kuanzia

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Tech Max

    JamiiForums Tanzania Ninawazo la biashara kwa dar es salaam mtaji 10M kuanzia nicheki 0756704145 whatsapp

    Ninawazo la biashara kwa dar es salaam maeneo ya mbezi, naishi mkoa wa dar es salaam, mbezi mwisho karibia...mtaji 10M kuanzia nicheki 0756704145 whatsapp, tufanye kazi
  2. M

    JamiiForums Tanzania Member Erythrocyte nimedharau kuanzia leo ktk medani ya siasa, ni chawa wa LEMA

    Siku zote nilikua najiuliza , huyu kweli mwanamageuzi? Kweli sio chawa? Kumbe nimegundua , ni chawa wa LEMA. Msakatonge, mzee fursa. Akinishambulia mimi kuwa chawa na napinga mageuzi, kumbe yeye ni chawa fursa, chawa mchafu, chawa kizee
  3. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Kuanzia tarehe 9/10 November mvua kubwa zitaanza kunyesha

    Hamjambo! Mimi sio TMA. Lakini kama Mwana jiografia, mazingira yananijulisha hapa kuanzia tarehe hizo mvua kubwa zitaanza kuripotiwa kunyesha. Sasa sijui itakuwa ni El nino au mvua tuu za msimu vuli. Haya nimemaliza. Naondoka Kiel nino. Kibabe yaani. TaikonMaster Kwa sasa Dar es salaam
  4. Mad Max

    JamiiForums Tanzania KERO Tunauziwa maji machafu! DAWASA wote wafukuzwe kazi. Kuanzia Wafanyakazi hadi Bodi

    Nini hiki? Mtasema AI.
  5. Wakusoma 12

    JamiiForums Tanzania Kuanzia mwakani 2027 kumbukumbu za mauaji ya watanzania (mauaji ya kimbari) zinapaswa kuwa siku ya maombolezo ya kitaifa. Wananchi tuweke mkakati.

    Hakuna haja ya kusubiri watuhumiwa wajadiliane namna ya kukumbuka marehemu wetu. We are the nation.
  6. Kaka yake shetani

    JamiiForums Tanzania Hivi CCM hii bajeti mnayotumia kukesha kujisafisha kuanzia mitandaoni,sanaa ,utekaji,nguvu ya dola na kujikosha

    Kwa jinsi pesa zinavyotoka na zinachotwa serikalini ili kujisafisha na kulazimisha kuwa yajatokea mnapata ujasiri gani. Mfano leo mnachoma mafuta ,mnajaza askari na wanajeshi kila mkisikia wasi wasi. Jambo lengine kulazimisha wasanii wawasifu,kujaza watu mitandao ya kijamii kujisafisha. Yetu...
  7. Troll JF

    JamiiForums Tanzania DAR: Viongozi wa Dini kufanya mkutano kuanzia tarehe 28/10 hadi 30/10 katika ukumbi Mlimani City

    Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Patrobas Katambi, amewakaribisha Watanzania, hususan viongozi wa jumuiya za kiraia, kushiriki mkutano utakaofanyika Mlimani City, Dar es Salaam, kuanzia Oktoba 28 hadi 30, 2026. Mkutano huo unalenga kujadili changamoto zinazokabili jumuiya za kiraia, kuimarisha...
  8. TAJIRI MKUU WA MATAJIRI

    JamiiForums Tanzania Sitakula wala kunywa kwa siku tatu mfululizo kuanzia 26/10/2026-29/10/2026 kumuunga Tundu Lissu mkono kwenye mgomo wake

    Mpendwa wetu Tundu Lissu ametangaza mgomo wa kula na kunywa kushinikiza kutimizwa haki zake kama zilivyoamriwa na mahakama. Sasa jeshi la Magereza Tanzania wameendelea kumnyima haki ya kuongea kwa faragha na mawakili wake. Hivyo basi nami kwa kutambua kwamba mtetezi wa wanyonge anapita kwenye...
  9. instinct desire

    JamiiForums Tanzania Sisi wasomi/wanazuoni tutautumia mgomo wa kutokula wa Lissu kama Case Study ili tuone mtu anakufa baada ya siku ngapi akikaa bila kula

    Niombe watanzania asiwepo mtu wa kuingilia mgomo wa kutokula ambao anatarajia aufanye Lissu kuanzia tar. 26/10/2026. ili kutupa nafasi sisi wasomi tuweze kubaini na kuona ni siku ngapi mtu anaweza akaishi bila kula mpaka anakufa. Sisi wasomi jukumu letu litakuwa ni kuhesabu siku tu mpaka siku...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Lissu atangaza mgomo wa kula chakula kuanzia Jumatatu, 26/10/2026

    Mwenyekiti amesema kuanzia Jumatatu ya tarehe 26/10/2026 anaanza mgomo wa kutokula chakula kwa sababu amenyimwa haki yake ya kukutana na Mawakili kwa sababu anasimamia maamuzi ya Mahakama Kuu ya Tanzania huo ambao ulitolewa wiki iliyopita kuwa ana haki ya kukutana na mawakili. "Hayo ameyaeleza...
  11. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania CHADEMA yangu, ni lazima Kila Mwaka tuwe na Wiki ya Kumbukumbu Mauaji Oktoba 29 2025 Kuanzia Tawi mpaka Taifa .Tuna siku 4, Chama kitangaze rasimi hil

    Kama Kuna jambo CCM watatumia Kila namna ili TU hii kumbukumbu isiwepo ni Haya Mauaji ya Kimbali ya Oktoba 29 2025. Kama Chama tusikubali Kamwe kuingia kwenye Mtego unaodogosha Mauaji haya . Mauaji yale hayakuwa ya Ajali ya Moto, Wala Meli kuzama Baharini, ni MAUAJI YA VYOMBO VYA DOLA KUTUMIA...
  12. Dennis Robert Shughuru

    JamiiForums Tanzania Kujengwe barabara ya njia sita kuanzia chalinze mpaka kibiti na kisarawe

    Ukitaka kwenda kibiti na au mikoa ya kusini na unatokea morogoro au mikoa ya kaskazini na unataka kwenda lindi au mtwara au rufiji basi itakulazimu kwenda mpaka dsm ndo uende mikoa ya kusini rufiji, lindi na mtwara Hii inconvinience ni kwa sababu kuanzia chalinze mpaka kibiti hakuna barabara ya...
  13. L

    JamiiForums Tanzania Mkoa Wa Dodoma Umebahatika Kutoa Viongozi Wakubwa Karibu Wote Kuanzia Makamu Wa Rais John Ndejembi ,Waziri Mkuu John Marecela na Spika Jobu Ndugai.

    Ndugu zangu Watanzania, Mkoa wa Dodoma ni Mkoa Pekee Ama Miongoni Mwa Mikoa Michache Sana Nchini Ambayo Imebahatika Kupata Bahati ya Kutoa Viongozi wakuu Wa nafasi ya pili na tatu pamoja na Katika Mhimili wa Bunge . Ambapo Katika Nafasi ya Umakamu wa Rais Imeweza Kumtoa na Kulipatia Taifa...
  14. Kaka yake shetani

    JamiiForums Tanzania Serikali inakataa uraia pacha ila cha kushangaza watoto wao na wasio watanzania ni raia pacha na wana passport kuanzia tatu na kuendelea.

    Tukisema mnasema wivu. Waarabu na wahindi hapa tanzania wanaongoza kuwa na utambulisho wa uraia kuanzia kwao na popote. Uhamiaji hapo ni pesa yako ila na shangaa kila kukicha wana dili na warundi ambao maskini wa kutupa.
  15. The Palm Beach

    JamiiForums Tanzania Tukiwa tunaendelea kusubiri hukumu ya kesi ya Lissu, ni mambo gani ya kisheria yanayostahili kuangaliwa

    Ngoja nikwambie kitu kimoja kuhusu kesi hii. Ukiisikiliza kwa juu juu, unaweza kudhani mjadala mkubwa ni kwamba Lissu alisema maneno gani na aliyamaanisha nini. Lakini ukiingia ndani ya sheria, utaona kwamba swali la msingi ni kwamba.. Je, Jamhuri imethibitisha kwamba maneno hayo yanatimiza...
  16. M

    JamiiForums Tanzania DAWASA wametoa msamaha wa faini ya huduma ya kurejeshewa Maji kwa kulipa deni tu kuanzia Oktoba 10 hadi 31, 2026

    Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA) inawatangazia wateja wake katika Mikoa ya Dar es Salaam na Pwani waliositishiwa huduma za maji kutokana na madeni, kuwa katika maadhimisho ya mwezi huu wa Huduma kwa mteja, Mamlaka imetoa msamaha maalum kwa mteja kurejeshewa huduma...
  17. Donnie Charlie

    JamiiForums Tanzania TCRA kuondoa vocha za kukwangua kuanzia Januari 2027.

    Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) imetangaza mpango wa kuondoa matumizi ya kadi za kukwangua za muda wa maongezi ili kuongeza matumizi ya njia za kidijitali. TCRA imesema mpango huo utachangia kupunguza uzalishaji, usambazaji na utupaji wa kadi za kukwangua za muda wa maongezi pamoja na...
  18. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Amid wimbi la visasi katika mahusiano una mshauari nini binti au kijana wa kiume ambaye bado mbichi au anataka kuingia mahusiano yaliyo serious?

    welcome.
  19. M

    JamiiForums Tanzania Kuanzia Leo Septemba 29 boda boda na bajaji wasiofuata sheria kubanwa na Polisi

    Jeshi la Polisi Kikosi cha Usalama Barabarani limeanza operesheni maalumu ya kuwabana waendesha bodaboda na bajaji wanaokiuka sheria na kanuni za usalama barabarani. Operesheni hiyo, inayoanza Septemba 29, 2026 na kutekelezwa nchi nzima, inalenga kuongeza utii wa sheria na kupunguza makosa...
  20. Kaka yake shetani

    JamiiForums Tanzania Kutoka nembo ya bibi na bwana kuwa nembo ya CCM kuanzia dola mpaka mahakama.

    Hii nembo kwa sasa imekufa sio ya wananchi ni ya CCM. Leo ukitaka kuwa na cheo lazima kuwa CCM
Back
Top Bottom