KwelI Mungu siku hizi anatumia mitandao ya kijamii kwa alichomfanyia Samia

Father of All

JF-Expert Member
Joined
May 30, 2026
Posts
458
Reaction score
843
1788830067223.png

Alpoua watu wetu wasio na hatia alijifanya hakuna kilichotokea. Kwangu, kilichomtokea naona ni kidogo. Heri angeanza yeye au ikiwezekana Mungu afanye haraka tena ajiunge na mwenda zake mwenza wake. RIP mpendwa na mheshimiwa wetu.
 
View attachment 3665517

Wala usijali kamanda, Dr Samia ni binadamu hivyo kufa ni
lazima siku Moja imtokee. Endelea kusubiri tu, atakufa siku Moja mtafurahi. Umesikia ee mfuasi wa lissu?!!
 
View attachment 3665517
Alpoua watu wetu wasio na hatia alijifanya hakuna kilichotokea. Kwangu, kilichomtokea naona ni kidogo. Heri angeanza yeye au ikiwezekana Mungu afanye haraka tena ajiunge na mwenda zake mwenza wake. RIP mpendwa na mheshimiwa wetu.
Ukinihakikishia kuwa wewe kwenye ukoo wako watu HAWAJAWAHI KUFARIKI basi, NITAKUUNGA MKONO DAIMA kwenye hoja zako!
 
Kwa taarifa yako wanaotumia mitandao ya kijamii ni asilimia 1% ya watu milioni 70 tuliobaki tunaipenda CCM na mama yetu SSH 2030
 
Kila mwenye Nafsi,ataonja mauti,awe mbaya, Mwema nk,Tuombeane mema, Mungu anaruhusu!
 
Simkubali Samia na serikali yake, lakini kwamba kifo cha yule mzee ni kutokana na matendo ya Samia sikubaliani. Old man was sick! Pia hawakuwa pamoja usidhani Samia kaumia
 
Back
Top Bottom