Baada ya kumaliza ibada ya kuwaombea marehemu waliofariki October 29, kanisa sasa liguse familiar za waliopoteza maisha na majeruhi
Vijana waliouawa waliacha wake na watoto na kanisa lina shule zake ingekua vizuri kanisa likaanza kuwatafuta watoto wa waadhirika na kuwapa elimu bure kwenye...
Watanzania wa mrengo ule,wamekuwa wakitupa lawama sana kwa serekali yetu tukufu,juu ya uwajibikaji wake juu ya yale yalitokea 2025 Oktober,
At the same time vipo vyombo mahsusi ambavyo bado vinashughulikia suala hili kwa kina na umakini mkubwa katika kupata last solution of the matter...
Samia alikuwa na nafasi nzuri ya kuanza ukurasa mpya kupitia haya maadhimisho kuelekea Maridhiano ya Kitaifa lakini kashindwa kuitumia hii fursa.
Watu mbalimbali, mashirika mengi na nchi nyingi duniani zimeungana na Watanzania kuwaenzi watu walioathirika na kupoteza maisha siku hiyo zikiwemo...
Na ndio sababu tuna visingizio na lawama nyingi !!
Ukiangalia maisha yetu kwa karibu, utaona hii tabia ipo kwenye maeneo mengi.
Deadline ikikaribia ndio kazi inaanza.
Mtihani ukikaribia ndio kusoma kunaanza.
Mgonjwa akizidi ndio tunakimbilia hospitali.
Gari likiharibika kabisa ndio tunakumbuka...
dalili
hatua
hofu
jambo
kuchukua
kuchukua hatua
kujiongoza
kulazimishwa
kuliko
kutafuta
lawama
maji
mapema
moja
moto
muda
nidhamu
tatizo
tuanze
tuna
visingizio
wapo
watanzania
wengi
Ukisikia mtu ana canser ndo anakumbuka kuanza yale malengo makubwa...
Mtu akifiwa na mtu wa karibu ndo ana anza kujali wwngine
Mtu akipata na ajali na akaepuka kifo ndo anaanza kurudia muumba
Mtu akikutwa na ugonjwa usiotibika ndipo anaanza kujitoa kwenye charity organizations ili awe msaada...
Hii nchi ya Wagagagigikoko na kusadikika ina mambo ya ovyo sana. Tahadhari ya Elnino imeishatolewa na wataalamu lakini mpaka sasa hakuna mpangomkakati wowote wa kitaifa ulioweka na serikali kudhibiti au kupunguza maafa yatakayotokea. Wahusika wanaendelea tu na ratiba zao kana kwamba hakuna...
Baada ya serikali kufunga ushahidi leo
Ushauri wangu kwa Lissu na jopo lake ndio. Itakafuka wakati wa mashahidi wenu, basi tuanze na shahidi Samia Suluhu
Watanzania ,ninaleta kwenu wazo la kuwa na Serikali ya Umoja wa Kitaifa kwenye Katiba mpya.Ninapendekeza kwamba chama cha siasa au mgombea binafsi atakayepata kura kuanzia Asilimia Kumi (10%) kiwe ndani ya Serikali.
Hii itasaidia kuondoa mtindo tulio nao sasa wa mshindi kuchukua vyote hata kama...
Licha ya kwamba serikali haramu imeendelea na kile kinachoelezwa kuwa ni juhudi za kuitisha maridhiano (USANII), hali halisi inaonekana kuwa tofauti. Kitendo cha kuwabambikia vijana wa CHASO na mhadhiri wa chuo kikuu kesi ya ugaidi ni ishara tosha kwamba, kama mbwai na iwe mbwai.
Mnafiki yeyote...
Tabia yoyote hapa duniani hutengenezwa au watu hujifunza na mwisho wa siku ndio inakuwa sehemu ya maisha yao ya kila siku.
Leo ningependa kuzungumzia kuhusiana na kujenga tabia ya kuweka akiba hata kwa kiasi kidogo sana cha buku mbili tu kwa mwezi ( 2,000/=)
Tukiwa na tabia ya kuweka akiba...
Hehee! Kumekucha na Makucha yake.
Halima Mdee ndani ya nyumba. Twajua afanya makosa lakini kosa moja lafutaje jasho na damu zake peke zake.
Nitapiga nakupiga kampeni. Erythrocyte tunajua ugomvi wako na Halima Mdee haujaanza juzi wala Jana. Umekwama. Na bado
Wale tunaopenda mambo ya geopolitics, vita, na siasa za kimataifa, hebu tufikirie hatua inayofuata. Mara nyingi humu tunakesha kujadiliana, kubishana na kuchambua matukio ya dunia kuanzia migogoro ya kimataifa hadi mikakati ya mataifa makubwa. Ukweli ni kwamba kuna watu wengi humu wana uelewa...
Kuna mahali nadhani tunaparuka! Kwa mamna ya kauli za baadhi ya wabunge jana inaonesha dhahili kuwa hawako upande wa wananchi zaidi ya kuwaza matumbo yao!
Nadhani hawa tunawamudu kiurahisi mnoo majimboni kwanini tusianzishe mchakato majimboni kwa namna yoyote ile ili mradi tu na wao waipate...
https://youtu.be/HxhQsqOlugM?si=S5Qr178OFL9BN_5w
Mzanzibari, Haji Omar Kheir swaiba na mshauri wa Samia kwenye masuala ya kisiasa aingie kwenye orodha ya wataowajibishwa kwenye mauaji ya maelfu ya watanzania yaliyofanywa na serikali.
Hakuna wa kusamehewa hakuna kusahau.
Lazima avae karoti!!
Mwanasheria Mkuu wa Serikali, amejiapiza kumkamata Mwanaharaakati Mange Kimambi.
Ila kuna watu wepesi ambao angeanza nayo, ambayo hayaitaji Majadiliano na Serikali ya Marekani
Tunaomba Uwakamate waliomteka Mdude na Polepole. Pia wafikishwe mahakamani waliomuua Mzee Kibao.
Hapo kweli ndo...
Haina haja ya salamu wala maelezo Mengi
Milard Ayo
Diamond Platnumz
Hawa kwa kuanza nao, naagiza akaunt zao zibaki na follwers na subcribers chawa wenzao. Wengine wote tukawa-unfollow na tujiondoe kwenye accont zao za youtube.
Haiwezekani tunasema tunamachungu na hasira halafu bado...
Nchi ya Kolombia inajulikana kwa makundi mengi ya mauaji. Ukweli ni kwamba moja ya sababu ni kama haya yanayofanywa na CCM. Ni hii hali ya serikali kuendesha mauaji kwa wanaotetea haki za raia.
Hali iliyopo Tanzania Mahakama zinatumika vibaya, Polisi wanatumika vibaya, Tume ya uchaguzi...
Tusiwe wanafiki.. au kwa vile palestina ipo live aljazeerq basi ndio sisi akina baba+mama huruma tunajikuta tunawasikitikia wa Gaza ila wa hapa kwetu ndani ya bara la Afrika hatuwaoni sio? Tuacheni unafiki.. hata hapo Sudan kuna wa Afrika wenzetu wanakufa na njaa... yeah CHARITY BEGIN AT...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.