Member Erythrocyte nimedharau kuanzia leo ktk medani ya siasa, ni chawa wa LEMA

Member Erythrocyte nimedharau kuanzia leo ktk medani ya siasa, ni chawa wa LEMA

Hata hii ID ni ya 2022.. Hivyo bado hujakomaa.. Machawa wote wakizidiwa wanakimbilia matusi.. Hatuna muda kuwatukana.. Tunayapita matusi yenu kama hatuyaoni sababu tumeshakomaa.. Utambabaisha nani dogo? Fungulia matusi sisi tutakurudisha kwenye reli kwa lazima
Huyo ***** mwenzako....anajulika ni chawa wa FAM. Hatoboi hata kidogo huyo Lema aliyetaka kuuza kura za wananchi wa Arusha nani anamwamini.
 
Huyo member ni mpumbavu kama wengine yupo upande wa mbowe na lema
 
Siku zote nilikua najiuliza , huyu kweli mwanamageuzi? Kweli sio chawa? Kumbe nimegundua , ni chawa wa LEMA.
Msakatonge, mzee fursa. Akinishambulia mimi kuwa chawa na napinga mageuzi, kumbe yeye ni chawa fursa, chawa mchafu, chawa kizee
Tangu lini ukapenda makristo?
 
Huyo ***** mwenzako....anajulika ni chawa wa FAM. Hatoboi hata kidogo huyo Lema aliyetaka kuuza kura za wananchi wa Arusha nani anamwamini.
Wakala wa Lisu kwenye uchaguzi wa Chadema alikuwa nani?
 
Unataka kuniambia wewe ni mgeni na malaria Sugu au humjui?

Hiyo ni ID mpya tu, amevaa koti jipya lakini ni wa kitambo.
Hakuna kitu humu. Malaria sugu alishakufa kitambo sana.. Usibabaishwe. Jina pembe si dawa ya pengo.
 
Wakala wa Lisu kwenye uchaguzi wa Chadema alikuwa nani?
Wewe unaongea nini?, kuwa wakala kunakufanya usiwe msaliti?. Kwani Samia na Nchimbi hawakuwa wagonbea wenzao waliofanya kampeni pamoja!!. Bado wako pamoja?, unauliza maswali ya kijinga kabisa....!.
 
Kuna thread yake moja nimemjibu nimemwambia nilikuwa namheshimu sana humu jamvini ila kwa thread ile aliyoanzisha, nimetokea kumvua kabisa hadhi zote.

Imeonekana asali imemwagwa nyingi sana ili kumpinga na kumwondoa Lissu ktk ile nafasi pamoja na Heche.
Naomba link
 
katiba ina mruhusu kuwa upande wa mtu yeyote, ila sasa shida ni kwamba kumbe wakati wote huu yeye na wenzie walikua wanachumia tumbo kwa kufata maagizo ya chama tawala. unafki na ushetani wa kiwango ch juu sana
 
Back
Top Bottom