maadili

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Gunner11

    JamiiForums Tanzania Eti anasema hapendi kutembea uchi, alafu yuko uchi. Haya ndo maadili kweli?

    Watoto wa mjini wanausemi wao siku hizi wanasema, "aibu utaona wewe" Vipi maoni yenu, tukubali hii ni kawaida tu ama joto la El Nino?
  2. Forrest Gump

    JamiiForums Tanzania Taliban imepiga marufuku matibabu ya kusaidia macho kuona kwa kusema kuwa matibabu hayo hayaendani na maadili ya kiislamu

  3. Financial Analyst

    JamiiForums Tanzania Watu wanashangaa vitendo vya uozo wa maadili mikoa ya pwani wanadhania ni kutokana na usasa kuzidi. Haya mambo yalikuwepo mitandao ndio ime-expose

    Kukithiri kwa vijana wengi mashoga ni kutokana na influence ilioletwa na waarabu kipindi cha utawala wao na haswa wakati wa utumwa. Waarabu waliwalawiti wavulana na kubaka kinyume na maumbile wanawake. Matendo haya yaliacha alama kwenye jamii na yakarithiwa kama ya kawaida Ukiangalia upande wa...
  4. Yoda

    JamiiForums Tanzania Sheria za Mungu za kale za maadili zinaweza kuwa suluhisho kwa kizazi hichi?

    Tuchukue Sheria ya maadili ya ubikira katika Biblia tuichambue kama inaweza kutusaidia kudhibiti wanawake wa kizazi hiki ambacho vijana wanalalamika sana uchumi wa kupata bikira. Kumbukumbu la Torati 22: 13-21 13. Mtu akimtwaa mke, akaingia kwake, kisha akamchukia, 14. Na kumsingizia mambo ya...
  5. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania Dkt Dorothy Gwajima, Unafanya vizuri sana ila katika kulinda Maadili, jenga Mfumo wenye mzizi imara, hata utakapotoka Mfumo uishi!!

    Hivi vyeo vinaondoka. Kuna kuhamishwa Kuna kustaafu/kustaafishwa Tunapoelekea Tanzania ya 2050 suala la Maadili lazima tulitizame kwa picha hiyo !! Leo unapambana sana kudeal na Matukio ya mmojamoja na makundi , ni jambo zuri, ila Mama, fikiria Leo ukitoka utaacha nini kama kielelezo kwenye...
  6. emmarki

    JamiiForums Tanzania Wazazi wawajibishwe kwa ubovu wa maadili ya watoto

    Adhabu ya kifungo cha miaka 30 kwa kumpa mwanafunzi ujauzito, ihamie kwa wazazi pia
  7. Wizara ya Ardhi

    JamiiForums Tanzania Wataalamu wa mipangomiji na wathamini wasisitizwa kusimamia maadili ya taaluma

    Kamati ya Ardhi Maliasili na Utalii imepokea na kujadili taarifa za Bodi ya Usajili wa Wataalamu wa Mipangomiji (TPRB) na Bodi ya Usajili wa Wathamini (VRB) ambazo zipo chini Wizara ya Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi na kusisitiza Wizara hiyo iendelee kushirikiana na bodi hizo na kuzijengea...
  8. instinct desire

    JamiiForums Tanzania Watanzania tulitegemea tusikie uchaguzi wa Rais mpya wa TLS sasa mbona kimya, sasa tutafanyaje uchunguzi wa tuhuma wakati mhusika bado yupo ofisini?

    Chama Cha Tanganyika law society (TLS) kilianzishwa na kulindwa na Sheria namba 307 (The Tanganyika law society act, 307) MLEZI wake mkuu akiwa ni serikali hivyo basi TLS si Mali ya mtu ni Mali ya serikali iliyoundwa kisheria, serikali inaangaza utendaji wa Kila siku wa TLS. Matukio ya Rais wa...
  9. and 998 others

    JamiiForums Tanzania Mrembo asisitiza maadili kwa wadada wenye tamaa za IPHONE 18 (video)

    Mrembo toka Masaki amesisitiza wadada waache tamaa katika maisha
  10. Kazanazo

    JamiiForums Tanzania Kama kijana niliyelelewa kwenye maadili

    Nimelelewa na wazazi na kufundishwa kuwa muadilifu, mtiifu, mwenye heshima kwa mkubwa na mdogo As nimekulia kileji katika harakati za utafutaji nikaibukia town, niseme tu life ya town ni tofauti sana kwa kijana mwenye maadili na alielelewa katika kuheshimu, kuwa na haya na kutenganisha masuala...
  11. Wizara ya Ardhi

    JamiiForums Tanzania Wasajili wa hati wasaidizi watakiwa kuzingatia maadili na kuimarisha huduma kwa wananchi

    ARUSHA: Wasajili wa Hati Wasaidizi kutoka mikoa mbalimbali nchini wametakiwa kuzingatia maadili ya Utumishi wa Umma, kuimarisha weledi na kuongeza ufanisi katika utoaji wa huduma kwa wananchi ili kuhakikisha usimamizi na usajili wa hati za ardhi unafanyika kwa kuzingatia sheria, kanuni na...
  12. A

    JamiiForums Tanzania HOJA Kanisa Katoliki lifanye uchunguzi wa Kwaya ya Kanisa la Sinza, kuna ‘upigaji’ na ukiukwaji wa maadili

    Waumini na Wanachama wa kwaya katika Parokia ya Bikira Maria Mama wa Mwokozi, iliyopo Sinza Jijini Dar es Salaam tuna hoja ambayo baada ya kuwa chinichini tumeona bora ifike hadharani, Dunia ijue labda hatua zitachukuliwa. Kuhusu ubadhirifu wa fedha Ndani ya kwaya yetu ya Mtakatifu Monika...
  13. masopakyindi

    JamiiForums Tanzania Kamati ya Maadili CCM : Hili la tapeli Wicknell Chivayo mnafunika kombe?

    Ni jambo la kudikitisha. Licha ya Ikulu kutoa samaam za rambirambi hivi karibuni, lakini huyu Wicknell Chivali wa Zimbabwe amekuja julikana kama tapeli na fisadi mbeba hela za viongozi wezi wa Afrika. Alifikaje Ikulu? Ana biashara gani Ikulu? Analipa kodi? Amefikaje hadi kwa Rais mama Samia...
  14. MamaSamia2025

    JamiiForums Tanzania Hakuna sahihi ya GenZ yeyote kwenye mikataba mibaya inayolitafuna taifa, tujilaumu sisi mababa zao kwa mmomonyoko wa maadili

    Mimi siungi mkono tabia za hovyo za baadhi ya watoto wetu maarufu kwa jina la GenZ. Hiki ni kizazi cha vijana wadogo wenye amsha amsha sio kitoto. Ila wamekuwa wakilaumiwa kuwa na tabia mbaya kana kwamba tabia zao zimesababisha hali tuliyo nayo kwa sasa. Kimsingi vijana wa 2000 bado nawaona watu...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Ni aibu kubwa kwa serikali na nchi kumfungia kufanya sanaa mtu anayepambana kurekebisha hali mbaya iliyopo ya mmomonyoko wa maadili katika jamii.

    Wanaume wote wapo pamoja na dudu baya. Wamama,wadada hadi wabibi wanaowapenda na kujivunia vijana wao wakiume,wanaunga mkono kampeni ya dudu baya. Kwa kifupi watanzania wote [ukiwatoa mashoga,wasagaji na basata] ya serikali ndio hawaoni jambo jema,tukufu na la kheri analofanya dudubaya. Hii la...
  16. Wakusoma 12

    JamiiForums Tanzania Masomo ya hisabati na computer/coding yafundishwe kwa kiingereza shule za msingi

    kuna haja ya kuanza kufikiria mfumo ambao Hisabati na Computer Science/Coding vinafundishwa kwa kutumia Kiingereza kwa kiwango kikubwa zaidi kuanzia shule za msingi. Sababu kubwa ni kwamba dunia ya sayansi na teknolojia inatumia sana lugha ya Kiingereza. Istilahi nyingi ambazo mwanafunzi...
  17. K

    JamiiForums Tanzania Nguvu ya Sanaa na Mdidimizo wa Maadili ya Uongozi katika Jamii ya Sasa

    ANDIKO LA FANANI WA HBC (THE NIGHT WATCHER) KIONGOZI VS MSANII Ni UKWELI USIOPINGIKA kuwa NGUVU ya MSANII kwa kutumia SANAA YAKE ni KUBWA kuliko NGUVU ya KIONGOZI anapotumia SIASA ZAKE na pia SAUTI ya MSANII haina TOFAUTI na NGURIMO Za RaDi anapoiisemea JAMII YAKE. Tuna mifano MINGI ya...
  18. O

    JamiiForums Tanzania Kuna haja ya kuwa na Sheria inayoongoza michango kwa shughuli za vyama vya Siasa inchini.

    Ninatoa pendekezo la Serikali kuandaa Muswada wa Sheria ya kusimamia michango ya shughuli za Vyam vya Siasa nchini ili kuzuia watu au makundi ya watu wasio na maadili kuhusika kwenye michango ya shughuli za vyama kwani kwa sasa kumejitokeza tabia ya watu wanaojiita wanaharakati kuchangia au...
  19. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Uongozi wa IAA, tafadhali chukueni kwa uzito suala la weledi, maadili ya ufundishaji na usimamizi wa mitihani

    Kuna malalamiko yanayojirudia kutoka kwa wanafunzi, hasa katika ngazi ya Master’s, kuhusu namna baadhi ya mambo yanavyosimamiwa chuoni. Hili si suala la mwanafunzi mmoja; ni jambo ambalo wanafunzi wengi wamekuwa wakilizungumzia na kujaribu kulifuatilia bila kupata majibu au suluhisho la...
  20. Yoda

    JamiiForums Tanzania Maadili ya CCM ni yapi ?

    Maadili ya CCM ni yapi ?
Back
Top Bottom