Yoda
JF-Expert Member
- Jul 22, 2018
- 64,960
- 111,265
Tuchukue Sheria ya maadili ya ubikira katika Biblia tuichambue kama inaweza kutusaidia kudhibiti wanawake wa kizazi hiki ambacho vijana wanalalamika sana uchumi wa kupata bikira.
Kumbukumbu la Torati 22: 13-21
13. Mtu akimtwaa mke, akaingia kwake, kisha akamchukia,
14. Na kumsingizia mambo ya aibu, na kumvunjia jina lake, akisema, Nilimtwaa mwanamke huyu, nami nilipomkaribia, sikumkuta kuwa bikira;
15. Ndipo baba yake yule mwanamke na mama yake watatwaa alama za ubikira wa yule kijana, na kuzipeleka kwa wazee wa mji langoni;
16. Na baba ya yule mwanamke atawaambia wazee, Nalimpa mtu huyu binti yangu kuwa mkewe, naye amemchukia;
17. Na tazama, amemsingizia mambo ya aibu, akisema, Sikumkuta binti yako kuwa bikira; na hizi ndizo alama za ubikira wa binti yangu. Nao watatandaza lile vazi mbele ya wazee wa mji.
18. Na wazee wa mji ule watamtwaa mtu yule mume na kumwadhibu;
19. Watamtoza faini ya shekeli mia za fedha, na kuzipa baba ya yule mwanamke, kwa sababu amemvunjia jina mwanamke bikira wa Israeli; naye atakuwa mkewe; hawezi kumwacha siku zake zote za kuishi.
20. Lakini neno hili likiwa kweli, kwamba ubikira haukuonekana kwa yule mwanamke;
21. Ndipo watakapomwondoa yule mwanamke na kumleta mlangoni pa nyumba ya baba yake, na watu wa mji wake watamponda kwa mawe hata afe; kwa sababu amefanya upumbavu katika Israeli, kwa kufanya ukahaba katika nyumba ya baba yake; ndivyo utakavyoondoa uovu katikati yako.