Robert Heriel Mtibeli
Platinum Member
- Mar 24, 2018
- 40,153
- 93,069
Hamjambo!
Mimi sio TMA. Lakini kama Mwana jiografia, mazingira yananijulisha hapa kuanzia tarehe hizo mvua kubwa zitaanza kuripotiwa kunyesha.
Sasa sijui itakuwa ni El nino au mvua tuu za msimu vuli.
Haya nimemaliza.
Naondoka Kiel nino. Kibabe yaani.
TaikonMaster
Kwa sasa Dar es salaam