cha kuua watu Kwa risasi za moto Kwa sababu za kijinga kwamba unalinda mali za unaowaua,ambapo ilikuwa inawezekana kuzuia hayo yasitokee Kwa kusikiliza hoja zao na kuzifanyia kazi.

Sasa twende kwenye mada, wafu hawaombewi, kuombea wafu ni ibada ya shetani Kwa sababu Mungu ni Mungu wa walio hai na si wa wafu, hivyo usiende kuombea wafu.

Ikitokea umehudhuria ibada hiyo, badili maombi, wewe omba mwenyezi Mungu airehemu Tanzania, asikie sauti ya damu iliyomwagika bila hatia na kulipa kisasi Kwa wahusika Kwa maana imeandikwa, auaye Kwa upanga, naye atauwawa Kwa huo.

Ikumbukwe pia kuwa kanisa Hilo Lina mtandao mpana wenye matawi mengi kuliko chama tawala hivyo maombi haya yatajibiwa haraka ikiwa wataomba Kwa usahihi.

Aamen
Hivyo ndivyo ilivyo, Naunga mguu hoja.
 
Ni siku ya kuomba toba kwa ajili ya mauaji yalitokea, lakini pia kuombea kiti cha rais, Maandiko yanasema Mkuu akipingukiwa na akili kuwatesa watu

Mithali 28:16-17
[16]Mkuu aliyepungukiwa na akili huwaonea watu sana;
Bali achukiaye kutamani ataongeza siku zake
.

[17]Aliyelemewa na damu ya mtu
Atalikimbilia shimo; wala mtu asimzuie.
Quote of the day
 
Back
Top Bottom