Bongo Gen Z, kwa kuonesha hasira zetu, tuanze kwa ku-unfollow wafuatao

Bongo Gen Z, kwa kuonesha hasira zetu, tuanze kwa ku-unfollow wafuatao

Kizibo

JF-Expert Member
Joined
Jul 3, 2018
Posts
4,617
Reaction score
10,524
Haina haja ya salamu wala maelezo Mengi

Milard Ayo
Diamond Platnumz

Hawa kwa kuanza nao, naagiza akaunt zao zibaki na follwers na subcribers chawa wenzao. Wengine wote tukawa-unfollow na tujiondoe kwenye accont zao za youtube.

Haiwezekani tunasema tunamachungu na hasira halafu bado tunaendelea kuwafatilia hawa was*nge.

Pamoja na hayo, nashangazwa na namna ambavyo Bongo Gen Z tunaendelea kutoa airtime kwa ccm na waseng* wengine.

Inakuwaje mpumbav paskal Mayala anapost kumsifia mama yake halafu bado Gen Z tunajazana kukoment kwnye huo uzi??

Inakuwaje mpumbav yule lukas anapost upumbavu wake ba bado tunajana kukoment??

Inakuwaje bado mnapost habari za yule dictator mara amemteua sijui nani, mara ameongea nini??

Hatuwezi kuwa-ignore?? Tusipost habari zao??

Na hao chawa wao wanaopost habari za mabwana zao kwanini tunaenda kukoment?? Hamuoni tunaendelea kuwapa airtime hao maharamia??

Inatakiwa Chawa na wapumbavu wengine wakipost uzi wao udode...lets ignore the idiots.

Gen Z wa tanzania tuwe na sauti na kauli moja kuanzia humu mitandaoni .

Pumbavuuuu
 
Wabongo kwa masupastaa na udaku huwaambii kitu
 
Utakuwa na akili uwa follow hao wapumbavu
 
Naunga mkono hoja, kuanzia Luka matraco na wenzake wote hakuna kuchungulia hata nyuzi zao kuanzia sasa.
 
Back
Top Bottom