Tuwe na subira,tungoje kwanza tume zimalize kazi zake,ndipo tuanze kulaumu.

Crocodiletooth

JF-Expert Member
Joined
Oct 28, 2012
Posts
23,234
Reaction score
28,473
Watanzania wa mrengo ule,wamekuwa wakitupa lawama sana kwa serekali yetu tukufu,juu ya uwajibikaji wake juu ya yale yalitokea 2025 Oktober,

At the same time vipo vyombo mahsusi ambavyo bado vinashughulikia suala hili kwa kina na umakini mkubwa katika kupata last solution of the matter

Watanzania kwa wakati huu hatukupaswa kutoa lawama zozote angali tume zingalipo kazini zikifanya kazi usiku na mchana ili baadae tupate mjumuiko na muunganiko wa tume zote na zilizotangukia.

Watanzania kwa sasa tulipaswa kutulia,na kusubiri tume hii ya mwisho ambayo ndiyo itakuja kubainisha kwa kina juu ya kile kilichotokea.

Kuongea ongea sana ni kuvuruga kazi inayoendelea kufanyika kimya kimya kipelelezi yaani kwa tume ambayo tunaweza kuiita (TUME-PELELEZI).

Hatuwezi lalama wakati hatuna jumuiko la mwisho,la kile kilichofanyika.

TUVUTE SUBRA,TUIACHE TUME PELELEZI,IMALIZE KAZI YAKE,NDIPO TUIHUKUMU,KWA KUTOTENDA HAKI.

TUWE WATULIVU NA TUONE NI KAMA SHAURI AMBALO LIPO MAHAKAMANI LISILOSTAHILI KUJADILIWA,KABLA TUME PELELEZI KUMALIZA KAZI YAKE.

INSHAALLAH.
 
mbona hamkusubiri tume imalize kabla ya kumuweka mahabusu TAL? Mlaaniwe nyie na uzao wenu wote!
 
Mnakamata watu kwa mauaji ya 0ct 29 .alafu unasema tusubiri tume ?mbona hamkusubiri tume ndo muwakamate ?
 
mbon ahamkusubiri tume imalize kabla ya kumuweka mahabusu TAL? Mlaaniwe nie na uzao wenu wote!
Lissu alihusika moja kwa moja kwa maneno ya ulimi wake,labda nishangae kwa nini heche yupo huru maana naye alichochea kwa maneno ya ulimi wake dhahiri shairi.
#Hekima tuiache Tume pelelezi imalize kazi yake!.
 
Lazima utakuwa umeingiwa na uwendawazimu wa aina fulani. Serikali iliyoingia madarakani kwa nguvu, kwa kuua watu, unaiita tukufu!! Ni mzima wa akili wewe?? Labda utukufu wa shetani. Yawezekana wewe ni mmoja wa walioshiriki kwenye mauji, ndiyo maana damu za watu zimekuondokea hata ile akili ya kawaida!
 
Watanzania wa mrengo ule,wamekuwa wakitupa lawama sana kwa serekali yetu tukufu,juu ya uwajibikaji wake juu ya yale yalitokea 2025 Oktober,

At the same time vipo vyombo mahsusi ambavyo bado vinashughulikia suala hili kwa kina na umakini mkubwa katika kupata last solution of the matter

Watanzania kwa wakati huu hatukupaswa kutoa lawama zozote angali tume zingalipo kazini zikifanya kazi usiku na mchana ili baadae tupate mjumuiko na muunganiko wa tume zote na zilizotangukia.

Watanzania kwa sasa tulipaswa kutulia,na kusubiri tume hii ya mwisho ambayo ndiyo itakuja kubainisha kwa kina juu ya kile kilichotokea.

Kuongea ongea sana ni kuvuruga kazi inayoendelea kufanyika kimya kimya kipelelezi yaani kwa tume ambayo tunaweza kuiita (TUME-PELELEZI).

Hatuwezi lalama wakati hatuna jumuiko la mwisho,la kile kilichofanyika.

TUVUTE SUBRA,TUIACHE TUME PELELEZI,IMALIZE KAZI YAKE,NDIPO TUIHUKUMU,KWA KUTOTENDA HAKI.

TUWE WATULIVU NA TUONE NI KAMA SHAURI AMBALO LIPO MAHAKAMANI LISILOSTAHILI KUJADILIWA,KABLA TUME PELELEZI KUMALIZA KAZI YAKE.

INSHAALLAH.
Be cursed the vagaina that gave birth to you.
 
Kwa kosa gani ,Tundulisu alitenda kosa Gani?
Kushindwa kutambua athari za maneno yake akiwa kama mwenyekiti wa chama cha kisasa,title ya mwenyekiti ndiyo inamuweka hatihani,lakini ujinga huo ukitamkwa na mtu yeyote asiye katika ngazi yoyote,huwa ni ujinga tu,
N.b,mfano,mwenyekiti wa ccm,atamke tu,tunakwenda kuivamia uganda na kuichukua, hilo linageuka agizo!, kwa nafasi ya uenyekiti wake na heshima ya nafasi hiyo.
#Umeelewa?,au bado!,kichwa ngumu kuelewa?
 
UHAINI LAZIMA MATENDO NA NIA YAKE VILINGANE. CYO MANENO MATUPU .

Wanasheria uchwara WA CCM wanalazimisha Kweny hamna.
 
Lazima utakuwa umeingiwa na uwendawazimu wa aina fulani. Serikali iliyoingia madarakani kwa nguvu, kwa kuua watu, unaiita tukufu!! Ni mzima wa akili wewe?? Labda utukufu wa shetani. Yawezekana wewe ni mmoja wa walioshiriki kwenye mauji, ndiyo maana damu za watu zimekuondokea hata ile akili ya kawaida!
Moja ya kiapo cha rais ni kuilinda nchi kwa nyakati zote,na kuikabidhi kwa kiongozi ajae kwa amani baada ya miaka kumi ya uongozi.
 
Kushindwa kutambua athari za maneno yake akiwa kama mwenyekiti wa chama cha kisasa,title ya mwenyekiti ndiyo inamuweka hatihani,lakini ujinga huo ukitamkwa na mtu yeyote asiye katika ngazi yoyote,huwa ni ujinga tu,
N.b,mfano,mwenyekiti wa ccm,atamke tu,tunakwenda kuivamia uganda na kuichukua, hilo linageuka agizo!, kwa nafasi ya uenyekiti wake na heshima ya nafasi hiyo.
#Umeelewa?,au bado!,kichwa ngumu kuelewa?

Umesema alishindwa kutambua athari za Maneno yake kama mwenyekiti ?

Je Maneno MATUPU unamfungulia mtu kosa la uhaini?
 
Hivi na ww kabisa unasubiri tume ilete majibu yapi ya maana ...hebu tumia akili yako vizuri kama tume ya uchaguzi ilitangaza mwamba kashinda kwa aslimia 98 wakati ww mwemyewe unajua kabisa hata asilimia kumi hakufika uje uamini hizi tume zinazoundwa na huyo huyo kuchunguza mauaji walio fanya wao 😌😌
 
Maneno ni silaha mbaya kuliko AK47.

Jibu hoja mbona unapuyanga?
Umesema "alishindwa kutambua athari za Maneno yake kama mwenyekiti?

Nakuuliza ,Maneno MATUPU pasipo vitendo vyake ilitosha kufunguliwa kesi ya uhaini kwa KATIBA na Sheria za Tanzania?
 
Lissu alihusika moja kwa moja kwa maneno ya ulimi wake,labda nishangae kwa nini heche yupo huru maana naye alichochea kwa maneno ya ulimi wake dhahiri shairi.
#Hekima tuiache Tume pelelezi imalize kazi yake!.
TAL ndiye alisema nguvu iliotumika ni sawa?
 
Hivi na ww kabisa unasubiri tume ilete majibu yapi ya maana ...hebu tumia akili yako vizuri kama tume ya uchaguzi ilitangaza mwamba kashinda kwa aslimia 98 wakati ww mwemyewe unajua kabisa hata asilimia kumi hakufika uje uamini hizi tume zinazoundwa na huyo huyo kuchunguza mauaji walio fanya wao 😌😌
Rais akishaapishwa,mengine yote ni ya kujifurahisha tu,ni kufuata utaratibu uliopo chini ya sheria.
 
Jibu hoja mbona unapuyanga?
Umesema "alishindwa kutambua athari za Maneno yake kama mwenyekiti?

Nakuuliza ,Maneno MATUPU pasipo vitendo vyake ilitosha kufunguliwa kesi ya uhaini kwa KATIBA na Sheria za Tanzania?
Unayo aidia ya masuala ya kisheria kwanza?,nisije kuwa nashindana na mtu asijejua lolote!

########
########

Lakini kesi haijifungui moja kwa moja kwa kila kauli kali:

Mahakama na DPP huangalia vitu 4:
Nia (intent): Alikusudia nini?
Muktadha (context): Amesema wapi, kwa nani, wakati gani?
Uhalisia wa tishio: Je, maneno yanaweza kutekelezeka kweli?
Ushahidi: Kuna video, audio, mashahidi?
 
Bado miaka minne ya utawala wa awamu hii,
Tukisubiri ripoti itatoka 2030
 
Back
Top Bottom