KERO Tunauziwa maji machafu! DAWASA wote wafukuzwe kazi. Kuanzia Wafanyakazi hadi Bodi

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
Ukishakubali kuwa kiongozi kazi yako ni kuongoza bila vizingizio vya kijinga. Atokee huyo Mao atoe kichapo, kama atamaliza uzembe uvivu na ufisadi hakuna atayepinga. Mradi tu atoke kichapo kwa wakosaji na siyo wakosoaji.
Ibuka sasa wewe uwe Mao Badala ya kukaa JF kupost vitu kisha unarudi ofisini unaendelea na uzembe ule ule.Kazi hafunyi kwa bidii,huduma hutoi kazi kulaumu wengine tu bila kuchukua.BE THE CHANGE that YOU WANT to SEE au BE the MAO that YOU want to see. Tuache tabia za Kinafique...
 
Hiki kitu nimekishudia pia Manispaa ya Morogoro. Pale wana kitu kinaitea Moruwasa! Hivi wana maeneo ya kuchujia maji kweli? Wazoefu naombeni majibu.
 
Mbona haijaanza jana wala juzi kaka, yakianza kutoka masafi yale colourless yakinge kwenye beseni (sio ndoo) alafu yaache hadi jioni hilo tope utakalolikuta unajipaka wewe na wengine watano
😂😂😂😂
 
Ibuka sasa wewe uwe Mao Badala ya kukaa JF kupost vitu kisha unarudi ofisini unaendelea na uzembe ule ule.Kazi hafunyi kwa bidii,huduma hutoi kazi kulaumu wengine tu bila kuchukua.BE THE CHANGE that YOU WANT to SEE au BE the MAO that YOU want to see. Tuache tabia za Kinafique...
Wewe ubongo wako umekuwa affected na utanzania kwa asilimia zote. Mimi siyo mwanasiasa lakini hainizuii kusema kuwa uongozi wetu ni mfu. Na kuna wengi tu wenye uwezo lakini watu kama Samia wanawaogpa na kuwaua au kuwafunga. Bila wananchi kuwa na uwezo wa kuchagua vizongozi wanaowataka hatuwezi kupata viongozi wazuri na pia maji yataendelea kutoka machafu. Watu wajinga wajinga kama wewe kwanza huwa nawalima block na ukileta tena u-bashite wako natekeleza.
 
Wewe tu kwa Raha zako...Anyway Wajinga tuko wengi sana.Wacha tuendeshe mambo yetu kijinga jinga...
 
Back
Top Bottom