Viongozi wote wa awamu hii ni divine rulersHakuna wizara inayoumiza wananchi kama wizara ya Maji na haijali.
Tunalalamika weeeee ila viongozi wamejaa viburi.
Aisee😆Mbona haijaanza jana wala juzi kaka, yakianza kutoka masafi yale colourless yakinge kwenye beseni (sio ndoo) alafu yaache hadi jioni hilo tope utakalolikuta unajipaka wewe na wengine watano
Watanzania wengi bado hatujajua kiina hasa cha tatizo letu ni nini. Ndiyo maana kila siku tunajikuta tunapambana na dalili za ugonjwa badala ya kutibu ugonjwa wenyewe i.e. CCM. Hata ikivunjwa wale watakaoingia hawafanya miujiza. Hivi kweli tunakubali watu kama Samia, Ndejembi, Makonda wawe viongozi wetu halafu tutegemee miujiza?Nini hiki? Mtasema AI. View attachment 3702383View attachment 3702384
Kwamba unafikiri kama TABIA za Watanzania ni KUpost Mitandaoni na kujifanya hawahuski.Kama Humu ndani tuna watumishi wa DAWASA tena wengi tu na wote bado wanaishi kwa kulaumu kama unavyolaumu kwamba UKITOA CCM ndio shida za NCHI zitaisha?Watanzania wengi bado hatujajua kiina hasa cha tatizo letu ni nini. Ndiyo maana kila siku tunajikuta tunapambana na dalili za ugonjwa badala ya kutibu ugonjwa wenyewe i.e. CCM. Hata ikivunjwa wale watakaoingia hawafanya miujiza. Hivi kweli tunakubali watu kama Samia, Ndejembi, Makonda wawe viongozi wetu halafu tutegemee miujiza?
Tatizo ni uongozi wa nchi ume fail, ume-collapse. Hata kama JF yote ingekuwa ni wafanyakazi wa DAWASA, bado hawataweza kuleta mabadiliko bila uongozi wa nchi na mfumo wake kubadilika.Kwamba unafikiri kama TABIA za Watanzania ni KUpost Mitandaoni na kujifanya hawahuski.Kama Humu ndani tuna watumishi wa DAWASA tena wengi tu na wote bado wanaishi kwa kulaumu kama unavyolaumu kwamba UKITOA CCM ndio shida za NCHI zitaisha?
Acha kutulisha UPEPO;Tatizo ni uongozi wa nchi ume fail, ume-collapse. Hata kama JF yote ingekuwa ni wafanyakazi wa DAWASA, bado hawataweza kuleta mabadiliko bila uongozi wa nchi na mfumo wake kubadilika.
Ukishakubali kuwa kiongozi kazi yako ni kuongoza bila vizingizio vya kijinga. Atokee huyo Mao atoe kichapo, kama atamaliza uzembe uvivu na ufisadi hakuna atayepinga. Mradi tu atoke kichapo kwa wakosaji na siyo wakosoaji.Acha kutulisha UPEPO;
UONGOZI wa NCHI UMETOKA UCHINA?Si ni RAIA kama wewe?Si wapo humu mitandaoni wamejificha na IDs na wanalaumu na kucomment kama wewe ili ikifika wakati wa Utekelezaji ni watupu?Ni kama wewe hapa sasa hv.Unalalamika na kulaumu na unaweza kuta wewe ni mtumishi wa umma mkubwa tu au kiongozi wa siasa ambaye una nafasi kabisa ya kuweza kufanya maamuzi ila kwa tabia kama hizi unafikiri hata ukabadili CCM mara kumi kuna kitakachobadilika?
Nyinyi watanzania ni ama atokee mtu kama Mao Zedong awapelekee kichapo mapaka akili ziwakae sawa ama mzoee tu kuishi na CCM yenu maana tunajuana desturi zeti zilivyo.
Anyway.Mimi hapa JF nawafahamu wapo watumishi wa DAWASa,Waziri wa maji yumo humu,Mkurugenzi wa DAWASA yumo humu.Wote ukiwakuta wanapost na kuweka maandiko unaweza fikiri ni watu kweli ila sasa wakirudi kwenye ofisi wanaendeleza uzembe ule ule...TUSIDANGANYANE kwamba shida ni CCM.CCM imejitahidi sana kuwalea Watanzania pamoja na UZEMBE wao kwa sababu inawaelewa vizuri kabisa.
Unafikiri CCM ni wageni kwa watanzania?Wamewatawala kwa miaka zaidi ya 50.Wanawajua vizuri.