ngara23
JF-Expert Member
- Aug 31, 2019
- 16,871
- 39,881
Arobain ipi ? Kwa vile arobain inasomwa baada ya siku ngapi ?
Bakwata kale tende na katawaze vizuri
Arobain ipi ? Kwa vile arobain inasomwa baada ya siku ngapi ?
Mmechochewa na TEC , mkauliwa mnakuja kulaumu BATWAKA..kijana hata mama yako alikuwa hajui yupi kampa mpaka ukazliwa wewe fala .Bakwata kale tende na katawaze vizuri
Ni ibada za wafu hizo,Kuna wale 40 ya marehemu nao waache?
Mie nadhani kuombea magaidi, walipuzi wa vituo vya mafuta, vituo vya polisi na makazi ya watu, kuwaombea waporaji na majambazi wa mali za watu, kuwaombea magaidi waliowaumiza na kuwaua wananchi waliogoma kujiunga kwenye ugaidi wao ndio kitu nonsense zaidi kwa maoni yangu gentleman.Hello!
Naomba nieleweke wazi kuwa, mimi binafsi nalaani vikali kitendo cha kuua watu Kwa risasi za moto Kwa sababu za kijinga kwamba unalinda mali za unaowaua,ambapo ilikuwa inawezekana kuzuia hayo yasitokee Kwa kusikiliza hoja zao na kuzifanyia kazi.
Sasa twende kwenye mada, wafu hawaombewi, kuombea wafu ni ibada ya shetani Kwa sababu Mungu ni Mungu wa walio hai na si wa wafu, hivyo usiende kuombea wafu.
Ikitokea umehudhuria ibada hiyo, badili maombi, wewe omba mwenyezi Mungu airehemu Tanzania, asikie sauti ya damu iliyomwagika bila hatia na kulipa kisasi Kwa wahusika Kwa maana imeandikwa, auaye Kwa upanga, naye atauwawa Kwa huo.
Ikumbukwe pia kuwa kanisa Hilo Lina mtandao mpana wenye matawi mengi kuliko chama tawala hivyo maombi haya yatajibiwa haraka ikiwa wataomba Kwa usahihi.
Aamen
Wa kuabudiwa ni Mungu mmoja tu ambaye hataki tufanye ibada za wafu.Lakini hii nchi si ina uhuru wa kuabudu?
Kama kuombea wafu ni ibada ya kishetani kuna shida gani kundi fulani likaifanya hiyo ibada?wanakukera nini wewe....umekuwa Mungu?

Tuombe Kwa usahihiHivyo ndivyo ilivyo, Naunga mguu hoja.
Sasa walio hai ,Mungu wao ni hai,Wanaoomba siyo Wafu ..... Ni Wafu ndiyo wanaoombewa!!
Tanga kuna machoko wengi, ww ni mmojawapo!kumbe yule fala tpaul aje ..Kama fala yaani na nguvu zote wanazojitapa bado wanataka waislamu waingie kwenye ibada za kikafiri.
Lumumba tangu lini wamelaani mauaji ya wasio na hatia?JOINED YESTERDAY😂😂😂😂😂😂
Mjomba kama mambo hayakuhusu achana nayo. Kuanza kuwapangia watu wasio kuhusu mambo ya kufanya, ni utaahira.Hello!
Naomba nieleweke wazi kuwa, mimi binafsi nalaani vikali kitendo cha kuua watu Kwa risasi za moto Kwa sababu za kijinga kwamba unalinda mali za unaowaua,ambapo ilikuwa inawezekana kuzuia hayo yasitokee Kwa kusikiliza hoja zao na kuzifanyia kazi.
Sasa twende kwenye mada, wafu hawaombewi, kuombea wafu ni ibada ya shetani Kwa sababu Mungu ni Mungu wa walio hai na si wa wafu, hivyo usiende kuombea wafu.
Ikitokea umehudhuria ibada hiyo, badili maombi, wewe omba mwenyezi Mungu airehemu Tanzania, asikie sauti ya damu iliyomwagika bila hatia na kulipa kisasi Kwa wahusika Kwa maana imeandikwa, auaye Kwa upanga, naye atauwawa Kwa huo.
Ikumbukwe pia kuwa kanisa Hilo Lina mtandao mpana wenye matawi mengi kuliko chama tawala hivyo maombi haya yatajibiwa haraka ikiwa wataomba Kwa usahihi.
Aamen
Nimeagizwa nimpinge shetani wazi wazi,Mjomba kama mambo hayakuhusu achana nayo. Kuanza kuwapangia watu wasio kuhusu mambo ya kufanya, ni utaahira.
Labda uwashauri watoto wa dada yako hapo nyumbani wanaweza kukusikiliza.
Kwa mara ya kwanza unalaani wauwaji wa October 29.Mie nadhani kuombea magaidi, walipuzi wa vituo vya mafuta, vituo vya polisi na makazi ya watu, kuwaombea waporaji na majambazi wa mali za watu, kuwaombea magaidi waliowaumiza na kuwaua wananchi waliogoma kujiunga kwenye ugaidi wao ndio kitu nonsense zaidi kwa maoni yangu gentleman.
unamuombeaje gaidi aliotoka kutoka kwenye nyumba yake na kwenda kuua mwananchi ambae amekataa kutoka kwenye nyumba yake na kwenda kufanya ugaidi?🐒
Ninachojua mimi katiba imeruhusu “kuabudu” haijasema lazima kuabudu hiki au kile labda wewe una version nyengine ya katiba inayoumuru Mtanzania aabudu Mungu unayemjua wewe?Wa kuabudiwa ni Mungu mmoja tu ambaye hataki tufanye ibada za wafu.
Huo uhuru wa kumwabudu shetani hata kwenye katiba haupo
Tuombe Kwa usahihi
In fact,
Ona hii mbuzi ilivyo paniki! Imeshindwa hata kuandika kwa ufasaha jina la wafuga majini wenzake. 😀Mmechochewa na TEC , mkauliwa mnakuja kulaumu BATWAKA..kijana hata mama yako alikuwa hajui yupi kampa mpaka ukazliwa wewe fala .
Katiba imetoa Uhuru kuabudu Mungu.Ninachojua mimi katiba imeruhusu “kuabudu” haijasema lazima kuabudu hiki au kile labda wewe una version nyengine ya katiba inayoumuru Mtanzania aabudu Mungu unayemjua wewe?
Baba mbona ni ***** ,Tanga kuna machoko wengi, ww ni mmojawapo!
Basi aliyekuagiza atakuwa ni mwehu kama ulivyo wewe! Huwezi kuniambia hapo ulipo huwakumbuki wapendwa wako waliofariki. Mfano marehemu babu yako, bibi yako, baba yako, mama yako na ndugu zako wengine waliofarikiNimeagizwa nimpinge shetani wazi wazi,
Mungu ni mmoja tu,
Tena ana wivu,
Anapenda aombwe Kwa usahihi na amekataa ibada za wafu.