wakuu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. secretarybird

    JamiiForums Tanzania Hiki👇 kilichoandikwa ni nini, wakuu? Nimetokwa na macho mithili ya Zongobinyo mjue! 😲

    Kwa moyo mkunjufu nawakaribisha mashekhe, wachungaji, na wanganga wa kienyeji wanitafsirie hii 👇 michoro na maandishi Yana maana gani.
  2. Ushimen

    JamiiForums Tanzania Huyu mlimbwende amenidharau sana wakuu, naombeni ushauri

    Huku na huku, nikajikuta namingo na toto moja bambataa.... Nikaanza kuilia mongo, siku nakutana nayo kwenye maongezi ikawa namna hii.... Yeye: Yaani kila nikikuona ukitabasamu, hua natamani nikukaribishe nyumbani kwangu ili nikufanyie kitu. Mimi: Waaawuuu...🤗 nikamuuliza kwani upo singo...
  3. Isenye

    JamiiForums Tanzania Wife ananifuatilia sana kwenye mitandao ya kijamii wakuu

    Yani kila ninachokipost lazima nifuatwe inbox nijieleze kina maana gani.
  4. Ushimen

    JamiiForums Tanzania Kuna mambo nikikumbuka moyo wangu unauma sana wakuu...

    Kaniambia eti kila akiniona moyo wake unaenda mbio... mimi nikamjibu huo ni wasiwasi na hofu tu... Kwanza nikinywa pombe kananiita chapombe, lakini nikinywa fanta hakaniiti fantastic...😂 Leo nimekajaribu kwa salam.. Mimi: mambo Yeye: niko poa kabisa Mimi: basi sawa kama upo poa, nilidhani...
  5. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Mfumo wa SIS unatumiwa na Wakuu wa Shule kujaza wanafunzi hewa ili wapate hela

    Mfumo wa SIS (School Information System) unatumika na Wakuu wa shule kujaza wanafunzi hewa (walioacha shule/kufukuzwa/wasioripoti) wote wanawekwa na hawaondolewi kwenye mfumo ili wapate hela nyingi kupitia mfumo wa FARRS. Wengine wanaenda mbali zaidi, wanawachangisha wazazi michango ya walimu...
  6. RSM Dominik

    JamiiForums Tanzania Ninataka nikajaribu hustling Dodoma wakuu

    Ndio hivyo wazee kutokana na umri wangu wa miaka thelathini(30) kunigongea nikiwa sina mfumo mzuri(sijafanikiwa kupata kazi rasmi ya uhakika iwe kuajiriwa/kujiajiri,sjafanikiwa kuoa, nimeamua nijilipue niende DOM. Nimefanikiwa kuishi Mbeya, Sumbawanga, Katavi, Mafinga-Iringa, yaani huku nyanda...
  7. Ushimen

    JamiiForums Tanzania Haka katoto katakuja kuniua, nimeishiwa pawa aiseeee....

    Nimetoka sokoni kumnunulia mahanjam ili arekebishe lunch.... Sasa nilipofika nimemkuta hana raha kabisa huyu katoto ka Gen-Z.... Nilipo muuliza kipenzi, nini mbaya...?? Akaniambia eti amepata ujauzito.... Mimi nikashangaa sana na kumuuliza, mbona sikuzote tunatumia kinga...?? Akanijibu eti...
  8. A

    JamiiForums Tanzania Nishaurini wakuu maamuzi yapi yatakuwa sahihi?

    Kuna mjomba wangu anapiga mishe za uwinga kariakoo sasa hivi anawateja wengi kidogo Tajiri yake ambae anachukua mizigo kwake alipoona dogo anawateja wengi kidogo na anapiga kazi vizuri akamshauri ampe duka kabisa liwe la kwao wawili wagawane pesa kwa asilimia 30 kwa 70 Tajiri achukue 70 dogo...
  9. figganigga

    JamiiForums Tanzania Mtwara: Waziri wa Afya Mchengerwa anazindua Bima ya Afya kesho. UVCCM hawataki niende kumsikiliza. Wananitishia

    Wakuu, Kesho Waziri wa Afya, Mhe. Mohamed Mchengerwa, anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika uzinduzi wa Bima ya Afya kwa Wote, Awamu ya Pili. Hapa nilipo nipo njiani naelekea Mtwara. Lakini nipo chonjo sana. Hawa UVCCM hawataki nihudhurie kisa niliandika habari ya wao kula Rushwa. Wanadai...
  10. El marabiosh

    JamiiForums Tanzania Wakuu leo nimepishana na ISRAEL mtoa roho

    Iko hivi, kuna jirani yangu hapa ni mbahili kichizi yaani mpaka zama hizi bado anatumia litivii la chogo (bonge la tv). sasa leo bwana likamgomea kuwaka, baada ya kufikiria akakumbuka kua mimi jirani yake nimesomea umeme mpaka chuo kikuu ikabidi anishirikishe. Mimi sijawahi kufungua hata remote...
  11. A

    JamiiForums Tanzania HOJA Malipo ya Polisi nayo yawe kwa Control Number

    Habari wakuu Mapendekezo njia ya malipo Kwa control number ya police, Ikiwa dawasa na parking unaweza kulipia kidogo kidogo kama una deni la maji au parking kwanini Police pia wasije ma mfumo huo huo kulipia baada kumuandikia dereva fain 30000 aweze kulipia kidogo kidogo inasaidia kulipa kama...
  12. B

    JamiiForums Tanzania Ushauri

    Ushauri, Wakuu naomba ushauri kuhusu rangi ya bati ya chengachenga vikae ambayo haipauki haraka
  13. A

    JamiiForums Tanzania KERO Mawakala Wakuu wa HALOPESA Tanzania tunanyanyaswa, hatujalipwa kamisheni zetu

    Habari, naitwa Fadhili, ninaishi Dar es Salaam na ni Wakala Mkuu wa HALOPESA, Tawi la Temeke. Mawakala Wakuu wa HALOPESA hadi leo hatujalipwa stahiki zetu za kamisheni za mwezi Septemba. Kuna bosi mpya wa HALOPESA aliyeanza kazi mwaka huu 2026, anaitwa NGHIEM ANH THONG, raia wa Vietnam. Tangu...
  14. LiFe 2-point-0

    JamiiForums Tanzania Nimegundua Hawa Gym Trainners Wana Kazi Ngumu Sana Wakuu😅

    Wakuu habari gani. Nisiwapotezee muda wenu, niingie tu straight kwenye kilichonifanya nifungue huu uzi. Kwa namna moja au nyingine huu uzi ni kama mfululizo tu wa matukio kutoka katika mkasa niliousimulia juzi katika uzi huu...
  15. OMOYOGWANE

    JamiiForums Tanzania Nimegraduate wakuu: Degree ya uchawi wenye faida

    Habari wakuu, Miaka michache iliyopita niliahidi nitaleta mrejesho kwenye huu uzi hapa https://www.jamiiforums.com/threads/naenda-bariadi-kusomea-degree-ya-uchawi-wenye-faida-nitaleta-mrejesho-mwaka-2026-mwezi-wa-kwanza.2233791/ Kiukweli hii elimu ni elimu ngumu kuliko ile ya chuo kikuu sababu...
  16. Mbalizi feedstuff

    JamiiForums Tanzania Wakuu muongozo wa kununua bidhaa AliExpress na Amazon

    Ninaomba mchakato wa kununua bidhaa hasa Amazon. Nahitaji mwongozo kutoka kwa ambaye amewahi kununua bidhaa kupitia jukwaa tajwa. Ninachotaka kufahamu ni details gani zinajazwa, hela ya supplier inakatwaje, mzigo naupokeaje na kodi nakatwaje, je, mambo gani ya muhimu ya kuzingatia kuhusu...
  17. Daraja Makofia

    JamiiForums Tanzania Wakuu wa Mikoa wana Majukumu gani mpaka Mawaziri wagawiwe Mikoa?

    Leo nimeona yule Kiranja wa mambo ya "Viburudisho" yupo kwenye Sato na Sangara akitoa maagizo lukuki kuhusu maendeleo ya eneo hilo. Nimepata shida sana kuelewa job descriptions za Mawaziri na Wakuu wa Mikoa. Ina maana kuwa Wakuu wa Mikoa wameshindwa kusomamia maeneo yao mpaka Mawaziri wagawiwe...
  18. S

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Huu ni ufisadi wa kutisha! Haujawahi kutokea katika kulihujumu Taifa, na unafanywa na viongozi wakuu wa Serikali!

    Ni aina kubwa ya ufisadi mkubwa wa kutisha ambao katika historia ya Tanzania na nchi nyingine duniani labda haujawahi kutokea. Na tatizo kubwa ni kwamba unafanywa na viongozi wakuu wa serikali pamoja na ndugu zao. Ni hivi. Kuna wakuu wa serikali na ndugu zao ambao wapo katika nafasi ya kuwa na...
  19. O

    JamiiForums Tanzania WAKUU BOS BRELA MBONA INASUMBUA KUVALIDATE NIDA

    wakuu mmesolve vipi hii changamoto inaload tu kisha inajifunga haileti maswali ya kujibu
  20. Alexido jz instagram

    JamiiForums Tanzania Masomo tuliyoyadharau shule ndiyo dili duniani huko, Civics na General Studies, tujiendeleze wakuu

    Maswali alioa kua anaulizwa jihan ndio Yale tulio ya DHARAU mwanzo, issues za civics mfano life skills, hizo mambo tulikua hatugusi tunapiga chini heee kumbe DILI. Walio soma science subjects, Kuna namna hawana uwezo wa kujieleza duniani huko arts subjects tuliwachukulia poa ila wako vizuri...
Back
Top Bottom