Kama tunataka kupambana na machinga tujifunze kupambana na ulanguzi wa bidhaa unaofanywa na wananchi kwa KUSHIRIKIANA na raia wa Kigeni. Serikali inaona machinga wa Kariakoo na maeneo mengine wanakosea kupanga bidhaa barabarani lakini hakuna anayethubutu kukemea kundi la raia wa kigeni...
Upande wa Jamhuri katika kesi ya Uhujumu uchumi umesema unakusudia kutumia mashahidi 24 katika kesi hiyo akiwemo mfanyakazi wa Mtandao wa Airtel na Tigo.Pia utatumia vielelezo vya nyaraka 19 na vielelezo halisia.
Wanabodi,
Kiukweli mimi ni follower mzuri wa Jukwaa la Siasa, halafu majukwaa mengine kutembelea mara moja moja.
Sasa jana, kutokana na Tanesco kutufanyia vitu vyake toka asubuhi, kwa wengine umeme ndio kila kitu, hivyo leo nikazianzia mapema tuu ile saa 10 tayari niko viti virefu, by saa...
Uongozi wa Simba wekezeni nguvu katika benchi la ufundi na maslahi ya wachezaji na wafanyakazi wa Simba. Tusianze kutafuta mtu wa kuanza kushindana na Haji Manara, era yake ishapita. Tumpe mkataba wa muda mrefu Ezekiel Kamwaga.
Kutafuta mtu dizaini ya Haji Manara kama Mwijaku au Dr Kumbuka ni...
Ndugu zangu wananchi wabunge hawalipi Kodi kwenye mishahara yao na ni mikubwa kwelikweli Sasa swali linakuja kwanini upande Basi lake? Kwanini ulale kwenye hoteli yake? Kwanini ununue chochote kwenye duka lake au hardware yake?
Tena Bora lingekuwa lile bunge lililochaguliwa na wananchi la kina...
Kwa mfumo uliopo in ngumu kupata katiba mpya na bora kabisa kama hatutakuwa na ajenda ya kwanza kupeleka mswada wa dharula bungeni kuondoa vipengele vya KINGA.
KINGA zikiondolewa hata hii katiba iliyopo itaheshimika.
Kwa hali ilivyo sasa kwenye ulimwengu wa mapenzi na mahusiano, wanaume wote tunajua ukweli ni kuwa sahivi mahusiano yamekuwa biashara, unamtongoza mdada leo, kesho anakuomba hela, usipompa mahusiano yanakufa, ukimpa hela mahusiano yanakua kama ofisi ya mikopo kila Wiki shida za hela haziishii...
Nina wazo.
Wazo linaloendana na uwezo wa kiakili wa mbeba maboksi.
Ni hivi: tuanze moja. Tuachie wafungwa wote walio magerezani na walio rumande bila masharti yoyote yale.
Au tufanye hivi: tumuulize kila mfungwa aliye gerezani na aliye rumande kama yupo humo kwa kuonewa na kubambikiwa kesi...
Rais Samia mara baada ya kuapishwa alisema, tuanze upya. Sentensi ile ilibeba maana nzito iliyofichika kwa wasiotaka kutafakari.
Unaanza upya pale ambapo unaamini ulikosea, na ili uanze upya ni lazima ufahamu ulipokuwa, ulipokosea na namna ulivyokosea, ili unapoanza upya usiingie kwenye makosa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.