Member Erythrocyte nimedharau kuanzia leo ktk medani ya siasa, ni chawa wa LEMA

Malaria 2

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2023
Posts
9,722
Reaction score
15,117
Siku zote nilikua najiuliza , huyu kweli mwanamageuzi? Kweli sio chawa? Kumbe nimegundua , ni chawa wa LEMA.
Msakatonge, mzee fursa. Akinishambulia mimi kuwa chawa na napinga mageuzi, kumbe yeye ni chawa fursa, chawa mchafu, chawa kizee
 
Nna wewe tafuta mtu uwe chawa wake. Usimpangie maisha. Mbona chawa wa Samia hujawahi kuwaanzishia thread? Ana uhuru wa kufanya atakalo na hakuna mpumbavu yoyote wa kumkataza
Yeye anawashawishi vijana waandamane humu kumbe chawa, anatafuta fursa, anazuza mechi
 
Acha kumsingizia. Halafu uache kumpangia cha kufanya.. Wewe umejiunga JF 2023 wakati ana miaka kumi jukwaani tangu 2012. Usitake kujifanya unamjua sana. Wewe umejiunga kuchafua watu na kutetea mafisadi. Yeye miaka yote amekuwa anapigania demokrasia.. Tunamheshimu kwa mchango wake tofauti na wewe mchumia tumbo
 
Nimejiunga jf kabla ya yeye. Jamaa chawa wa LEMA, anatuuza humu
 
Kwani wewe unayemtete na bwana Yako?, huyo ni ***** na utakuwa ***** mwenzake.
 
Kuna thread yake moja nimemjibu nimemwambia nilikuwa namheshimu sana humu jamvini ila kwa thread ile aliyoanzisha, nimetokea kumvua kabisa hadhi zote.

Imeonekana asali imemwagwa nyingi sana ili kumpinga na kumwondoa Lissu ktk ile nafasi pamoja na Heche.
 
Nimejiunga jf kabla ya yeye. Jamaa chawa wa LEMA, anatuuza humu
Nikajua una akili timamu. Kumbe hujui hata unachoandika.. Kwanza huna ubavu wa kumchafua Eryth
Screenshot_20261102_050527_Chrome.jpg
Screenshot_20261102_050607_Chrome.jpg
 
Kwani wewe unayemtete na bwana Yako?, huyo ni ***** na utakuwa ***** mwenzake.
Hata hii ID ni ya 2022.. Hivyo bado hujakomaa.. Machawa wote wakizidiwa wanakimbilia matusi.. Hatuna muda kuwatukana.. Tunayapita matusi yenu kama hatuyaoni sababu tumeshakomaa.. Utambabaisha nani dogo? Fungulia matusi sisi tutakurudisha kwenye reli kwa lazima
 
Mwambie ahamie katka jukwaa la jokes, huku tumemshatumbua, chawa wa LEMA
 
Back
Top Bottom