mitandao ya kijamii

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. R

    JamiiForums Tanzania Waitara: Nimeona kwenye mitandao sherehe za wasagaji, Je, serikali ilitoa kibali sherehe ifanyike Dar es Salaam?

    Mbunge wa Jimbo la Tarime Vijijini, Mwita Waitara, ameibua swali bungeni leo Novemba 2, 2026, akitaka kujua kama serikali ilitoa kibali cha kufanyika kwa sherehe za wasagaji zilizoripotiwa kwenye mitandao ya kijamii jijini Dar es Salaam, na ni hatua gani zinachukuliwa kudhibiti tabia hizo...
  2. Isenye

    JamiiForums Tanzania Wife ananifuatilia sana kwenye mitandao ya kijamii wakuu

    Yani kila ninachokipost lazima nifuatwe inbox nijieleze kina maana gani.
  3. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Vijana Tumieni mitandao ya kijamii kama mdhamini wako. Watu wapo wa kukupa pesa na kazi

    VIJANA TUMIENI MITANDAO YA KIJAMII KAMA MDHAMINI WAKO. WATU WAPO WA KUKUPA PESA NA KAZI. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli. Moja ya changamoto kubwa ambazo vijana wengi ninaowasiliana nao ni mtaji, connections na references. Mimi ni sehemu ya watu ambao connections zangu zote, mitaji yangu...
  4. Yoda

    JamiiForums Tanzania Serikali itunge Sheria ya kuzuia watoto chini ya miaka 18 kutumia mitandao ya kijamii

    Watoto hasa wa kike wa mikoa ya Pwani wanaharibiwa sana na mitandao ya kijamii, ni wakati sasa wa serikali kutunga Sheria ya kupiga marufuku kutumia mitandao ya kijamii watoto wenye umri wa miaka chini ya 18. Uingereza tayari wameptisha Sheria ya kuzuia matumizi ya mitandao kwa watoto walio...
  5. makpridash

    JamiiForums Tanzania Mitandao ya kijamii ni ajabu sana. Mtu mmoja anadai wazazi wanalingana kwa umuhimu. Kwangu Mimi Nooo

    Hapana Kwa kifupi wapo waliotendewa wema na Mama zao na wapo waliotendewa ubaya na haohao mama zao. Lakini asilimia kubwa baba wengi tumewatendea ubaya wake zetu, kitendo kilichotengeza chukizo kwa watoto. Kwa watoto kivipi. Wengi tunasingizia mama kuwalisha watoto machukizo. Lkn tunasahau...
  6. A

    JamiiForums Tanzania Mitandao ya kijamii imetufanya tuwe na maisha bora au tuonekane tuna maisha bora?

    Kuna jambo limekua likinifanya nijiulize kuhusu maisha yetu katika kizazi hiki. Leo mtu akifungua Instagram, TikTok au Facebook, anaona watu wakisafiri, wakinunua magari, wakijenga nyumba na kuishi maisha yanayoonekana ya kifahari. Lakini swali ni hili: Je, kila tunachokiona ndicho...
  7. Kaka yake shetani

    JamiiForums Tanzania CCM imejikita sana kwenye phone farming kwenye mitandao ya kijamii kujisafisha na kushambulia watu.

    Habarini wana JF.Hii phone farming nahisi imeshazungumzwa ila kutokana na umaskini na matatizo ambayo CCM inatupelekea kuwa gizani ndio wao wanatumia pesa zetu kila mwenye wazo la kusaidia CCM. Nimejaribu kufatilia kwenye mitandao ya kijamii mbali mbali unakuta account inapost jambo kukashifu...
  8. Yoyo Zhou

    JamiiForums Tanzania “China Haul” yapata umaarufu kwenye mitandao ya kijamii duniani

    Hivi karibuni, “China Haul” imepata umaarufu mkubwa kwenye mitandao ya kijamii duniani. Kutoka droni, hadi vipaza sauti visivyotumia waya, kutoka vifaa vya nyumbani, hadi mavazi ya kisasa, watu wenye ushawishi wanafungua na kuonesha bidhaa zilizonunuliwa nchini China, na kuvutia mashabiki wengi...
  9. Magodi Katuni

    JamiiForums Tanzania Mitandao ya Kijamii Inatufanya Tuishi Maisha Ambayo Sio Yetu?

    Mitandao ya kijamii imefanya maisha ya watu kuwa kama maonyesho ya kila siku. Tunawaona watu wakisafiri, wakinunua magari, wakivaa vizuri, wakila kwenye hoteli na kuonyesha mafanikio yao. Lakini tunachoona si lazima kiwe picha kamili ya maisha yao. Mtu anaweza kupost picha ya gari zuri bila...
  10. M

    JamiiForums Tanzania wayahudi wanatengeneza na kuboresha mitandao ya kijamii, Smartphone na Ai, lakini wanavikwepa kwa kupunguza screen time na kutumia simu za vitochi.

    Kampuni zote kubwa za Mitandao ya kijamii na Smartphone zina ofisi za uboreshaji wa teknolojia nchini Israel, wanalipwa kugundua ideas au feautures za kunogesha mitandao ya kijamii na simu. Hata hivyo nchini Israel, kumekuwa na ongezeko au trend kwa watu kununua simu za zinazoitwa Kosher phones...
  11. Teknolojia ni Yetu sote

    JamiiForums Tanzania 𝗠𝘁𝗮𝗻𝗱𝗮𝗼 𝘄𝗮 𝗫 𝗸𝘂𝗸𝘂𝗷𝘂𝗹𝗶𝘀𝗵𝗮 𝗶𝗸𝗶𝘄𝗮 𝗦𝗲𝗿𝗶𝗸𝗮𝗹𝗶 𝘆𝗮 𝗻𝗰𝗵𝗶 𝘆𝗮𝗸𝗼 𝗶𝗺𝗲𝗶𝗻𝗴𝗶𝗹𝗶𝗮 𝗣𝗼𝘀𝘁𝗶 𝘇𝗮𝗸𝗼 🫡

    Ulishawahi kujiuliza kwa nini post yako X imezuiwa au reach yake imeshuka ghafla na kuwa ndogo? 🤔 Mtandao wa X sasa imeongeza Mfumo wa uwazi kupitia feature inaitwa “Under the Hood” ambapo mtumiaji anaweza kupata taarifa ikiwa serikali ya nchi yake 🇹🇿 au nchi fulani imeilazimisha X kuzuia au...
  12. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Meja Jenerali Mabele: Mitandao ya kijamii inatumika kupotosha vijana, tumewafunda hatuna mjomba atakayekuja kutulindia taifa hili

    Mkuu wa Jeshi la Kujenga Taifa (JKT), Meja Jenerali Rajabu Mabele amewataka vijana waliohitimu mafunzo kuzingatia maadili katika matumizi ya mitandao ya kijamii. Ameyasema wakati akifunga mafunzo ya awali ya kijeshi kwa vijana wa Mujibu wa Sheria Operesheni Linda Amani na Kujitolea Operesheni...
  13. Equation x

    JamiiForums Tanzania Ongezeko la wachungaji, manabii, na waganga kwenye mitandao ya kijamii yanaleta afya kwa jamii?

    Kutokana na jua kuwa kali sana, na kuchoma usoni, mwili, mpaka mifukoni, kumekuwa na ongezeko kubwa sana la waganga na manabii kwenye mitandao ya kijamii, hasa kule Tiktok. Ukifungua kidogo tu, mara pasta fulani anatokea, hujakaa sawa, mara nabii, hujakaa tena sawa mara mganga wa utajiri n.k...
  14. Yoda

    JamiiForums Tanzania Wanawake wenye makalio makubwa ni wapotezaji (losers) wakubwa katika era ya maendeleo ya mitandao ya kijamii ni wanawake.

    Maendeleo ya mitandao ya kijamii imekuwa nyenzo mbaya sana ya kuharibu kundi la wanawake wenye makalio makubwa. Mitandao yote ya kijamii sasa kila kona imejaa wanawake wanaotingisha/ tikisa makalio. Kuanzia maofisi ya umma na binafsi, Bar, Pub, barabarani, kwenye usafiri, sherehe, biashara...
  15. F

    JamiiForums Tanzania KwelI Mungu siku hizi anatumia mitandao ya kijamii kwa alichomfanyia Samia

    Alpoua watu wetu wasio na hatia alijifanya hakuna kilichotokea. Kwangu, kilichomtokea naona ni kidogo. Heri angeanza yeye au ikiwezekana Mungu afanye haraka tena ajiunge na mwenda zake mwenza wake. RIP mpendwa na mheshimiwa wetu.
  16. Expensive life

    JamiiForums Tanzania Habari ya makamu kujiuzulu ipostiwe kwenye mitandao ya kijamii?

    Wakuu, Mimi binafsi bado siamini. How come simple like that? Yaani majamu ajiuzulu kama diwani? On social media? Akili yangu bado inagoma. Hii ilibidi iwe live. Kama kipindi kile cha lowassa. Hata kwenye page za ofisi ya makamu hakuna hii taarifa. Account yake iko hacked? Late is wait and...
  17. K

    JamiiForums Tanzania Kampuni ya mitandao ya kijamii ya Meta inakabiliwa na kesi ya kihistoria inayoweza kuathiri mustakabali wake

    Kampuni kubwa ya teknolojia ya Meta inakabiliwa na kesi kubwa ya shirikisho nchini Marekani iliyowasilishwa na mawakili wakuu wa majimbo 29. Kampuni hiyo inatuhumiwa kubuni majukwaa ya Facebook na Instagram kwa njia inayochochea matumizi ya uraibu kwa watoto na vijana kupitia vipengele kama...
  18. E

    JamiiForums Tanzania Mitandao ya kijamii na Misongo ya Kimawazo

    Habari wana JamiiForums,naomba tujadiliane kwa pamoja, nauliza, Je mitandao ya kijamii imekuja kuongeza stress au imekuja kupunguza stress kwa watumiaji?, Karibu utuambie
  19. Mjomba Fujo

    JamiiForums Tanzania Kuhusu AI contents kwenye Mitandao ya kijamii

    Salaam Wandugu, Kuna jambo kuhusu AI contents naliona kwa upande wangu binafsi kadri siku zinavyoenda ndio nazidi kuzikwepa, nitaweka mifano; Nikiwa naperuzi Mitandao ya kijamii ikatokea nakutana na video ambayo imetengenezwa kwa AI huwa na skip haraka sana bila kupoteza muda. Pia kutokana na...
  20. Kevzy

    JamiiForums Tanzania Umeshawahi kupata stress kisa mitandao ya kijamii, kwa gani? Unaacha simu- phone off

    Moderater naomba weka kichwa Cha habari uzuri Umeshawahi kupata stress kisa mitandao ya kijamii Kwa mda Gani? Unaacha simu-phone off To much it's harmful Kitu gani? Ukikizidisha hakina madhara, nambie sex, au kula matunda sana Sasa basi mda gani? Unaacha simu Yako na kuwa kawaida bila simu...
Back
Top Bottom