bongo

Neno lisilo rasmi / la mtaani likimaanisha Tanzania. Linatumika badala ya neno Tanzania.
  1. Teknolojia ni Yetu sote

    JamiiForums Tanzania 𝗞𝗮𝗺𝗽𝘂𝗻𝗶 𝘆𝗮 𝗕𝗶𝗻𝗮𝗻𝗰𝗲 𝗶𝗺𝗲𝗱𝘂𝗸𝘂𝗹𝗶𝘄𝗮 𝘇𝗮𝗶𝗱𝗶 𝘆𝗮 𝗗𝗼𝗹𝗮 𝗯𝗶𝗹𝗶𝗼𝗻𝗶 $𝟲.𝟯 𝘇𝗶𝗺𝗲𝗶𝗯𝗶𝘄𝗮

    Watu wa Cryptocurrency wamekumbwa na tukio la Kushtukiza baada ya jukwaa la biashara ya sarafu za kidigitali Binance (cryptocurrency) kudukuliwa.😱💰 Taarifa zinazosambaa zinadai kuwa zaidi ya dola bilioni 6.3 ($6.3 BILLION) zimeibwa, zikiwemo Bitcoin (BTC), Ethereum, USDT, USDC na sarafu...
  2. Teknolojia ni Yetu sote

    JamiiForums Tanzania 𝗛izi hapa Websites 𝟱 za nguvu wengi hawazijui kabisa

    Unatumia intaneti kila siku, lakini je, unazijua website hizi zinazoweza kukurahisishia maisha? 👀📱 Hizi hapa website 5 ambazo ukizijua, unaweza kujiuliza kwa nini hukuzigundua mapema! 🤯👇 🔥 Hizi si website za kupoteza muda, bali ni zana zinazoweza kukusaidia kufanya mambo mengi kwa urahisi...
  3. Ngurukia

    JamiiForums Tanzania Nini ingekuwa hatma ya mtengeneza video kama hii kwa mtawala wa Kibongo bongo?

    Angeokotowa Mwebwepande huko.
  4. Seran

    JamiiForums Tanzania Nimekutana na website mpya ya ai kama chatgpt - inaitwa bongo sand

    Habari wadau, Kama unapenda kutumia AI kama ChatGPT kuandika kazi, kutafuta majibu au kupata idea, nimekutana na website mpya inaitwa Bongo Sand. Inafanya kazi kama ChatGPT tu, unauliza swali inakujibu. Interface yake ni rahisi na inafunguka haraka hata kwa simu ndogo. Mimi nimeijaribu...
  5. britanicca

    JamiiForums Tanzania UV naniriyu wagoma kuwa upande wa Shemeji wa mtangazaji wa Planet Bongo

    Kama kweli vile Ukishushwa leo na kuyasikia haya utasema uongozi si ndio huu sasa Kumbe unaweza ukachimba ukakuta Mzee alitaka kuitumia UVnaniriyuu kwenye biashara wakamkatalia na akawaambia kuwa sasa nitawanyoosha mtanijua mimi ni nani. Hii Dunia ina mambo sana ni mwendo wa Samaki mkubwa...
  6. A

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Chadema na mpira wa miguu na mziki wa bongo fleva havitangamani, hivyo ikitokea wakaingia madarakani, watafutilia mbli soka na bongo fleva

    Hawa wabwabwajaji wa Chadema Wana yochukia mpira wa miguu na mziki wa bongo fleva wakifanikiwa kuibgia madarakani, jambo ambalo naona haliqezekani hata miaka kadhaa ijayo, watafutilia mbali soka na bongo fleva, wananchi tubaki tukiwatukuza lissu na heche
  7. M

    JamiiForums Tanzania Hapa Bongo, ukimkabidhi mama mali zako zote akulindie kama Hakimi, hakikisha kwanza umeandika wosia! 😂😂😭

    Linaanzia kwenye mfumo wetu wa familia za Kiafrika, yaani EXTENDED FAMILY! Hapa ndugu si ndugu tu, ni ndugu pamoja na matawi yake yote! Unampa mama yako mali zako, kesho yake wajomba, shangazi, binamu mpaka watoto wa binamu wanajua dada yao ana ukwasi! Mama akisema, “Hizi mali mwanangu...
  8. Parabolic

    JamiiForums Tanzania Lema: Watanzania tunasahaulishwa machungu kwa matamasha ya nyama choma, Bongo flava

    Mjumbe wa Kamati Kuu ya CHADEMA na aliyekuwa Mbunge wa Arusha Mjini, Godbless Lema, amesema yupo katika hali ya kukata tamaa kutokana na mwenendo wa baadhi ya vijana wanaotanguliza burudani badala ya masuala muhimu ya kisiasa na kijamii. Akizungumza Oktoba 13, 2026 jijini Arusha katika hafla ya...
  9. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Afya ya akili ni kitu kizito sana. Huyu dogo aliruka na kumfata tiger ambapo ndio ilikuwa mwisho wa maisha yake. Bongo tungesema ametumiwa pepo.

    Reports zinaonesha kijana alikuwa na changamoto katika afya ya akili na alikuwa katika dosage ya vidonge ya kumsaidia kutuliza akili yake. Kwa bahati mbaya huku kwetu mtu akianza kuonesha dalili za kuchanganyikiwa tunamtenga, alafu ikizidi eti tunampeleka kwa waganga, at the end anabaki kuwa...
  10. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Hivi elon na starlink yake waliishia wapi kuja bongo, maana hawa providers wetu wanacheza michezo na mabando yetu

    Janja janja nyingi kwenye routers zenu Michezo mingi kwenye vifurushi vyenu. Tunawaangalia tu.
  11. T

    JamiiForums Tanzania SANUKA BMW 3 SERIES GT ZA BONGO

    Ebana iko hivi hizi gari zinazouzwa bongo na kilomita 56,000 ni unapigwa. Ukitafuta Japan au UK nyingi utapata zina 150,000, 230,000 hadi 300,000 kilomita. So hizi za bongo kama huwezi ku verify mileage kaa nazo mbali
  12. Miguel Felix Gallardo

    JamiiForums Tanzania BONGO NCHI YA MATUKIO

    Wenyewe wanakwambia, Bongo Tz kununa utaamua mwenyewe. Leo mitandao yote ni Kujadili CONNECTION!! CONNECTION!!!KAMA TUMELOGWA, HII TAIFA LA SODOMA NA GOMORA. WTZ TUMEFIKIA POINT OF NO RETURN KWENYE UHAYAWANI.MISEMO KAMA "AIBU UTAONA WEWE" INATHIBITISHA HILI. Hapa hakuna maombi wala nini hapa...
  13. Miguel Felix Gallardo

    JamiiForums Tanzania Bongo nchi ya Matukio

    Wenyewe wanakwambia, Bongo Tz kununa utaamua mwenyewe. Leo mitandao yote ni Kujadili CONNECTION!! CONNECTION!!!KAMA TUMELOGWA, HII TAIFA LA SODOMA NA GOMORA. WTZ TUMEFIKIA POINT OF NO RETURN KWENYE UHAYAWANI.MISEMO KAMA "AIBU UTAONA WEWE" INATHIBITISHA HILI. Hapa hakuna maombi wala nini, hapa...
  14. J

    JamiiForums Tanzania Mbosso anaimba Taarab sio Bongo Fleva, nashangaa sana mwanaume kuimba nyimbo za Mbosso

    Huu muziki wa Mbosso sijawahi kuuelewa, ni taarabu, tena nyingine unakuta Zina matusi ya wazi wazi kabisa Ila unakuta dume zima linaimba au kufuatisha, halafu linaponda taarabu.
  15. Yoda

    JamiiForums Tanzania Mabilionea uchwara wa Zimbabwe ni maarufu sana bongo kuliko bilionea halisi

    Sijui ilikuaje bongo mabilionea uchwara na wababaishaji wakafahamika na kuwa maarufu zaidi kuliko bilionea halisi. Hapa bongo mabilionea wanaofahamika kutoka Zimbabwe ni matepeli tu kama Ginimbi, Chivayo na baba yake Tony Kapola, Uebert Angel ila Zimbabwe ina bilionea wa kweli usiyiweza...
  16. Uhovyoni

    JamiiForums Tanzania JOS MTAMBO staa aliyesahaulika kwenye matamasha ya Miaka30 ya bongo flavor.

    JOS MTAMBO: Shujaa Aliyesahaulika wa Bongo Flava - Kwanini Jina Lake Halikuwepo Miaka 30 ya Bongo Flava? Miaka 30 ya Bongo Flava inatajwa kuanzia 1996 pale jina "Bongo Flava" lilipoanzishwa rasmi na Taji Liundi na Mike Mhagama kupitia Radio One. Lakini kama muziki wenyewe, safari ilianza mapema...
  17. MFALME WETU

    JamiiForums Tanzania Tukubaliane tu kwamba bongo customer care ni mbovu sana pakiongozwa na kule visiwani.!!

    Nishakubaliana na hali ya nchi yetu kwenye upande wa customer service ila hii ya mtu kunihudumia huku anaongea na simu very relaxed aisee huwa natamani nimrukie nimpige vichwa af niondoke zangu Kule Unguja sitaki kupaongelea maana panatia hasira Hii nchi tulimkosea nini Mungu?
  18. Teknolojia ni Yetu sote

    JamiiForums Tanzania Motorola imerudi kwa nguvu Samsung ajipange Aisee!

    Motorola imeamua kuingia kwenye vita dhidi ya Samsung mwaka huu 2026🔥🔥. Kampuni ya Motorola imeamua uzinduzi wa Simu mpya aina ya Motorola Signature 27 itaweza kufanyika Marekani 🇺🇸 ikiwa na lengo la kuingia kwenye ligi ya flagship zinazoshindana na simu za Galaxy. 👀🔥 Kwa ufupi tu kuhusu...
  19. Teknolojia ni Yetu sote

    JamiiForums Tanzania Jihadhari kununua hizi Samsung kwa mwaka huu 2026

    🔥 Kabla hujaamua kwenda kununua simu za Samsung used, save hii post na tuma kwa mtu anayepanga kununua simu! Sio kila Samsung yenye jina la Galaxy bado ni simu nzuri 😳. Baadhi ya simu za zamani zimefika mwisho wa updates na security support. ❌ Galaxy S22 Series kilichobakia ni security...
  20. Teknolojia ni Yetu sote

    JamiiForums Tanzania 𝗠𝘁𝗮𝗻𝗱𝗮𝗼 𝘄𝗮 𝗫 𝗸𝘂𝗸𝘂𝗷𝘂𝗹𝗶𝘀𝗵𝗮 𝗶𝗸𝗶𝘄𝗮 𝗦𝗲𝗿𝗶𝗸𝗮𝗹𝗶 𝘆𝗮 𝗻𝗰𝗵𝗶 𝘆𝗮𝗸𝗼 𝗶𝗺𝗲𝗶𝗻𝗴𝗶𝗹𝗶𝗮 𝗣𝗼𝘀𝘁𝗶 𝘇𝗮𝗸𝗼 🫡

    Ulishawahi kujiuliza kwa nini post yako X imezuiwa au reach yake imeshuka ghafla na kuwa ndogo? 🤔 Mtandao wa X sasa imeongeza Mfumo wa uwazi kupitia feature inaitwa “Under the Hood” ambapo mtumiaji anaweza kupata taarifa ikiwa serikali ya nchi yake 🇹🇿 au nchi fulani imeilazimisha X kuzuia au...
Back
Top Bottom