MUNGU HAFANYI BIASHARA: KWA NINI AMRI ZAKE NI SAFI NA HAZITAKI PESA YAKO ILI UBARIKIWE
Ukiingia kwenye mitandao ya kijamii au ukitembelea makanisa mengi leo, utakutana na ujumbe unaofanana: “Toa kiwango fulani cha pesa ili upokee muujiza wako,” “Nunua maji haya ya upako,” “Leta sadaka ya...
Serikali ni chombo chenye mamlaka ya kusimamia, kuongoza na kuendesha shughuli za eneo Fulani kama vile shule, kijiji, chuo au nchi kwa mujibu wa Katiba na sheria za sehemu husika au nchi husika.
Ikumbukwe kuwa serikali zote Duniani ni madhabahu ya Mungu, yapaswa kuheshimiwa. Na hakuna mtu...
Hebu semeni nyie wafuasi wa CHADEMA nini kinawafanya muondoke nchini kimagendo mbona ss hatuondoki na tuna enjoy tu maisha. Kwanin mkimbie nchi ili hali hakuna anayewafukuza?
Jibu ni Moja tu .
Mnaondoka kwasababu mnajijua kuwa nyie ni kikundi cha kigaidi kwahyo mnakimbia mkono wa Sheria...
WALIKUFA KWA AJILI YA WATU. LAKINI WALISALITIWA. MUNGU WA Tibeli AWASAMEHE MAKOSA YAO KWA GHARAMA YA WALIOWAUA. MO29.
Anaandika, Robert Heriel Mtibeli.
Kuhani katika Hekalu Jeusi.
Haya nayo yaliniumiza sana. Sikuwahi kuumizwa katika maisha yangu kama siku zile.
Hata mapenzi hayakuwahi...
Ni hivi, ukila ukashiba unafikiri wengine wote wamekula au wameshiba;
Ukiamka na afya njema asubuhi unafikiri wengine wote wameamka na afya njema;
Ukiwa unaishi unawaza watu wote wako na maisha yao kama yako;
Ukitembea mjini na kurudi nyumbani salama, unafikiri watu wote wako kwenye miji...
Yaani Bongo bado sana, hivi hatushtuki? nguo za mzungu, viatu vya mzungu, mpaka chandarua uliyolalia ni ya mzungu! simu ya mzungu, Sisi tunatengeneza nini?
Shule zenyewe tunazosoma ni mfumo wa mzungu, tunakaririshwa madudu ambayo hayatusaidii kupata hata ugali wa kila siku bila kuomba ajira...
Katika Kitabu cha Mwanzo 11: 1-10 kuna story watu wa mji mmoja waliamua kushirikiana, kwa na lugha moja na kufanya mambo kwa umoja na kushirikiana ikapeleka mungu kuchukizwa kuwavuruga kwa lugha na kuwatawanya.
Kulikuwa na tatizo gani watu kushirikiana, kuwa na lugha moja, wazo moja, nia moja...
Tuchukue Sheria ya maadili ya ubikira katika Biblia tuichambue kama inaweza kutusaidia kudhibiti wanawake wa kizazi hiki ambacho vijana wanalalamika sana uchumi wa kupata bikira.
Kumbukumbu la Torati 22: 13-21
13. Mtu akimtwaa mke, akaingia kwake, kisha akamchukia,
14. Na kumsingizia mambo ya...
Bwana Yesu asifiwe sana, Watu wa MUNGU.
Sisi walokole hatuwezi kuadhimisha vifo ambavyo vimetokana na kukiuka agizo la Mungu. Mungu ametaja wazi mambo ambayo yanaweza yakatuondolea uhai wetu na kututenga na USO wa Mungu...kwa uchache ambayo ni
Uzinzi
Kuiba Mali za watu
Kutamani Mali/mke wa mtu...
biblia
dhambi
dini
huwa
jukwaa
kanisa
kanisa katoliki
katoliki
kifo
kufanya
kufanya siasa
kukiuka
kuzua taharuki
kwasababu
maagizo
maombi
mungu
nyingine
siasa
taharuki
tec
unafiki
uongozi
vifo
viongozi
walokole
wanafiki
Kuomba ni spiritual communication na Mungu na si vingine tuache kujidanganya.
Kwa mifumo ya liturujia za makanisa ya kikiristo ndani Kuna kuombea viongozi wa serikali, Kuna kuombea wagonjwa, Kuna kuombea yatima na wajane na Kuna kujiombea pia. Hayo yapo automatic na yanasomwa si kwa kuyatamka...
Najiuliza mara nyingi kundi la hawa watu! Hivi ni kweli mmeamua kutumiwa kuteka kupoteza pumzi za wanadamu wenzao?
Kwenye mazingira hayo wewe upon kundi la Mungu au la shetani?
Unajisikiaje wazazi;watoto,mke/mume Wana haha kumtafuta ndugu Yao ambaye ww umemteka na kumficha?
Hivi ulishawahi kujiuliza wengine wanafanyafanyaje wanajikuta wamezaliwa katika familia ya watu wazito na kwanini familia zingine kila mtu ni masikini na familia zingine mtu anazaliwa anakuta ana ndugu matajiri watu wenye vyeo vikubwa?
Mimi najiuliza hivi wengine tulimkosea nini Mungu?
Sisi...
Heche anatukumbusha wosia wa Nyerere na wajibu wa vijana wanaopata elimu bure.
Those who receive this privilege have a duty to repay the sacrifice which others have made. They are like the man who was given all the food in a starving village in order to have strength to bring back supplies from...
## 🚨 KUTAZAMA PICHA,VIDEO ZA PORN AU KIMTAZAMA MWANAMKE KWA KUMTAMANI,TAMAA YA NGONO HUFUNGUA MILANGO YA KUKARIBISHA KUALIKA MAROHO,MAPEPO,MAJINI MABAYA YA UHARIBIFU KWAKO NA KURUHUSU VIFUNGO VYA KIPEPO… NA WENGINE WENU MNAISHIKA MNAFUNGULIA WAZI MILANGO YA MTU WAKO WA NDANI KURUHUSU KUVAMIWA...
Umakini katika kazi, umakini katika biashara, umakini safarini au kwenye starehe n.k.
Nadhani sote ni mashahidi kwamba, kuelekea mwisho wa karibu kila mwaka, hua kuna kuna matukio yasiyo mazuri kuskia au kuyaona. Hua kuna matukio ya kuhuzunisha sana. Na kwa mtazamo wangu, naona kama tayari...
Ni Bob Wine pekee kutoka ukanda huu wa afrika mashariki ndiye aliyestahili kushirikishwa kwenye hizo tuzo.
anapambana nyumbani (Uganda), hajawahi kukimbia Wala Hana passport ya nchi nyingine mfukoni.
hatumiki na mabeberu, anapambania kweli Waganda
familia yake ipo Uganda kama yeye, hajaificha...
Kwa hiyo huyo 'Daktari' Samia Suluhu Hassan anamzidi hata Yesu Kristo pamoja na manabii na mitume wote waliomtangulia na kuja nyuma yake ukiachia huyo 'Mtume'? Tunasubiri kusikia hiyo 'past tense' yako Bw. Kawaida. Kumbuka kuwa hata Mkuu wa Mkoa wa Tabora, Aggrey Mwanri na yeye aliwahi...
Heshima yenu, wakuu.
Leo nimejiuliza maswali mengi baada ya kuamshwa saa 3:57 usiku na kelele za hapa nilipo ugenini. Kwa kweli, nilishikwa na butwaa.
Imagine mtu anapiga kelele kwa nguvu, sijui kama ni maombi au anataka kufanikisha nini. Hata matamshi anayoyatoa siyatambui kuwa ni ya lugha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.