Napinga hoja ya kuwaombea wafu, maombi hayo hayafanyiwi kazi

Napinga hoja ya kuwaombea wafu, maombi hayo hayafanyiwi kazi

Sasa twende kwenye mada, wafu hawaombewi, kuombea wafu ni ibada ya shetani Kwa sababu Mungu ni Mungu wa walio hai na si wa wafu, hivyo usiende kuombea wafu.
Shetani ni wewe uliyejaa unafiki kwani wameanza kuombea wafu leo? Kwanini kwanza utumie account mpya? Wewe pia ni mfu unayetembea
 
Katiba imetoa Uhuru kuabudu Mungu.

Na Mungu ni mmoja tu. Ieleweke hivyo.
Katiba ya Tanzania kuna ilipoandikwa lazima kumuabudu Mungu?

Kwamba imeandikwa kabisa kwa msisitizo lazima kumuabudu Mungu mmoja tu isiwape uhuru waabudu matambiko shetani etc ikithibitika wazi hawatafanya vurugu?
 
Basi aliyekuagiza atakuwa ni mwehu kama ulivyo wewe! Huwezi kuniambia hapo ulipo huwakumbuki wapendwa wako waliofariki. Mfano marehemu babu yako, bibi yako, baba yako, mama yako na ndugu zako wengine waliofariki
Kuwakumbuka ni kuwakumbuka,

Ila kuwaombea ni jambo lingine,

Na kuwaombea wafu na kutoa sadaka madhabahuni hayo ni makufuru, maana hayo ni kinyume na maandiko.

Mungu ni Mungu wa walio hai, si Mungu wa wafu.

Waliouwawa katika haki si wafu hao, ni hai, na roho zao ziko mbinguni zinamlilia Mungu alipe kisasi,na wewe unaungana nao kudai kisasi basi.

Kamwe usiombee wafu,ni abomination
 
We mkund@ katawaze kwanza maana hata kujisafisha haujui .
Wewe utakuwa kweli shogger kama baadhi ya wadau wanavyo kutuhumu. Penyewe umetoka kwenu Zanzibar na kuhamia Tanga mjini! Utakuwa umefuata mabasha wako tu. Siyo bure.
 
Kuwakumbuka ni kuwakumbuka,

Ila kuwaombea ni jambo lingine,

Na kuwaombea wafu na kutoa sadaka madhabahuni hayo ni makufuru, maana hayo ni kinyume na maandiko.

Mungu ni Mungu wa walio hai, si Mungu wa wafu.

Waliouwawa katika haki si wafu hao, ni hai, na roho zao ziko mbinguni zinamlilia Mungu alipe kisasi,na wewe unaungana nao kudai kisasi basi.

Kamwe usiombee wafu,ni abomination
Haya waache wafanye wanavyotaka. Na wewe endelea na mambo yako. Acha kuwapangia cha kufanya kwa sababu hawakuhusu.
 
Shetani ni wewe uliyejaa unafiki kwani wameanza kuombea wafu leo? Kwanini kwanza utumie account mpya? Wewe pia ni mfu unayetembea
Waulize wanaoombea wafu wanatumia kifungu kipi ndani ya Neno la Mungu?

Sasa kama Neno la Mungu ndio katiba, na haijaelekeza Hilo,

Ndipo mimi nainuka kupingana nao,

Waombe Kwa usahihi.
 
Haya waache wafanye wanavyotaka. Na wewe endelea na mambo yako. Acha kuwapangia cha kufanya kwa sababu hawakuhusu.
Siwaachi hata kidogo.

Warudi kuomba Kwa usahihi maana wamemtaja Mungu anayekataza kuombea wafu,

Maana yeye ni Mungu wa walio hai, si wa wafu.
 
Siwaachi hata kidogo.

Warudi kuomba Kwa usahihi maana wamemtaja Mungu anayekataza kuombea wafu,

Maana yeye ni Mungu wa walio hai, si wa wafu.
Una ushahidi gani wa Mungu wao kuwa sawa na huyo Mungu wako? Unaonekana unapenda sana shari.
 
Una ushahidi gani wa Mungu wao kuwa sawa na huyo Mungu wako? Unaonekana unapenda sana shari.
Ushahidi ni Neno la Mungu.

Neno limekataza kuombea wafu maana Mungu ni Mungu mmoja wa walio hai si wa wafu.

Sasa kama wewe una ushahidi wa Neno unaohalalisha kuombea wafu ulete hapa.

Karibu.
 
Ushahidi ni Neno la Mungu.

Neno limekataza kuombea wafu maana Mungu ni Mungu mmoja wa walio hai si wa wafu.

Sasa kama wewe una ushahidi wa Neno unaohalalisha kuombea wafu ulete hapa.

Karibu.
Aisee!
 
Katiba ya Tanzania kuna ilipoandikwa lazima kumuabudu Mungu?

Kwamba imeandikwa kabisa kwa msisitizo lazima kumuabudu Mungu mmoja tu isiwape uhuru waabudu matambiko shetani etc ikithibitika wazi hawatafanya vurugu?
Katiba hairuhusu kumwabudu shetani bali Mungu.

Hilo liko wazi.
 
Katiba hairuhusu kumwabudu shetani bali Mungu.

Hilo liko wazi.
Kumbe nabishana na kichaa!

Kwa hiyo kama hairuhusu kuabudu shetani then kwanini walioichapa wakaweka neno uhuru?unajua maana ya uhuru wewe?
 
Yale marisasi yalitengenezwa mahususi kusambaratisha kabisa mwili wa binadamu. Wengi waliohusika wataisha
Tuombe nao wauwawe baada ya kushuhudia vifo vya walio karibu nao ndani ya nyumba zao,

Na wameanza kufiwa,

Afande mkuu kafiwa na babake juzi,

Aliyetoa amri kuwa watu naye kazika mwenza,

Neno limesema wazi Auwaye Kwa upanga naye atauwawa Kwa huo.
 
Kumbe nabishana na kichaa!

Kwa hiyo kama hairuhusu kuabudu shetani then kwanini walioichapa wakaweka neno uhuru?unajua maana ya uhuru wewe?
Ni uhuru wa kumwabudu Mungu si shetani.

Shetani ni baba wa mauwaji na anaabudiwa Kwa damu, Sasa uhuru uo ungekuwepo,watu wangeruhusiwa kuua binadamu ili kutimiza uhuru wao unaousema wa kumwabudu shetani Kwa kuua watu.

Uwe na uelewa,

Katiba zote duniani zimefuata maelekezo ya Neno la Mungu, na Sheria zote zilizo kwenye katiba zote duniani, msingi ni Neno la Mungu
 
Hello!

Naomba nieleweke wazi kuwa, mimi binafsi nalaani vikali kitendo cha kuua watu Kwa risasi za moto Kwa sababu za kijinga kwamba unalinda mali za unaowaua,ambapo ilikuwa inawezekana kuzuia hayo yasitokee Kwa kusikiliza hoja zao na kuzifanyia kazi.

Sasa twende kwenye mada, wafu hawaombewi, kuombea wafu ni ibada ya shetani Kwa sababu Mungu ni Mungu wa walio hai na si wa wafu, hivyo usiende kuombea wafu.

Ikitokea umehudhuria ibada hiyo, badili maombi, wewe omba mwenyezi Mungu airehemu Tanzania, asikie sauti ya damu iliyomwagika bila hatia na kulipa kisasi Kwa wahusika Kwa maana imeandikwa, auaye Kwa upanga, naye atauwawa Kwa huo.

Ikumbukwe pia kuwa kanisa Hilo Lina mtandao mpana wenye matawi mengi kuliko chama tawala hivyo maombi haya yatajibiwa haraka ikiwa wataomba Kwa usahihi.

Aamen
Huwezi pangia watu kitu cha kuombea. Hayo maombi yajibu yasijibu siyo ishu yako. Waachie wenyewe
 
Huwezi pangia watu kitu cha kuombea. Hayo maombi yajibu yasijibu siyo ishu yako. Waachie wenyewe
Siwapangii, nawarudisha njia sahihi,

Waombe Kwa usahihi ili maombi yajibiwe,

Ni sawa tu kusema wewe ni mwanasheria Kisha ushindwe kufuata katiba inasemaje,

Sasa wanaoombea wafu wanamtaja Mungu ambapo msingi wa maombi yoyote ni Neno la Mungu, ndio katiba yetu.

Sasa kuombea wafu ni sawa na kusema katiba ni kijitabu tu,

Au kudai Neno la Mungu,ni kijitabu,

Hili napinga Kwa nguvu zote.
 
Kuna uzi hapa kaanzisha kafiri mmoja ,anaitwa tpaul kasome uone ,
Tafsiri sahihi ya kafiri,

Ni yule anayepinga kuwa Yesu ni Mungu aliyekuja katika mwili wa mwanadamu,akazaliwa,akafa na kufufuka siku ya tatu Kisha akapaa kurudi Mbinguni alikotokea.

Apingaye hayo ndiye "Kafiri"
 
😅😅Toka hapa eti Yesu ni Mungu
 
Back
Top Bottom