๐— ๐˜๐—ฎ๐—ป๐—ฑ๐—ฎ๐—ผ ๐˜„๐—ฎ ๐—ซ ๐—ธ๐˜‚๐—ธ๐˜‚๐—ท๐˜‚๐—น๐—ถ๐˜€๐—ต๐—ฎ ๐—ถ๐—ธ๐—ถ๐˜„๐—ฎ ๐—ฆ๐—ฒ๐—ฟ๐—ถ๐—ธ๐—ฎ๐—น๐—ถ ๐˜†๐—ฎ ๐—ป๐—ฐ๐—ต๐—ถ ๐˜†๐—ฎ๐—ธ๐—ผ ๐—ถ๐—บ๐—ฒ๐—ถ๐—ป๐—ด๐—ถ๐—น๐—ถ๐—ฎ ๐—ฃ๐—ผ๐˜€๐˜๐—ถ ๐˜‡๐—ฎ๐—ธ๐—ผ ๐Ÿซก

Teknolojia ni Yetu sote

JF-Expert Member
Joined
Apr 28, 2020
Posts
1,386
Reaction score
2,833
Ulishawahi kujiuliza kwa nini post yako X imezuiwa au reach yake imeshuka ghafla na kuwa ndogo? ๐Ÿค”

Mtandao wa X sasa imeongeza Mfumo wa uwazi kupitia feature inaitwa โ€œUnder the Hoodโ€ ambapo mtumiaji anaweza kupata taarifa ikiwa serikali ya nchi yake ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ au nchi fulani imeilazimisha X kuzuia au kupunguza visibility ya post yake, pamoja na nchi iliyohusika. ๐ŸŒ

โ€ข ๐Ÿ“‰ Serikali imesababisha post/account yako kupunguzwa visibility (downranked).
โ€ข ๐ŸŒ Utaweza kuona ni nchi gani iliyowasilisha ombi hilo.
โ€ข ๐Ÿ“„ Mfumo unaweza kuonyesha ni posti zipi zilizoathiriwa na ombi hilo la kisheria.

Kumbuka Mfumo huu haumaanishi kwamba kila post iliyo na ufikiaji mdogo basi imezuiliwa na serikali, X pia inaweza kupunguza visibility kwa sababu nyingine za moderation/ranking.

Unaionaje hii feature tuachie maoni yako โœ๏ธ?
#BongoTech255
 
Back
Top Bottom