Kuna haja ya kuwa na Sheria inayoongoza michango kwa shughuli za vyama vya Siasa inchini.

Joined
Apr 25, 2016
Posts
19
Reaction score
23
Ninatoa pendekezo la Serikali kuandaa Muswada wa Sheria ya kusimamia michango ya shughuli za Vyam vya Siasa nchini ili kuzuia watu au makundi ya watu wasio na maadili kuhusika kwenye michango ya shughuli za vyama kwani kwa sasa kumejitokeza tabia ya watu wanaojiita wanaharakati kuchangia au kuhamasisha michango kwa vyama vya siasa lakini watu hao wanahusika kwenye uhalifu mitandaoni kwa kutukana ,kuwazushia watu uongo,kudhalilisha watu hasa wale wanaotofautina mawazo na mtizamo

Ninawasilisha
Odero
Mwanachama wa CHADEMA
Aliyegombea Uenyekiti CHADEMA Taifq
 
CCM itakosa pesa
 
Sheria hiyo isiache kuangalia utakatishaji wa fedha za kifisadi kama michango kwa ccm
 
Ninatoa pendekezo la Serikali kuandaa Muswada wa Sheria ya kusimamia michango ya shughuli za Vyam vya Siasa nchini ili kuzuia watu au makundi ya watu wasio na maadili kuhusika kwenye michango ya shughuli za vyama kwani kwa sasa kumejitokeza tabia ya watu wanaojiita wanaharakati kuchangia au kuhamasisha michango kwa vyama vya siasa lakini watu hao wanahusika kwenye uhalifu mitandaoni kwa kutukana ,kuwazushia watu uongo,kudhalilisha watu hasa wale wanaotofautina mawazo na mtizamo

Ninawasilisha
Odero
Mwanachama wa CHADEMA
Aliyegombea Uenyekiti CHADEMA Taifq
Serikali ipi? Tanganyika kwa sasa hakuna serikali, iliyopo ni batili.

Sishangai ulivyoshindwa kwenye nafasi ya uenyekiti. CHADEMA haiwezi kuwa na Mwenyekiti mwenye mawazo mgando hivi
 
Ninatoa pendekezo la Serikali kuandaa Muswada wa Sheria ya kusimamia michango ya shughuli za Vyam vya Siasa nchini ili kuzuia watu au makundi ya watu wasio na maadili kuhusika kwenye michango ya shughuli za vyama kwani kwa sasa kumejitokeza tabia ya watu wanaojiita wanaharakati kuchangia au kuhamasisha michango kwa vyama vya siasa lakini watu hao wanahusika kwenye uhalifu mitandaoni kwa kutukana ,kuwazushia watu uongo,kudhalilisha watu hasa wale wanaotofautina mawazo na mtizamo

Ninawasilisha
Odero
Mwanachama wa CHADEMA
Aliyegombea Uenyekiti CHADEMA Taifq
Usisahau na michango ya harusi, sadaka, wanaouza mafuta na maji ya uzima nk.

Mwaka jana CCM Ilichangisha B.86 Mlimani city fuatilia matumizi yake halafu tupe mrejesho.

Waliochanga.

1. Dkt. Samia Suluhu Hassan - Milioni 100.
2. Wachimbaji wadogo wadogo - Bilioni 16.2; (pamoja na ahadi), bilioni 9 imeshawekwa kwenye akaunti ya CCM.
3. GSM - Bilioni 10 (Zimeshawekwa kwenye akaunti ya CCM).
4. Young Africans SportsClub (Yanga) - Milioni 100.
5. Turky Group - Milioni 600 (Milioni 300 zimeshawekwa kwenye akaunti ya CCM).
6. Tosh Cargo - Milioni 100.
7. Azim Dewji & Singida - Milioni 300.
8. CCM Dar Es Salaam Mkoa - Milioni 20.
9. Mwanamke Kijani - Milioni 200.
10. Afr Oil Group - Milioni 200.
11. Wadau wa Songwe - Milioni 162.
12. Wafanyabiashara wa Dodoma - Milioni 200.
13. Wafanyabishara Arusha- Milioni 455.
14. Kagera Wafanyabiashara - Milioni 100.
15. Iringa Wafanyabiashara
- Milioni 230.
16. Wafanyabiashara Njombe - Milioni 122.
17. Wafanyabiashara Singida - Milioni 600.
18. Wafanyabiashara Simiyu Milioni 600
19. Wakulima korosho Milioni 800
20. Bodaboda Shinyanga milioni 5
21. Maafisa usafirishaji bodaboda na bajaj Tanzania Milioni 12
22. Wateule wa mama Tanzania Milioni 30
23. Tarimba achangia Milioni 20
24. Boniface Mwamposa achangia Milioni 50
25. Warembo wote Tanzania ( Miss Tanzani) Milioni 10
26. Wasanii bongo movie Milioni 10
27. Mawaziri na Manaibu Mawaziri Tanzania Bara Milioni 365
28. Mawaziri 7 kutoka Zanzibar wamechanga Milioni 70
 
"Watu na vikundi visivyo na maadili wasitoe michango" natamani siku moja mtu atuambie maadili ya kitanzania ni yapi aandike list kabisa,Wanaharakati hawana maadili,wabunge?mawaziri?Polisi?maana kwetu maadili yameishia kwenye kuvaa nguo fupi,Tattoo,ushoga na kumsema Rais,what about kuua?Rushwa??
 
NDIYO na Dunia inajua.
Mfano wa kufikirika mkuu kwa kua hakuna uthibitisho kamili,

Tushasikia zenji kule maalim seif hua anashinda lakini hatangazwi,
Tushasikia baba odinga pale kenya hatangazwi,
Na tuseme mtifuano kama ule wa 2015 nyepesi nyepesi ni kwamba lowassa aliula.

Je ikiwa ni kweli kwamba watu kama hao washawahi kushinda kwenye sanduku la kura na matokeo yaliyotangazwa yakawa sio yenyewe, --- serikali zilizotangazwa na zwnyewe ni batili?, au tunaziita halali kwa ukosefu wa ushahidi?
 
Ninatoa pendekezo la Serikali kuandaa Muswada wa Sheria ya kusimamia michango ya shughuli za Vyam vya Siasa nchini ili kuzuia watu au makundi ya watu wasio na maadili kuhusika kwenye michango ya shughuli za vyama kwani kwa sasa kumejitokeza tabia ya watu wanaojiita wanaharakati kuchangia au kuhamasisha michango kwa vyama vya siasa lakini watu hao wanahusika kwenye uhalifu mitandaoni kwa kutukana ,kuwazushia watu uongo,kudhalilisha watu hasa wale wanaotofautina mawazo na mtizamo

Ninawasilisha
Odero
Mwanachama wa CHADEMA
Aliyegombea Uenyekiti CHADEMA Taifq
Wewe jaluo itabidi tukuvishe dera na shanga kiunoni kumbe una usenge namna hii
 
Back
Top Bottom